WinCup

Karibu WinCup, mchezo wa bure wa Kombe la Dunia unaoendeshwa kupitia misimu 5 ya leaderboard, kuanzia hatua ya makundi hadi hatua ya 16 bora.

Tabiri matokeo ya 1X2 ya mechi za Kombe la Dunia na panda hadi kileleni mwa kila leaderboard kwa nafasi ya kushinda TSH 600,000 taslimu.

Je, Unaweza Kutabiri Kombe la Dunia?

๐Ÿ† Jiandae kwa WinCup, mchezo wa Free2Play ulioundwa kuzunguka Kombe la Dunia. Kila baada ya siku chache mchezo mpya huanza ukiwa na seti ya mechi za Kombe la Dunia.

Michezo imegawanywa katika misimu 5 ya leaderboard inayojumuisha mechi zote za hatua ya makundi, hatua ya 32 bora na hatua ya 16 bora.

Tabiri matokeo ya 1X2 ya kila mechi, jibu swali la bonasi kuhusu jumla ya mabao yaliyofungwa kwenye mechi zote za mchezo huo, na ujikusanyie pointi.

Kadri unavyopata pointi nyingi zaidi, ndivyo FreeBet yako inavyokuwa kubwa zaidi, na kila pointi unayokusanya pia hukupandisha kwenye leaderboard ya msimu huo.

  • โšก Mfumo ni rahisi, lakini mkakati ni wako:
  • Kila utabiri sahihi = pointi 10
  • Tumia Captain wako kwenye utabiri mmoja. Ukipatia utapata pointi 20 badala ya 10
  • Huna uhakika na mechi? Tumia Joker yako kuiruka na ujihakikishie pointi 5
  • Pata utabiri sahihi wa jumla ya mabao ya bonasi na ujiongezee pointi 10

๐Ÿ’ฐ Kila mchezo hulipa FreeBets kulingana na pointi ulizopata. Na kila pointi pia huongezwa kwenye jumla ya leaderboard yako. Kadri unavyopanda juu, ndivyo zawadi ya mwisho wa msimu inavyokuwa kubwa.

Pointi

Zawadi

80 points

TSH 15,000 FreeBet

70 โ€“ 75 points

TSH 7,500 FreeBet

60 โ€“ 65 points

TSH 2,500 FreeBet

Unaweza Kushinda Nini kwenye Leaderboard?

Kila pointi unayopata kwenye mchezo huongezwa kwenye jumla ya pointi zako za msimu huo wa leaderboard. Mwishoni mwa kila moja ya misimu 5, wachezaji 50 bora watashinda zawadi: washindi 3 wa juu watapata pesa taslimu, huku wengine wakipata FreeBets. Hiyo inakupa nafasi 5 za kushika nafasi ya kwanza katika kipindi chote cha mashindano.

Iwapo kutakuwa na washindi zaidi ya mmoja katika nafasi za 1, 2 au 3, zawadi ya fedha itagawanywa kwa usawa miongoni mwa washindi hao.

Nafasi

Zawadi

1

TSH 600,00 in CASH

2

TSH 300,000 in CASH

3

TSH 150,000 in CASH

4

TSH 80,000 FreeBet

5

TSH 10,000 FreeBet

6

TSH 2,500 FreeBet

7 hadi 50

TSH 1,000 FreeBet each

Muhtasari wa Misimu ya Leaderboard

Hivi ndivyo misimu 5 ya leaderboard ilivyogawanywa katika mashindano yote:

Msimu

Hatua

Leaderboard 1

Hatua ya Makundi, Mzunguko wa 1

Leaderboard 2

Hatua ya Makundi, Mzunguko wa 2

Leaderboard 3

Hatua ya Makundi, Mzunguko wa 3

Leaderboard 4

Hatua ya 32 Bora

Leaderboard 5

Hatua ya 16 Bora