Jinsi ya Kutoa pesa

Kutoa na Airtel

• Ingia kwenye akaunti yako
• Bonyeza Toa Pesa


• Chagua Airtel mobile money
• Weka kiasi unachotoa


•Bonyeza kutoa
• Kiasi kitawekwa kwenye mtandao wako wa simu

Kutoa na Halotel

• Ingia kwenye akaunti yako
• Bonyeza Toa Pesa


• Chagua Halotel mobile money
• Weka kiasi unachotoa


•Bonyeza kutoa
• Kiasi kitawekwa kwenye mtandao wako wa simu

Kutoa na Tigo

• Ingia kwenye akaunti yako
• Bonyeza Toa Pesa


• Chagua Tigo mobile money
• Weka kiasi unachotoa


•Bonyeza kutoa
• Kiasi kitawekwa kwenye mtandao wako wa simu

Kutoa na Vodacom

• Ingia kwenye akaunti yako
• Bonyeza Toa Pesa


• Chagua Vodacom mobile money
• Weka kiasi unachotoa


•Bonyeza kutoa
• Kiasi kitawekwa kwenye mtandao wako wa simu

Kutoa na USSD

1 – Ingia kwenye akaunti yako
2 – Bonyeza Toa Pesa
3 – Chagua  ya USSD


4 – Andika kiasi unachotaka kutoa na neno la siri.
5 – Bonyeza Toa Pesa


6- Utatumiwa code ya kutolea kwenye simu yako kwa njia ya ujumbe.
7 – Piga *148*53#
8 – Chagua (3) kwa kutoa kwenye mtandao.
9 – Ingiza code ya kutoa iliyotumwa kwenye simu yako.
10 – Thibitisha na uangalie sms ya kuthibitisha muamala.

Kiasi cha chini: 1,000 – Kiasi cha juu: Hakuna kikomo

Kutoa kupitia duka 

● Ingia kwenye akaunti yako na bofya kutoa!
● Chagua duka

● Weka kiasi unachotaka kutoa na ingiza nywila yako
● Bofya kitufe cha omba kutoa
● Utapokea ujumbe mfupi na kodi yako ya kutolea kwenye simu yako
● Nenda duka letu lolote lililopo karibu yako na umpe wakala namba yako ya mteja, kiasi ulichotoa na kodi ya kutolea.