Home » Promotions » Rejesho 10% la wikiendi
Tuzamie Zaidi kwenye michezo ya kubashiri kwa ofa nzuri kutoka GSB. Jisajili na ID namba yako, Weka mikeka kwenye upande wa mechi na ufaidi nafasi ya kupata 10% ya mikeka iliyochanika wikendi hii.
Kwa mfano : Ikiwa jumla ya dau lako mwishoni mwa wiki ni TSH 50,000, na ukapoteza TSH 30,000, utapewa 10% ya TSH 30,000 kama dau la bure. Madau bila malipo yatatolewa kulingana na jedwali hapa chini.
WASHIRIKI WALIOJIUNGA 17 FEBRUARY – 19 FEBRUARY 2023 WATAFUZU KATIKA OFA
Baada ya kujiunga katika ofa na ID namba yako, Mikeka utakayowekaIjuma, Jumamosi na Jumapili itafuzu.
MIN LOOSE | MAX LOOSE | BONUS |
10000 | 50000 | 1000 |
50001 | 100000 | 5000 |
100001 | 150000 | 10000 |
150001 | 200000 | 15000 |
200001 | 300000 | 20000 |
300001 | 30000 |
Vigezo na Masharti
f. Ofa hii haiwezi kutumika na OFA nyingine, OFA hii inajitegemea na hazitaingiliana na Ofa nyingine za GSB.
Gal Sport Betting Copyright © 2022
All rights reserved.