Hisi msisimko wa soka la Kihispania na ushinde kubwa kupitia ofa yetu maalum! Weka dau kwenye mechi ya soka la Kihispania (La Liga, Copa del Rey au mechi yoyote ya soka ya Kihispania), na utazawadiwa FreeBet ya hadi 50% ya dau lako!

Jiunge na promosheni hii kwa kutumia namba yako (User ID)

Weka dau la zaidi ya TSH 3,000 kwenye soka la Kihispania

Pata FreeBet ya hadi 50% ya dau uliloweka

Viva Spain FreeBet

MASHARTI NA VIGEZO
  1. Fido Technologies LTD (“GSB”) inatoa promosheni hii kwa masharti kwamba unakubali na masharti na vigezo yafuatayo.
  2. Ili kushiriki kwenye promosheni hii, mteja anatakiwa kujiunga (opt-in) kwa kutumia namba yake ya Utambulisho wa Mtumiaji (User ID).
  3. Promosheni hii inapatikana kwa wateja wote waliosajiliwa kutoka nchi inayostahili [Tanzania] kuanzia tarehe 21.04.25 hadi 27.04.25.
  4. Mteja atapokea bonasi ya FreeBet endapo ataweka dau la kiwango cha chini kinachohitajika, lenye machaguo yasiyopungua matatu (3) kwenye tiketi moja, na jumla ya odds ikiwa si chini ya 5.0. FreeBet moja tu inaweza kupewa kwa kila mtumiaji.
  5. Mkeka wako lazima uwe na mechi walu moja ya Ligi ya Uhispania.
  6. Dau la chini linalohitajika ili kustahili promosheni ni: TSH 3,000.
  7. Kiasi cha FreeBet kitapewa kulingana na jedwali lifuatalo:
    Kiasi cha chini cha Tiketi Kiasi cha juu cha Tiketi           Free Bet
               3,000            9,999             1,500
               10,000           19,999              5,000
               20,000            39,999              10,000
               40,000             59,999               20,000
               60,000             99,999               30,000
              100,000           Juu ya hapo               50,000
  8. Dau lazima ziwekwe kwenye matukio ya Michezo pekee, ikiwa ni pamoja na mechi za Moja kwa Moja (Live) na kabla ya mechi (Pre-match). Dau zilizowekwa kwenye michezo ya Virtual hazistahili kushiriki kwenye promosheni hii.
  9. Bonasi itawasilishwa kwenye akaunti ya mteja ndani ya saa 72 baada ya promosheni kumalizika, endapo masharti yote ya ushiriki yatakuwa yametimizwa.
  10. Promosheni hii inaweza kusitishwa kwa uamuzi wa Kampuni wakati wowote.
  11. Kampuni inahifadhi haki ya kurekebisha, kufuta, au kuhuisha masharti ya promosheni au kukataa ushiriki bila taarifa ya awali. Mabadiliko ya masharti yataanza kutumika mara moja baada ya kuchapishwa kwenye tovuti yetu. Ni jukumu lako kupitia masharti haya mara kwa mara ili kuona kama kuna mabadiliko yoyote.
  12. Kampuni inahifadhi haki ya kukagua rekodi na kumbukumbu za miamala ya mteja kwa sababu yoyote ile. Endapo ukaguzi huo utaonyesha kuwa mteja anashiriki kwenye mkakati ambao Kampuni, kwa uamuzi wake pekee, inaona kuwa si wa haki, Kampuni inahifadhi haki zifuatazo: a) Kufuta haki ya mteja huyo kushiriki kwenye promosheni.  b) Kughairi ushindi wowote unaohusiana.
  13. Sheria zote kuu za Michezo ya Kubahatisha za Kampuni zitahusika na promosheni hii.
Masharti na Vigezo vya FreeBet
  1. Iwapo mchezaji atakayepokea FreeBet atagundulika kuwa hastahili, FreeBet hiyo itafutwa.
  2. Kampuni inahifadhi haki ya kufuta FreeBet wakati wowote.
  3. Salio lolote la FreeBet lazima litumike lote kwa dau moja (single bet).
  4. Dau hili linaweza kuwa na chaguo moja au chaguo nyingi ndani ya dau moja.
  5. Iwapo FreeBet itatumika kwenye chaguo ambalo baadaye litabatilishwa, kiasi cha dau kilichotumika kama FreeBet kitarudishwa kwenye Akaunti yako.
  6. FreeBet haina marejesho, na kiasi cha FreeBet kilichowekewa dau hakitajumuishwa kwenye ushindi wowote. Ni ushindi pekee ndio utawekwa kwenye Akaunti yako.
  7. Kila FreeBet ni halali kwa siku 3 baada ya kupokelewa.
  8. FreeBet inaweza kutumika kuweka dau pekee, na haiwezi kuhamishwa, kubadilishwa, wala kuuzwa.
  9. Salio lolote la FreeBet haliwezi kutolewa kama pesa taslimu.
  10. Iwapo utashinda dau ulilotumia FreeBet, ni Malipo Halisi tu (Net Payout) yatakayowekwa kwenye salio lako halisi.
  11. FreeBets hizi ni halali kwa matumizi kwenye matukio ya Kubashiri Michezo pekee, ikiwa ni pamoja na mechi kabla ya kuanza (pre-match) na mechi za moja kwa moja (live).
  12. FreeBet hizi haziwezi kutumika pamoja na promosheni nyingine yoyote ya FreeBet kutoka Kampuni.
  13. Mahitaji ya chini ili kutumia FreeBet:
  • Dau 1
  • Machaguo 3
  • Kiwango cha chini cha odds kwa kila chaguo: 1.3
  • Bonasi moja kwa kila mtumiaji