Kutoa

Kutoa kupitia simu

● Ingia kwenye akaunti yako 
● Bofya kwenye kutoa
● Chagua akaunti ya simu
● Ingiza kiasi unachotaka kutoa
● Ingiza namba yako ya siri
● Kiasi kitawekwa kwenye akaunti yako
NB: Inatakiwa utumie namba ile ile uliyotumia kujiandikisha tu!

Kutoa na USSD

1 – Andika kiasi unachotaka kutoa na neno la siri.
2 – Utatumiwa code ya kutolea kwenye simu yako kwa njia ya ujumbe.
3 – Piga *148*53#
4 – Chagua (3) kwa kutoa kwenye mtandao.
5 – Ingiza code ya kutoa iliyotumwa kwenye simu yako.
6 – Thibitisha na uangalie sms ya kuthibitisha muamala.

Kiwango cha chini. Kiasi cha kutoa kwa kila muamala

Kutoa kupitia duka 

● Ingia kwenye akaunti yako na bofya kutoa! 
● Chagua duka
● Weka kiasi unachotaka kutoa na ingiza nywila yako
● Bofya kitufe cha omba kutoa
● Utapokea ujumbe mfupi na kodi yako ya kutolea kwenye simu yako
● Nenda duka letu lolote lililopo karibu yako na umpe wakala namba yako ya mteja, kiasi ulichotoa na kodi ya kutolea.