Jiandae kwa Ushindi wa Kipekee! Jiunge na Mashindano ya Super Spins  na shiriki kuwania sehemu ya TSH 6,000,000! Kwa kila TSH 983 unayoweka kama dau, utapata pointi 1. Hakuna dau la chini linalohitajika – kila mzunguko unakupeleka karibu zaidi na kilele! Kadri unavyokusanya pointi nyingi, ndivyo zawadi yako inavyokuwa kubwa zaidi.

Chagua mchezo unaoshiriki katika mashindano

Cheza na kusanya pointi – Kila TSH 983 = pointi 1

Pata sehemu yako ya TSH 6,000,000

Mashindano ya Super Spins

Jinsi ya Kushiriki?

Cheza michezo inayoshiriki tu na angalia dau likigeuka kuwa pointi: TSH 983 = pointi 1. Kwa mfano, ukicheza michezo inayoshiriki kwa jumla ya TSH 29,490, utapata pointi 30. Inasikika kufurahisha, sivyo? Twende tukashinde sasa!

Michezo Inayoshiriki:

  • Hot and Spicy Jackpot
  • Combo Seven
  • Hot and Spicy Megaways
  • Jack Potter Megaways
  • Anubis’ Obelisk
  • Weekend in Varanasi
  • Wild West Girls
  • Wild Coins
  • Joker Coins
  • Jack Potter Deluxe
  • Clown Coins
  • Dragon Gates
  • Caramelo Jackpot
  • Crystal Treasure
  • Piggy Bonanza
  • Cherry Boom
  • Tropicana Fruits
  • Spring Bunny
  • Liga Fortuna Megaways
  • Chinese Express

