Home ยป Usajili
1 โ Ingia kwenye tovuti yetu www.gsb.co.tz
2 โ Bonyeza kwenye Jiunge
3 โ Weka namba yako ya simu kwa ajili ya kujisajili
4 โ Jaza neno la siri, inatakiwa iwe na tarakimu zisizopungua 8 ukichanganya herufi na namba.
5 โ Jaza jina lako la kwanza na la mwisho
6 โ Usijaze sehemu ya promo-code
7 โ Kubali Vigezo na Masharti
8 โ Mwisho, bonyeza Ingia.