Jiunge (Opt-in), weka dau la vigezo la TSH 3,000 au zaidi lenye machaguo yasiyopungua 3, na upate FreeBet ya hadi 40% ya dau lako kila Jumatano. Iwe unacheza kwa dau kubwa au dogo, unaweza kuongeza nafasi zako za kushinda zaidi.
Jiunge na promosheni (Opt-in) ukitumia namba yako ya ID ya Mtumiaji.
Weka dau la zaidi ya TSH 3,000 lenye machaguo kuanzia 3.
Pata FreeBet ya hadi 40% ya dau lako.
| Dau la Chini (TSH) | Dau la Juu (TSH) | FreeBet (TSH) |
| 3,000 | 14,999 | 1,200 |
| 15,000 | 29,999 | 6,000 |
| 30,000 | 49,999 | 12,000 |
| 50,000 | 199,999 | 20,000 |
| 200,000 | Na zaidi | 80,000 |