Welcome - Your First Steps in Gal sport Betting

1 – Ingia kwenye tovuti yetu www.gsb.co.tz
2 – Bonyeza kwenye Jiunge
3 – Weka namba yako ya simu kwa ajili ya kujisajili
4 – Jaza neno la siri, inatakiwa iwe na tarakimu zisizopungua 8 ukichanganya herufi na namba.
5 – Jaza jina lako la kwanza na la mwisho
6 – Usijaze sehemu ya promo-code
7 – Kubali Vigezo na Masharti
8 – Mwisho, bonyeza Ingia.

KUMB: Utapokea code ya uthibitisho kama ujumbe kwenye simu yako; Ingiza code hizo kuthibitisha akaunti yako.

Kuweka pesa kwa simu

● Ingia kwenye akaunti yako
● Chagua akaunti ya simu
● Andika kiasi unachotaka kuweka
● Bofya kitufe cha kuanza mchakato wa kuweka 

Utapata ukurasa ibukizi wa USSD, ingiza namba yako ya siri kumalizia kuweka.

Kuweka na USSD

Kuweka na TIGO

1 – Piga *150*01# 
2 – Chagua (4) Lipia bili
3 – Ingiza Namba ya Kampuni 277766
4 – Ingiza Kumbukumbu Namba xxxx (your User ID)
5 – Ingiza Kiasi
6 – Hakikisha kwa kuingiza namba yako ya siri

Kuweka na Airtel

1 – Piga *150*60# 
2 – Chagua (4) lipia bili kwa Airtel
3 – Ingiza Namba ya Kampuni 277766
4 – Ingiza Kumbukumbu Namba xxxx (your User ID)
5 – Ingiza Kiasi
6 – Hakikisha kwa kuingiza namba yako ya siri.

Kuweka na Vodacom

1 – Piga *150*00# 
2 – Chagua (4) Lipia bili kwa Mpesa
3 – Ingiza Namba ya Kampuni 277766
4 – Ingiza Kumbukumbu Namba xxxx (your User ID)
5 – Ingiza Kiasi
6 – Hakikisha kwa kuingiza namba yako ya siri.

Kuweka na Halotel

1 – Piga *150*88#
2 – Chagua (4) Lipia bili kwa Halo Pesa
3- Chagua (3) nambari ya Kampuni
4 – Ingiza Namba ya Kampuni 277766
5 – Ingiza Kumbukumbu Namba xxxx (your User ID)
6 – Ingiza Kiasi
7 – Hakikisha kwa kuingiza namba yako ya siri.

Kuweka kupitia duka

● Tembelea duka letu lolote 
● Mpe wakala namba yako ya mteja (inapatikana unapo bofya wasifu wa akaunti yako juu)
● Utapewa risiti na KODI YA KUWEKEA
● Itabidi kuingiza kodi hii ya kuwekea katika ukurasa wa kuwekea ndani ya menyu ya duka

Jinsi ya kuweka kwa njia ya Duka

1 -Tembelea duka lililopo karibu yako ukiwa na   namba ya akaunti yako na umpatie Mhudumu wetu kiasi unachotaka kuweka kwenye akaunti yako.
2 – Utapewa risiti yenye Code za malipo. (Angalizo: code hii ni maalumu na itakubali kwenye akaunti yako tu).
3 – Ingia kwenye akaunti
4 – Bonyeza kuweka
5 – Chagua “Shop”.
6 – Andika code ulizopewa, bonyeza Maliza muamala – hongera umefanikiwa kuongeza pesa kwenye akaunti yako sasa unaweza anza kubashiri.

100% HADI THS 1,000,000 KWENYE KUWEKA MALIPO YA KWANZA

Masharti ya kupata bonasi:
(a) Mikeka 3
(b) Mechi zisipungue 5
(c) Jumla ya kima cha chini cha odds ni 5

kiwango cha mkeka: kiwango cha kila mkeka kitakuwa sawa ya pesa ya kwanza kuweka kwenye akaunti yako.

kwa mfano: ikiwa umeweka THS 5,000 na dau lako la mkeka ni THS 7,000… kiasi ambacho kitaendelea kuwepo ni THS 5,000.
Kwa madhumuni ya kurudia mkeka mwingine: bets lazima ziwe kwenye mechi tofauti. Ukibeti kwenye mchezo huo huo – haitahesabiwa katika bonus hii.
Bonus: pata 100% hadi THS 1,000,000 kwenye kuweka malipo ya kwanza baada ya mikeka 2.

Jinsi ya kushiriki bonus hii? ni rahis – inaingia moja kwa moja katika akaunti yako baada ya kumaliza kujiandikisha na kujaza taharifa zako.

Ili kuweze kubashiri na Gal Sport Betting Tanzania zingatia Yafuatayo

1. Chagua bet yako
2. Bonyeza sehemu iliyoandikwa “Bet”
3. Weka kiwango cha pesa
4. Hakiki beti zako.

1 – Kuangalia mikeka yako, Ingia kwenye akaunti yako.
2 – Bonyeza mikeka yangu
3 – Utaona mikeka yako yote ya nyuma, kwa mfano mikeka ya leo au siku tatu za nyuma au hata mwezi nk.

Kutoa kupitia simu

● Ingia kwenye akaunti yako 
● Bofya kwenye kutoa
● Chagua akaunti ya simu
● Ingiza kiasi unachotaka kutoa
● Ingiza namba yako ya siri
● Kiasi kitawekwa kwenye akaunti yako
NB: Inatakiwa utumie namba ile ile uliyotumia kujiandikisha tu!

Kutoa na USSD

1 – Andika kiasi unachotaka kutoa na neno la siri.
2 – Utatumiwa code ya kutolea kwenye simu yako kwa njia ya ujumbe.
3 – Piga *148*53#
4 – Chagua (3) kwa kutoa kwenye mtandao.
5 – Ingiza code ya kutoa iliyotumwa kwenye simu yako.
6 – Thibitisha na uangalie sms ya kuthibitisha muamala.

Kiwango cha chini. Kiasi cha kutoa kwa kila muamala

Kutoa kupitia duka 

● Ingia kwenye akaunti yako na bofya kutoa! 
● Chagua duka
● Weka kiasi unachotaka kutoa na ingiza nywila yako
● Bofya kitufe cha omba kutoa
● Utapokea ujumbe mfupi na kodi yako ya kutolea kwenye simu yako
● Nenda duka letu lolote lililopo karibu yako na umpe wakala namba yako ya mteja, kiasi ulichotoa na kodi ya kutolea

Unaweza kupakua APP ya GSB ya Android kwa urahisi kwa kubofya Hapa. QR code GSB App Ili kupakua APP ya Galsport Betting unahitaji kufuata hatua zifuatazo: Hatua 1: Pakua faili Hatua 2: Bofya “Install” Hatua 3: Bofya “Install” Tena Hatua 4: Nenda kwenye “Setting” Hatua 5: Ruhusu Ku-Install “Unknown APPs” Hatua 6: Furahia bet yako.