Jitayarishe kuweka bashiri kwenye mashindano bora zaidi ya michezo ukiwa na nafasi nzuri ya kushinda Premium FreeBet kutoka GSB. Usipoteze wakati wako wa thamani – Jiunge kwa kutumia ID namba yako na uanze kuweka bashiri!

Jiunge na promosheni na
ID yako

Bashiri Tsh 7,000 na kuendelea
chaguzi 3 zenye

Pokea bet ya bure kutokana
na Jedwali

Premium FreeBet

VIGEZO NA MASHARTI VYA PROMOSHENI

 1. Wateja wote wa GSB waliosajiliwa wanaweza kushiriki katika ofa hii.
 2. Ili kushiriki mteja anahitaji KUJIUNGA na ofa hii kwa kutumia ID namba ya account.
 3. Ofa itafanyika 06.10.23 (00:01 GMT) hadi 08.10.23 (23:59 GMT)
 4. Beti moja pekee kwa kila mchezaji.
 5. Baada ya OPT IN lazima mteja aweke tikiti iliyo na chaguo 3 za chini katika ya Michezo. Dau zingine zote katika michezo ya Kasino au Virtual hazitohuskia katika ofa hii.
 6. Kiasi cha chini cha tiketi kushiriki ni 7,000 TSH.
 7. Kiwango cha chini cha Bet ya Bure kitakachotolewa TSH 1,400.
 8. Kiwango cha juu cha Bet ya Bure kitakachotolewa ni 100,000 TSH.
 9. Namna ya kutumia zawadi ya Beti za bure:
 10. Mkeka mmoja
 11. Chaguzi 3
 12. Kiwango cha chini cha odds kwenye kila mechi: 1.5
 13. Bonasi moja kwa kila mtumiaji
 14. Kiasi cha Bonasi kitawekwa kulingana na jedwali:
Kiwango cha chini cha kuweka kwenye mkeka Kiwango cha juu cha kuweka kwenye mkeka Bonasi
7,000 14,999 1,400
15,000 29,999 3,000
30,000 49,999 6,000
50,000 199,999 10,000
200,000 499,999 40,000
500,000   100,000
 1. Ikiwa mchezaji anayepokea FreeBet hakustahili, FreeBet itarudishwa.
 2. GSB inahifadhi haki ya kughairi FreeBet wakati wowote.
 3. Salio lolote la Dau Bila malipo lazima litumike kwa ukamilifu kama dau moja.
 4. Dau hili moja linaweza kujumuisha chaguo moja au chaguo nyingi katika dau moja.
 5. Iwapo FreeBet itawekwa kwenye chaguo ambalo litabatilishwa baadaye, kiasi cha awali cha Bet ya Bonasi kilichochezeshwa kitarudishwa kwenye Akaunti yako.
 6. FreeBet haiwezi kurejeshwa, na kiasi kilichotolewa cha FreeBet hakijumuishwi katika ushindi wowote. Ni ushindi pekee utakaolipwa kwenye Akaunti yako.
 7. Kila FreeBet ni halali kwa siku 3 baada ya kuipokea.
 8. FreeBet inaweza kutumika kuweka dau pekee, na haiwezi kuhamishwa, kubadilishwa au kutolewa.
 9. Salio lolote linalopatikana la FreeBet haliwezi kuondolewa.
 10. Iwapo utashinda dau ukitumia FreeBet utapata Malipo ya Jumla kwa salio lako halisi.
 11. FreeBets hizi zinapatikana kwenye matukio ya Kuweka Dau kwenye Michezo pekee (kabla ya mechi na moja kwa moja).

FreeBet hizi haziwezi kutumika pamoja na ofa nyingine yoyote ya FreeBet kutoka Gal Sports Betting.