Vigezo na Masharti 

  1. Fido Technologies LTD (“Gal Sport Betting” au “Kampuni”) inatoa promosheni hii kwa sharti kwamba unakubali na unakubaliana na sheria na masharti yafuatayo.
  2. Promosheni hii inapatikana kwa wateja wote waliosajiliwa kutoka nchi inayostahiki [Tanzania] kuanzia 21.04.25 (00:01 GMT+2) hadi 27.04.25 (23:59 GMT+2).
  3. Mashindano ya “Super Spins” (“Kampeni”) yanapatikana tu katika hali ya Real Mode na kwa kutumia fedha halisi.
  4. Hakuna dau la chini linalohitajika ili kushiriki katika kampeni hii.
  5. Wachezaji wanaoshiriki watahusika katika kampeni hii kwa kuweka dau linalostahiki kwenye michezo inayoshiriki katika kipindi cha kampeni. Hakuna gharama ya ziada. Kila mtumiaji anaruhusiwa kushiriki mara moja tu katika promosheni hii.
  6. Dau lazima liwekwe katika michezo inayoshiriki pekee.
  7. Michezo inayoshiriki ni kama ifuatavyo:Hot and Spicy Jackpot, Combo Seven, Hot and Spicy Megaways, Jack Potter Megaways, Anubis’ Obelisk, Weekend in Varanasi, Wild West Girls, Wild Coins, Joker Coins, Jack Potter Deluxe, Clown Coins, Dragon Gates, Caramelo Jackpot, Crystal Treasure, Piggy Bonanza, Cherry Boom, Tropicana Fruits, Spring Bunny, Liga Fortuna Megaways, Chinese Express.
  8. Watumiaji wanaweza kufuatilia maendeleo yao binafsi au kuona jedwali la vinara kwa kufungua mchezo wowote unaoshiriki kwenye promosheni.
  9. Pointi hutolewa kulingana na jumla ya kiasi kilichowekewa dau na mshiriki. Kwa kila TSH 983 iliyowekewa dau, mchezaji hupata pointi 1. Pointi hutolewa kwa uwiano wa kiasi kilichowekewa dau. Kwa mfano:
    1. Dau la TSH 295 linapata pointi 0.3.
    2. Dau la TSH 17,694 linapata pointi 18.
  10. Pointi za ziada hutolewa kwa mchezaji kulingana na multiplier aliyopata kutokana na dau, yaani thamani ambayo dau lilizidishwa. Pointi za ziada hutolewa tu kwa multiplier ya 1.00 au zaidi. Hakuna pointi za ziada kwa multiplier chini ya 1.00. Idadi ya pointi za ziada hutolewa kwa kutumia fomula ifuatayo:
    Multiplier × 10 Kwa mfano, kwa multiplier ya 1.25, mchezaji atapata pointi 12.5 (1.25 × 10 = 12.5).
  11. “Happy Hours” ni vipindi maalum vya muda ambapo wachezaji wanaweza kupata hadi asilimia 20 zaidi ya pointi kutoka kwa dau za multipliers. Muda na ratiba ya Happy Hours huonyeshwa kupitia countdown timer kwenye ukurasa wa mashindano. Kwa kila kipindi cha saa 24, kutakuwa na jumla ya saa 8 za Happy Hours.
  12. Washindi wa zawadi huchaguliwa kulingana na jumla ya pointi nyingi zaidi walizokusanya wakati wa mashindano.
  13. Zawadi huwekwa moja kwa moja kwenye akaunti ya mteja mara baada ya kupokea taarifa ya ushindi au muda mfupi baada ya hapo, kwa sharti kuwa vigezo vyote vya kushiriki na kustahiki vimetimizwa.
  14. Washindi wataarifiwa kupitia simu au SMS kwa kutumia taarifa za mawasiliano walizojisajilia nazo. Ikiwa mshindi hatapatikana ndani ya saa 72 baada ya promosheni kumalizika, zawadi itapokonywa. Zawadi hiyo inaweza kutolewa kwa mshiriki mwingine anayestahiki aliye juu zaidi kwenye jedwali la vinara kulingana na pointi alizokusanya.
  15. Zawadi zitatolewa kulingana na jedwali la zawadi (Prize Pool Tab).
  16. Promosheni hii ni sehemu ya kampeni ya matangazo yenye jumla ya thamani ya juu kabisa ya zawadi ya TSH 6,000,000.
  17. Ni wachezaji waliothibitishwa wa Kasino pekee ndio wanaostahiki kushinda zawadi.
  18. Zawadi za pesa taslimu hazina masharti yoyote ya kucheza (wagering requirements).
  19. Zawadi zitakazolipwa wakati wa kutumia fedha za bonasi zitalipwa kwa njia ya bonasi.
  20. Zawadi za pesa taslimu zitalipwa kwa sarafu ile ile ambayo dau la ushindi liliwekwa, kulingana na kiwango cha kubadilisha fedha kutoka Euro.
  21. Kasino ina haki ya kuto kulipa zawadi ya pesa taslimu ikiwa ushindi umetokana na hitilafu yoyote dhahiri, makosa ya kiufundi (ikiwemo malipo yasiyo sahihi ya mchezo) au makosa ya kibinadamu katika michezo inayoshiriki. Kasino pia ina haki ya kuto kulipa zawadi endapo, kwa maoni yake, ushindi umetokana na udanganyifu au njama kati ya wachezaji.
  22. Kasino ina haki ya kurekebisha, kubadilisha, kusitisha au kumaliza promosheni hii wakati wowote kwa sababu yoyote ile. Pia ina haki ya kubadilisha sheria na masharti ya ofa hii wakati wowote. Masharti ya awali yataheshimiwa kwa wachezaji waliodai hadi muda wa mabadiliko hayo.
  23. Sheria na masharti haya yanaweza kuchapishwa kwa lugha mbalimbali kwa madhumuni ya taarifa na kuwasaidia wachezaji kuelewa kwa urahisi. Iwapo kutatokea tofauti yoyote kati ya tafsiri hizi na toleo la Kiingereza, basi toleo la Kiingereza litachukuliwa kuwa sahihi.
  24. Vigezo na Masharti ya Ofa yatatumika.