Nchi mbalimbali duniani zinapambana kufuzu kwa Kombe la Dunia 2026, na sasa una nafasi ya kupata FreeBet! Weka dau lako kwenye mechi yoyote ya kufuzu Kombe la Dunia na utazawadiwa FreeBet ya hadi asilimia 50 ya dau lako.

Jiunge na promosheni kwa kutumia Kitambulisho cha Mtumiaji (User ID).

Weka dau la zaidi ya TSH 3,000 kwenye mechi za kufuzu Kombe la Dunia.

Pata FreeBet ya hadi asilimia 50 ya dau lako.

FreeBet ya Kufuzu Kombe la Dunia

SHERIA NA MASHARTI

  1. Kampuni ya Fido Technologies LTD (“GSB” ) inatoa promosheni hii kwa masharti kuwa unakubali na kukubaliana na vigezo na masharti yafuatayo.
  2. Ili kushiriki kwenye promosheni hii, mteja anatakiwa kujiunga kwa kutumia namba yake ya Kitambulisho cha Mtumiaji (User ID).
  3. Promosheni hii inapatikana kwa wateja wote waliosajiliwa kutoka nchi inayostahiki [Tanzania], kuanzia tarehe 05.06.25 hadi 10.06.25.
  4. Mteja atapokea bonasi ya FreeBet endapo atacheza dau la chini kabisa linalohitajika, na chaguo angalau 3 kwenye tiketi, kila chaguo likiwa na kiwango cha chini cha odds 1.4. FreeBet moja tu itatolewa kwa kila mtumiaji.
  5. Dau lazima liwe na angalau chaguo moja linalohusiana na mechi za kufuzu Kombe la Dunia.
  6. Kiwango cha chini cha dau kinachohitajika ili kufuzu kwa promosheni ni: TSH 3,000.
  7. Madau ambayo yalilipwa hayastahiki kwa ofa hii.
  8. Kiasi cha FreeBet kitakachotolewa kitatokana na jedwali lifuatalo:

Kiasi cha Chini cha Tiketi

Kiasi cha Juu cha Tiketi

            FreeBet

          3,000

      9,999

               1,500

         10,000

     19,999

               5,000

         20,000

     39,999

               10,000

         40,000

     59,999

               20,000

         60,000

     99,999

                30,000

         100,000

     Up abave

                 50,000

  1. Dau lazima ziwekwe kwenye matukio ya Michezo pekee, yakiwemo mechi za Mubashara (Live) na kabla ya mechi (Pre-match). Dau kwenye michezo ya Virtual (michezo pepe) hayastahiki kushiriki kwenye promosheni hii.
  2.  Bonasi itawekwa kwenye akaunti ya mteja ndani ya saa 72 baada ya promosheni kumalizika, kwa masharti kuwa vigezo vyote vya ushiriki vimetimizwa.
  3. Promosheni hii inaweza kusitishwa na Kampuni kwa hiari yake wakati wowote.
  4. Kampuni ina haki ya kubadilisha, kufuta, au kusasisha masharti ya promosheni hii au kukataa ushiriki bila taarifa ya awali. Mabadiliko kwenye masharti yataanza kutumika mara moja yatakapowekwa kwenye tovuti yetu. Ni jukumu lako kupitia masharti haya mara kwa mara kwa mabadiliko yoyote.
  5.  Kampuni ina haki ya kuchunguza rekodi za miamala ya mteja kwa sababu yoyote. Ikiwa uchunguzi utaonesha kuwa mteja alitumia mbinu ambayo Kampuni, kwa maamuzi yake binafsi, inahesabu kuwa si ya haki, basi Kampuni inahifadhi haki zifuatazo:
     a) Kufuta haki ya mteja huyo kushiriki katika promosheni.
     b) Kufuta ushindi wowote unaohusiana na promosheni hiyo.
  6.  Sheria zote za jumla za michezo ya kubahatisha ya Kampuni zinatumika kwa promosheni hii.

Masharti na Vigezo vya FreeBet

  1. Iwapo mchezaji aliyepokea FreeBet atabainika kuwa hastahili, FreeBet hiyo itabatilishwa.
  2. Kampuni ina haki ya kufuta FreeBet wakati wowote.
  3. Salio la FreeBet lazima litumike lote kwa dau moja (beti moja kamili).
  4. Beti hii moja inaweza kuwa na chaguo moja au chaguzi nyingi kwenye tiketi moja.
  5. Iwapo FreeBet itawekwa kwenye chaguo ambalo baadaye linabatilishwa, kiasi cha dau kilichowekewa bonasi kitarudishwa kwenye akaunti yako.
  6. FreeBet haina marejesho, na kiasi kilichotumika kuweka dau hakihesabiwi katika ushindi. Ni ushindi tu utakaoingizwa kwenye akaunti yako.
  7. Kila FreeBet ni halali kwa siku 3 kuanzia muda ilipopokelewa.
  8. FreeBet inaweza kutumika tu kuweka dau, na haiwezi kuhamishwa, kubadilishwa, wala kutolewa kama pesa.
  9. Salio lolote la FreeBet haliwezi kutolewa (withdraw).
  10. Iwapo utashinda kwa kutumia FreeBet, ni malipo halisi ya ushindi pekee (Net Payout) yatakayoingia kwenye akaunti yako ya kawaida.
  11. FreeBets hizi ni halali kwa matukio ya kubashiri michezo pekee, ikijumuisha mechi kabla ya kuanza (pre-match) na mechi mubashara (live).
  12. FreeBet hii haiwezi kuchanganywa na promosheni nyingine yoyote ya FreeBet kutoka kwenye Kampuni.

Masharti ya chini ya kutumia FreeBet ni:
 • Dau 1 (Wager moja)
 • Chaguo 3 (Selections 3)
 • Kiwango cha chini cha odds kwa kila chaguo: 1.3
 • Bonasi moja tu kwa kila mtumiaji