PATA HADI 60% KATIKA FREEBETS/MIKEKA YA BURE

Wewe ni shabiki wa Ligi Kuu ya Uingereza,  hii ni ofa nzurisana kwako.

Jinsi ya kushiriki? Jisajili kwa ID namba yako kwa ofa hii na uweke dau kwa urahisi kwenye Ligi Kuu kuanzia Februari 3 hadi Februari 5, ukianza na dau la TSH 10,000 au zaidi. Nenda bashiri na GSB na ujishindie kwa KISHINDO!

Vigezo na Masharti ya Ofa

 • WACHEZAJI WOTE LAZIMA WAJISAJILI KWA KUTUMIA ID NAMBA ILI KUSHIRIKI KATIKA OFA.

Jinsi ya kujisajili? Nenda kwenye akaunti yako, tafuta ID NAMBA, fungua ukurasa huu wa ofa, jaza sehemu ya ID NUMBA na ubofye kitufe cha JISAJILI KATIKA OFA. Usajili wako wa ofa hii umekamilika.

 • Washiriki wote wanaweza kushiriki katika ofa kulingana na Vigezo na Masharti yetu ya Ofa.
 • Kipindi cha ofa ni: 03.02.23 (00:01 GMT) – 05.02.23 (23:59 GMT).
 • Moja ya chaguo kwa kila tiketi lazima iwekwe kwenye mashindano ya Premier League na 2 zaidi kwenye mechi nyingine yoyote ya michezo. Dau zingine zote katika nafasi za Kasino au Michezo ya Mtandaoni hazijajumuishwa kwenye ofa hii.
 • Bet ya juu zaidi ya mshirikii kila siku itatumika kama dau linalofuzu kwa siku hiyo. Kwa mfano, ukiweka dau 2 mfululizo za TSH 10,000 na TSH 15,000, dau lako la kiwango cha kuingia litachukuliwa TSH 15,000.
 • FreeBet moja pekee kwa kila mshiriki.
 • Washiriki watapata mkeka wa bure kulingana na dau zao kwenye jedwali hapa chini:

MIN

MAX 

KIASI CHA BONUS

5,000

14,999

3,000

15,000

34,999

10,000

35,000

84,999

21,000

85,000

134,999

51,000

135,000

na zaidi

81,000

 • Iwapo mshiriki atashinda FreeBet, FreeBet itawekwa kwenye akaunti yake ndani ya saa 72 baada ya muda wa ofa kuisha.
 • Dau zinazowekwa kwa pesa za bonasi hazistahiki.
 • GSB ina haki ya kurekebisha masharti ya ofa, kughairi au kusasisha ofa, au kukataa kushiriki wakati wowote bila taarifa ya awali.
 • GSB inahifadhi haki ya kukagua rekodi za miamala za wateja na kumbukumbu kwa sababu yoyote ile. Iwapo, baada ya ukaguzi kama huo, inaonekana kwamba mteja anashiriki katika mkakati ambao GSB kwa uamuzi wake pekee inaona kuwa si sawa, GSB inahifadhi haki ya kubatilisha haki ya wateja kama hao kwa ofa na kughairi ushindi wao.
 • Sheria zetu zote za jumla za Michezo ya Kubahatisha zinatumika

Vigezo na Masharti ya Mkeka wa Bure.

 • GSB inahifadhi haki ya kughairi ofay a mkeka wa bure wakati wowote
 • Salio lolote la mkeka wa bure lazima litumike kwa ukamilifu kama dau moja pekee!
 • Salio lolote linalopatikana lamkeka wa bure haliwezi kuondolewa
 • Dau hizi za mkeka ya bure zinapatikana kwenye matukio ya Kuweka bet kwenye Michezo pekee (kabla ya mechi na moja kwa moja)
 • Dau la mikeka ya bure haliwezi kutumika pamoja na ofa nyingine yoyote ya bure ya dau kutoka kwa Gal Sports Betting
 • Mahitaji ya chini kabisa ili kutumia mikeka ya bure:

o Dau lote litumike kama mkeka 1

o Chaguzi za mechi 3

o Kima cha chini cha ODDS kwa kila mechi iwe: 1.5 au zaidi

• Muda wa Bonasi : Siku 7 peke.