Kuweka

Kuweka pesa kwa simu

● Ingia kwenye akaunti yako
● Chagua akaunti ya simu
● Andika kiasi unachotaka kuweka
● Bofya kitufe cha kuanza mchakato wa kuweka 

Utapata ukurasa ibukizi wa USSD, ingiza namba yako ya siri kumalizia kuweka.

Kuweka na USSD

Kuweka na TIGO

1 – Piga *150*01# 
2 – Chagua (4) Lipia bili
3 – Ingiza Namba ya Kampuni 277766
4 – Ingiza Kumbukumbu Namba xxxx (your User ID)
5 – Ingiza Kiasi
6 – Hakikisha kwa kuingiza namba yako ya siri

Kuweka na Airtel

1 – Piga *150*60# 
2 – Chagua (4) lipia bili kwa Airtel
3 – Ingiza Namba ya Kampuni 277766
4 – Ingiza Kumbukumbu Namba xxxx (your User ID)
5 – Ingiza Kiasi
6 – Hakikisha kwa kuingiza namba yako ya siri.

Kuweka na Vodacom

1 – Piga *150*00# 
2 – Chagua (4) Lipia bili kwa Mpesa
3 – Ingiza Namba ya Kampuni 277766
4 – Ingiza Kumbukumbu Namba xxxx (your User ID)
5 – Ingiza Kiasi
6 – Hakikisha kwa kuingiza namba yako ya siri.

Kuweka na Halotel

1 – Piga *150*88#
2 – Chagua (4) Lipia bili kwa Halo Pesa
3- Chagua (3) nambari ya Kampuni
4 – Ingiza Namba ya Kampuni 277766
5 – Ingiza Kumbukumbu Namba xxxx (your User ID)
6 – Ingiza Kiasi
7 – Hakikisha kwa kuingiza namba yako ya siri.

Kuweka kupitia duka 

● Tembelea duka letu lolote 
● Mpe wakala namba yako ya mteja (inapatikana unapo bofya wasifu wa akaunti yako juu)
● Utapewa risiti na KODI YA KUWEKEA
● Itabidi kuingiza kodi hii ya kuwekea katika ukurasa wa kuwekea ndani ya menyu ya duka.