1 – Ingia kwenye tovuti yetu www.gsb.co.tz
2 – Bonyeza kwenye Jiunge
3 – Weka namba yako ya simu kwa ajili ya kujisajili
4 – Jaza neno la siri, inatakiwa iwe na tarakimu zisizopungua 8 ukichanganya herufi na namba.
5 – Jaza jina lako la kwanza na la mwisho
6 – Usijaze sehemu ya promo-code
7 – Kubali Vigezo na Masharti
8 – Mwisho, bonyeza Ingia.
KUMB: Utapokea code ya uthibitisho kama ujumbe kwenye simu yako; Ingiza code hizo kuthibitisha akaunti yako
Kuweka pesa kwa simu
● Ingia kwenye akaunti yako
● Chagua akaunti ya simu
● Andika kiasi unachotaka kuweka
● Bofya kitufe cha kuanza mchakato wa kuweka
Utapata ukurasa ibukizi wa USSD, ingiza namba yako ya siri kumalizia kuweka.
Kuweka na USSD
Kuweka na TIGO
1 – Piga *150*01#
2 – Chagua (4) Lipia bili
3 – Ingiza Namba ya Kampuni 277766
4 – Ingiza Kumbukumbu Namba xxxx (your User ID)
5 – Ingiza Kiasi
6 – Hakikisha kwa kuingiza namba yako ya siri
Kuweka na Airtel
1 – Piga *150*60#
2 – Chagua (4) lipia bili kwa Airtel
3 – Ingiza Namba ya Kampuni 277766
4 – Ingiza Kumbukumbu Namba xxxx (your User ID)
5 – Ingiza Kiasi
6 – Hakikisha kwa kuingiza namba yako ya siri.
Kuweka na Vodacom
1 – Piga *150*00#
2 – Chagua (4) Lipia bili kwa Mpesa
3 – Ingiza Namba ya Kampuni 277766
4 – Ingiza Kumbukumbu Namba xxxx (your User ID)
5 – Ingiza Kiasi
6 – Hakikisha kwa kuingiza namba yako ya siri.
Kuweka na Halotel
1 – Piga *150*88#
2 – Chagua (4) Lipia bili kwa Halo Pesa
3- Chagua (3) nambari ya Kampuni
4 – Ingiza Namba ya Kampuni 277766
5 – Ingiza Kumbukumbu Namba xxxx (your User ID)
6 – Ingiza Kiasi
7 – Hakikisha kwa kuingiza namba yako ya siri.
Kuweka kupitia duka
● Tembelea duka letu lolote
● Mpe wakala namba yako ya mteja (inapatikana unapo bofya wasifu wa akaunti yako juu)
● Utapewa risiti na KODI YA KUWEKEA
● Itabidi kuingiza kodi hii ya kuwekea katika ukurasa wa kuwekea ndani ya menyu ya duka.
Kiasi cha bonasi: 100% hadi TSH 1,000,000 Free Bet kwenye kuweka malipo ya kwanza
Masharti ya kupata bonasi:
(a) Kiasi cha kwanza cha chini kuweka ni TSH 1000 na kiwango cha juu ni TSH 1, 000,000
(b) Mteja anatakiwa kubashiri mara 3 kwa kiwango sawa na kiasi alichoweka mara ya kwanza
(c) Kiwango cha chini ni mechi 3 kwa kila mkeka..
(d) Kiwango cha chini cha kuweka ni TSH 1000
(e) Kiwango cha chini cha Jumla odds ni 2.2
Bonasi ya ukaribisho itawekwa moja kwa moja katika akaunti ya mteja.
Mfano:
– Nimeweka TSH 1,000 kwa mara ya kwanza
– Nimebashir mara 3 kwa kiasi cha TSH 1000 kwa kila mkeka usiopungua mechi 3 na jumla odds ya 2.2 na zaidi.
– Nimepokea TSH 1,000 Free Bet kama bonasi ya ukaribiho katika akaunti yangu.
Unaweza kupata ID namba yako kwa kubofya kitufe cha njano kwenye sehemu ya juu ya kulia ya skrini yako.
Katika Profile Setting, juu yake, utaipata karibu na jina lako.
1 – Kuangalia mikeka yako, Ingia kwenye akaunti yako.
2 – Bonyeza mikeka yangu
3 – Utaona mikeka yako yote ya nyuma, kwa mfano mikeka ya leo au siku tatu za nyuma au hata mwezi nk.
Kutoa kupitia simu
● Ingia kwenye akaunti yako
● Bofya kwenye kutoa
● Chagua akaunti ya simu
● Ingiza kiasi unachotaka kutoa
● Ingiza namba yako ya siri
● Kiasi kitawekwa kwenye akaunti yako
NB: Inatakiwa utumie namba ile ile uliyotumia kujiandikisha tu!
Kutoa na USSD
1 – Andika kiasi unachotaka kutoa na neno la siri.
2 – Utatumiwa code ya kutolea kwenye simu yako kwa njia ya ujumbe.
3 – Piga *148*53#
4 – Chagua (3) kwa kutoa kwenye mtandao.
5 – Ingiza code ya kutoa iliyotumwa kwenye simu yako.
6 – Thibitisha na uangalie sms ya kuthibitisha muamala.
Kiwango cha chini. Kiasi cha kutoa kwa kila muamala.
Kutoa kupitia duka
● Ingia kwenye akaunti yako na bofya kutoa!
● Chagua duka
● Weka kiasi unachotaka kutoa na ingiza nywila yako
● Bofya kitufe cha omba kutoa
● Utapokea ujumbe mfupi na kodi yako ya kutolea kwenye simu yako
● Nenda duka letu lolote lililopo karibu yako na umpe wakala namba yako ya mteja, kiasi ulichotoa na kodi ya kutolea.
Unaweza kupakua APP ya GSB ya Android kwa urahisi kwa kubofya Hapa.
Ili kupakua APP ya Galsport Betting unahitaji kufuata hatua zifuatazo:
Hatua 1: Pakua faili
Hatua 2: Bofya “Install”
Hatua 3: Bofya “Install” Tena
Hatua 4: Nenda kwenye “Setting”
Hatua 5: Ruhusu Ku-Install “Unknown APPs”
Hatua 6: Furahia bet yako.
GSB Tanzania Copyright © 2024 All rights reserved. GSB is licensed and regulated by National Lotteries & Gaming Regulatory Board of Tanzania | Betting is addictive and can be psychologically harmful | 25+