Spin the Wheel na Acha Bahati iamue Zawadi Yako! Kila Spin inaweza kufungua zawadi papo hapo unapokimbiza sehemu yako ya mfuko mkubwa wa zawadi wa TSH 8,300,000,000. Hakuna uongozi wa alama, hakuna mashindano—ni bahati tu na mshangao wa kusisimua unaowangoja wachezaji wenye bahati zaidi.

Nenda kwenye sehemu ya Kasino

Cheza michezo inayoshiriki

Shinda sehemu yako ya Mfuko wa Zawadi

Spin & Win

Jinsi ya Kushiriki kwenye Spin & Win?

  1. Jiunge au chagua kushiriki kwenye mchezo wowote unaoshiriki.
  2. Lazima ufanye angalau mzunguko mmoja (1) kwa kutumia pesa halisi kwa kuweka dau linalokubalika katika mchezo wowote unaoshiriki.
  3. Kila Dau Linalokubalika (kama litakavyofafanuliwa hapa chini) lililowekwa kwenye mchezo wowote unaoshiriki linaweza kushinda zawadi moja (1) kutoka kwenye mfuko wa zawadi wakati wa Kipindi cha Promosheni.

Masharti na Vigezo 

  1. Mashindano ya Zawadi za Papo Hapo ya “Spin & Win” ya SmartSoft (“Kampeni”) yanapatikana tu katika hali ya Real mode (hali ya pesa halisi).
  2. Kampeni inaanza tarehe 01/09/2025 na itaendelea hadi tarehe 30/11/2025 (Kipindi cha Kampeni). Kwa undani zaidi, kampeni itafanyika kwa vipindi vya kila mwezi:Kuanzia tarehe 1–29 Septemba,Tarehe 1–30 Oktoba na Tarehe 3–30 Novemba Kampeni itaisha saa 06:59 siku ya mwisho ya kila kipindi.
  3. Wachezaji wanaoshiriki wataingia kwenye kampeni kwa kuweka dau linalokubalika katika michezo inayoshiriki wakati wa kipindi cha kampeni. Hakuna gharama ya ziada kwa kushiriki.
  4. Michezo inayoshiriki ni: Jetx, PlinkoX, FootballX, CricketX, SlicerX, Helicopter X, JetX3, RollX, Mine Island, SmashX, CrashDuelX, Multi Hot 5, Multi Hot Ways, Burning Ice 40, Foxy Hot 20, Farm’s Fortune, Burning Ice, Dragon’s Code, Mad Slot, Wild Multi Stars, Jungle Sisters, Dracula’s Fortune, Wilds&Gods, Book Of Futuria, Safari Simba, Hot Samba, Bao Slot 5X, Burning Ice 10, Book Of Bonanza, Samurai.
  5. Kiasi cha chini cha dau kinachohitajika ili kufuzu kwa ofa ni: TSH 300. Ushiriki mmoja tu katika ofa kwa kila mtumiaji.
  6. Dau lolote linalokubalika katika michezo inayoshiriki ndani ya kipindi cha kampeni linaweza kuchochea ushindi wa zawadi kutoka kwenye mfuko wa zawadi.
  7. Dau linalokubalika linaweza kushinda tu zawadi moja.
  8. Mashindano ya Mtandao ya “Spin & Win” yanajumuisha wheels na zawadi za bahati nasibu, inayoweza kutoa hadi TSH 1,500,000 kwa kila mzunguko.
  9. Wachezaji wanaweza kupokea zawadi ya wheel spin baada ya kuweka dau linalokubalika kwenye michezo inayoshiriki. Mara tu wakipokea wheel Spin, wachezaji wanapaswa kubofya kitufe cha “SPIN” ili kudai nafasi yao ya kushinda zawadi ya pesa taslimu.
  10. Wachezaji watakuwa na sekunde 30 za Kuspin wheel baada ya kuonekana. Ikiwa hakutakuwa na kitendo chochote ndani ya muda huu, wheel itajiSpin yenyewe moja kwa moja, na zawadi itatolewa kwa bahati nasibu.
  11. Kipengele cha auto-Spin kitaondolewa pindi zawadi ya Wheel inapoonekana.
