Alhamisi Sasa ni Super!
Jiunge (Opt-in), weka dau la vigezo la TSH 3,000 au zaidi lenye machaguo yasiyopungua 3, na upate FreeBet ya hadi 40% ya dau lako kila Alhamisi. Iwe unacheza kwa dau kubwa au dogo, unaweza kuongeza nafasi zako za kushinda zaidi.

Jiunge na promosheni (Opt-in) ukitumia namba yako ya ID ya Mtumiaji.

Weka dau la zaidi ya TSH 3,000 lenye machaguo kuanzia 3.

Pata FreeBet ya hadi 40% ya dau lako.

SUPER THURSDAY: VIGEZO NA MASHARTI

VIGEZO NA MASHARTI YA PROMOSHENI

Fido Technologies LTD (“Kampuni”) inatoa promosheni hii kwa kuelewa kuwa unakubali na kufuata vigezo na masharti yafuatayo.

1. Kipindi cha Promosheni

Promosheni hii ni kwa wateja wote waliosajiliwa kila Alhamisi kuanzia tarehe 02.04.2026 (00:01 GMT) hadi 07.05.2026 (23:59 GMT).

2. Vigezo vya FreeBet

  • Ili kushiriki, mteja anapaswa kujiunga (opt-in) kwa kutumia namba yake ya ID ya Mtumiaji.
  • Mteja atapata FreeBet iwapo ataweka kiasi cha chini cha dau kwenye tiketi ya michezo yenye machaguo yasiyopungua 3, na kila chaguo liwe na odds zisizopungua 4.
  • Kiasi cha chini cha dau ili kufuzu ni TSH 3,000. Dau lazima liwekwe kwa pesa taslimu.
  • FreeBet moja tu itatolewa kwa kila mtumiaji.

Jedwali la FreeBet:

Dau la Chini (TSH)Dau la Juu (TSH)FreeBet (TSH)
3,00014,9991,200
15,00029,9996,000
30,00049,99912,000
50,000199,99920,000
200,000499,99980,000
500,000Na zaidi200,000
  • Dau lazima liwekwe kwenye michezo (Sports) pekee, Live na Pre-match. Virtual sports na Cash-out hazihusiki.
  • Bonasi itawekwa kwenye akaunti ndani ya saa 72 baada ya promosheni kuisha.

3. Taarifa za FreeBet

  • Salio la FreeBet lazima litumike lote kama dau moja (single bet).
  • FreeBet ina dumu kwa siku 3 baada ya kuipokea.
  • Ushindi wa FreeBet utalipwa kama faida pekee (Net Payout) bila kujumuisha kiasi cha dau la FreeBet.
  • Vigezo vya kutumia FreeBet: Dau 1, Machaguo 3, Odds za chini kwa kila chaguo: 3.

4. Masharti ya Jumla

  • Kampuni ina haki ya kubadilisha au kusitisha promosheni hii wakati wowote.
  • Mbinu zozote zisizo za haki zitasababisha kufutwa kwa ushindi na bonasi.
  • Promosheni hii inafuata Vigezo na Masharti ya Jumla ya Kampuni.