Hisi msisimko wa Ligi ya Mabingwa!Jisajili kwenye promosheni, weka dau la TSH 4,000 au zaidi, na tutakupa FreeBet ya TSH 4,000 ili kuendeleza burudani ⚽

Jisajili kwenye promosheni. Tumia namba yako (User ID).

Weka dau la zaidi ya TSH 4,000 kwenye mechi za Ligi ya Mabingwa.

Pokea FreeBet ya TSH 4,000!

UCL Bet & Get – SHERIA NA MASHARTI

  1. Fido Technologies LTD (“GSB”) inatoa promosheni hii kwa masharti kwamba unakubali na unakubaliana na sheria na masharti yafuatayo.
  2. Ili kushiriki katika promosheni hii, mteja anatakiwa kujisajili kwa kutumia namba yake ya Kitambulisho cha Mtumiaji (User ID).
  3. Promosheni hii inapatikana kwa wateja wote waliosajiliwa kutoka nchi inayostahiki [Tanzania], kuanzia tarehe 16.09.25 hadi 18.09.25 .
  4. Mteja atapokea FreeBet endapo ataweka dau la kiwango cha chini kinachohitajika kwenye tiketi yenye uchaguzi wa angalau machaguo 3, kila chaguo likiwa na kigezo cha kiwango cha chini cha odds ya 1.4. Ni FreeBet moja tu itakayotolewa kwa kila mtumiaji.
  5. Dau lazima liwe na angalau mechi moja ya Ligi ya Mabingwa Ulaya (Champions League).
  6. Kiasi cha chini cha dau kinachohitajika ili kustahiki promosheni hii ni TSH 4,000. Dau lazima liwekwe kwa kutumia pesa halisi.
  7. Ikiwa masharti yote yatatimizwa, mtumiaji atapata FreeBet ya TSH 4,000.
  8. Madau lazima yawekwe kwenye michezo ya kubashiri (Sports) pekee, yakiwemo mechi za moja kwa moja (Live) na kabla ya kuanza (Pre-match). Madau yaliyowekewa Cash-out hayastahili kushiriki kwenye promosheni hii.
  9. Bonasi ya FreeBet itawasilishwa kwenye akaunti ya mteja ndani ya saa 72 baada ya promosheni kumalizika, iwapo masharti yote yamekamilika.
  10. Promosheni hii inaweza kusitishwa na Kampuni kwa uamuzi wake wowote wakati wowote.
  11. Kampuni ina haki ya kurekebisha, kufuta au kuhuisha masharti ya promosheni hii au kukataa ushiriki bila kutoa taarifa ya awali. Mabadiliko ya masharti yataanza kutumika mara moja baada ya kuchapishwa kwenye tovuti yetu. Ni jukumu lako kupitia masharti haya mara kwa mara kwa mabadiliko yoyote.
  12. Kampuni ina haki ya kupitia rekodi za miamala na kumbukumbu za wateja kwa sababu yoyote ile. Ikiwa mapitio hayo yataonyesha kuwa mteja ameshiriki katika mkakati ambao Kampuni, kwa maamuzi yake ya kipekee, inaona kuwa si wa haki, basi Kampuni ina haki ya:
         a) Kumnyima mteja huyo haki ya kushiriki katika promosheni.
         b) Kufuta ushindi wowote uliopatikana kutokana na promosheni hiyo.
  13. Sheria zote kuu za michezo ya kubahatisha za Kampuni zinatumika kwenye promosheni hii.

Sheria na Masharti ya FreeBet

  1. Ikiwa mchezaji atakayepokea FreeBet atagundulika kuwa hastahili, FreeBet hiyo itafutwa.
  2. Kampuni inahifadhi haki ya kufuta FreeBet wakati wowote.
  3. Salio la FreeBet lazima litumike lote kwa dau moja tu.
  4. Dau hilo moja linaweza kuwa na chaguo moja au machaguo mengi kwenye dau hilo moja.
  5. Iwapo FreeBet itawekwa kwenye chaguo ambalo baadaye litafutwa (voided), kiasi cha awali cha dau la FreeBet kitarudishwa kwenye Akaunti yako.
  6. FreeBet haiwezi kurejeshwa, na kiasi kilichowekewa cha dau kutoka kwenye FreeBet hakitajumuishwa kwenye ushindi. Ni ushindi tu ndio utakaowekwa kwenye Akaunti yako.
  7. Kila FreeBet ni halali kwa muda wa siku 3 baada ya kupokelewa.
  8. FreeBet inaweza kutumika tu kwa kuweka madau, na haiwezi kuhamishwa, wala kubadilishwa kuwa pesa taslimu.
  9. Salio lolote la FreeBet halitoweza kutolewa.
  10. Iwapo utashinda dau uliloweka kwa kutumia FreeBet, malipo halisi ya ushindi (Net Payout) pekee ndio yataongezwa kwenye salio lako halisi.
  11. FreeBet hizi ni halali kutumika kwenye michezo ya kubashiri pekee, ikiwa ni pamoja na mechi za kabla ya kuanza (pre-match) na moja kwa moja (live).
  12. FreeBet hizi haziwezi kutumika sambamba na promosheni nyingine ya FreeBet kutoka Kampuni.
  13. Masharti ya chini ya kutumia FreeBet ni:
  • Dau 1
  • Machaguo 3
  • Kiwango cha chini cha odds kwa kila chaguo: 1.3
  • Bonasi moja tu kwa kila mtumiaji