  12. Nafasi za zawadi kwenye Wheel huundwa kwa bahati nasibu mwanzoni mwa kila Spin.
  13. Wheel yoyote ambayo haijatumiwa itapotea kampeni itakapomalizika.
  14. Wachezaji wanaweza kuona taarifa kuhusu washindi kupitia sehemu ya taarifa ya promosheni (promotion lobby).
  15. Kila Spin kwenye mashindano ina mfuko wake wa zawadi, huku mfuko wa jumla wa zawadi kwa mashindano yote ukiwa TSH 8,300,000,000, kama ilivyoelezwa zaidi katika masharti haya.
  16. Zawadi za pesa taslimu zitawekwa kwenye akaunti ya kasino ya mchezaji ndani ya siku 7 baada ya ushindi au saa 72 baada ya kipindi cha promosheni kumalizika.
  17. Ni Wachezaji wa Kasino waliothibitishwa pekee ndio wanaostahili kushinda zawadi.
  18. Hitilafu na makosa yanaweza kufanya mchezo na malipo kuwa batili.
  19. Zawadi za pesa taslimu zitawekwa kwa sarafu ileile iliyotumika kwenye dau la ushindi, kulingana na kiwango cha ubadilishaji wa Euro kilichowekwa wakati dau la ushindi liliwekwa.
  20. Ni Spin ya dau iliyokamilika pekee ndio itafuzu kwa Mashindano.
  21. Malipo ya zawadi za pesa taslimu wakati wa mashindano hayatakuwa na masharti yoyote ya kubashiri
  22. Baada ya kushinda nafasi ya Prize Drop, kiasi kidogo cha dau kinaweza kukatwa kwa muda kutoka kwenye fedha za mchezaji, kulingana na sera ya kasino. Kukatwa huku ni kwa muda mfupi, na kiasi hicho kitarudishwa baada ya kuSpin Wheel
  23. Kasino ina haki ya kusimamisha au kumfutia mchezaji ushiriki wake katika Spin moja au zaidi katka mashindano, au mashindano yote, au kurekebisha alama zao kwenye ubao wa vinara, ikiwa kuna sababu za msingi za kushuku tabia isiyo halali, matumizi mabaya, au mchezo wa udanganyifu (ikiwemo udanganyifu wa mfumo au kutumia mianya ya kimfumo).
  24. Masharti haya yanaweza kubadilishwa kulingana na sheria husika, na yanaweza kurekebishwa wakati wowote. Kuendelea kushiriki baada ya mabadiliko kutachukuliwa kuwa kukubaliana na masharti mapya.
  25. Kasino ina haki ya kushikilia au kufuta zawadi yoyote ya pesa ikiwa ushindi umetokana na kosa la wazi, hitilafu ya kiteknolojia (ikiwemo malipo yasiyo sahihi ya mchezo), hitilafu ya mashine, au kosa la kibinadamu katika mojawapo ya michezo inayoshiriki. Kasino pia inaweza kushikilia au kufuta zawadi ikiwa, kwa maoni yake ya kipekee, ushindi umetokana na udanganyifu, ushirikiano, au hila kati ya wachezaji.
  26. Kasino ina haki ya kubadilisha, kusimamisha, au kusitisha promosheni hii wakati wowote, kwa sababu yoyote. Mabadiliko haya hayataathiri wachezaji ambao tayari wamefuzu kushinda zawadi kabla ya mabadiliko. Katika hali hiyo, masharti ya awali yataendelea kutumika.
  27. Masharti haya yanaweza kutafsiriwa kwa lugha mbalimbali kwa urahisi wa wachezaji. Endapo kutakuwa na utofauti wowote, toleo la Kiingereza litazingatiwa.
  28. Endapo kutatokea tofauti kati ya masharti haya na sheria zilizoonyeshwa kwa mchezaji ndani ya zana ya mashindano, sheria zilizo ndani ya zana ya mashindano ndizo zitakazotumika.
  29. Masharti na Vigezo ya Jumla yanatumika.