Uko tayari kwa misheni ya mwisho? Cheza mchezo wako wa “crash” unaoupenda na panda kwenye ubao wa viongozi kwa ajili ya TSH 4,000,000. Alama zako zinapokuwa nyingi, zawadi yako huwa kubwa zaidi! Ni wakati wa kucheza kwa akili, kupata alama nyingi na kudai sehemu yako. Acha “crash” ianze!

Cheza mchezo wa kufuzu

Cheza na kusanya alama. Kila TSH 1000 = alama 1

Pata sehemu yako ya TSH 4,000,000

Misheni CosmoX

Jinsi ya Kushiriki?

Cheza mchezo wa kufuzu pekee kwa kuweka dau la TSH 100 au zaidi ili kuona dau lako likigeuka kuwa alama. Panda kwenye ubao wa viongozi – kadiri alama zako za jumla zinavyokuwa nyingi, ndivyo sehemu yako ya zawadi ya pesa inavyokuwa kubwa zaidi.TSH 4,000,000 zinasubiri kushindaniwa! Inaonekana ya kufurahisha, sivyo? Hebu tuanze “crash” sasa!

Mchezo wa kufuzu:

  • CosmoX

Vigezo na Masharti

  1. Fido Technologies LTD (“Gal Sport Betting” au “Kampuni”) inatoa promosheni hii kwa sharti kwamba unakubali na unakubaliana na sheria na masharti yafuatayo.
  2. Promosheni hii inapatikana kwa wateja wote waliosajiliwa kutoka nchi inayostahiki [Tanzania] kuanzia 02.06.25 (00:01 GMT+2) hadi 08.06.25 (23:59 GMT+2).
  3. Mashindano ya “Misheni CosmoX” (“Kampeni”) yanapatikana tu katika hali ya Real Mode na kwa kutumia fedha halisi.
  4. Kiasi cha chini cha dau kinachohitajika ili kufuzu kwa ofa ni: TSH 100. Ushiriki mmoja tu katika ofa kwa kila mtumiaji.
  5. Wachezaji wanaoshiriki watahusika katika kampeni hii kwa kuweka dau linalostahiki kwenye michezo inayoshiriki katika kipindi cha kampeni. Hakuna gharama ya ziada. Kila mtumiaji anaruhusiwa kushiriki mara moja tu katika promosheni hii.
  6. Dau lazima liwekwe katika michezo inayoshiriki pekee.
  7. Mchezo wa kufuzu ni huu ufuatao: CosmoX.
  8. Watumiaji wanaweza kufuatilia maendeleo yao binafsi.
  9. Alama hutolewa kulingana na jumla ya dau lililowekwa na mshiriki. Kwa kila TSH 1000, mchezaji anapata alama 1.
  10. Washindi wa zawadi watachaguliwa kulingana na alama za mwisho za mchezaji zilizokusanywa kwenye jedwali la vinara wakati wa mashindano.
  11. Zawadi huwekwa moja kwa moja kwenye akaunti ya mteja mara baada ya kupokea taarifa ya ushindi au muda mfupi baada ya hapo, kwa sharti kuwa vigezo vyote vya kushiriki na kustahiki vimetimizwa.
  12. Washindi wataarifiwa kupitia simu au SMS kwa kutumia taarifa za mawasiliano walizojisajilia nazo. Ikiwa mshindi hatapatikana ndani ya saa 72 baada ya promosheni kumalizika, zawadi itapokonywa. Zawadi hiyo inaweza kutolewa kwa mshiriki mwingine anayestahiki aliye juu zaidi kwenye jedwali la vinara kulingana na pointi alizokusanya.
  13. Zawadi zitatolewa kulingana na jedwali la zawadi (Prize Pool Tab).
NafasiZawadi
Nafasi ya 1TSH 500,000
Nafasi ya 2TSH 300,000
Nafasi ya 3TSH 200,000
Nafasi ya 4-10TSH 100,000
Nafasi ta 11-20TSH 80,000
Nafasi ya 21-50TSH 50,000
  1. Promosheni hii ni sehemu ya kampeni ya matangazo yenye jumla ya thamani ya juu ya zawadi ya TSH 4,000,000.
  2. Ni wachezaji waliothibitishwa wa Kasino pekee ndio wanaostahiki kushinda zawadi.
  3. Zawadi za pesa taslimu hazina masharti yoyote ya kucheza (wagering requirements).
  4. Zawadi zitakazolipwa wakati wa kutumia fedha za bonasi zitalipwa kwa njia ya bonasi.
  5. Zawadi za pesa taslimu zitalipwa kwa sarafu ile ile ambayo dau la ushindi liliwekwa, kulingana na kiwango cha kubadilisha fedha kutoka Euro.
  6. Kasino ina haki ya kuto kulipa zawadi ya pesa taslimu ikiwa ushindi umetokana na hitilafu yoyote dhahiri, makosa ya kiufundi (ikiwemo malipo yasiyo sahihi ya mchezo) au makosa ya kibinadamu katika michezo inayoshiriki. Kasino pia ina haki ya kuto kulipa zawadi endapo, kwa maoni yake, ushindi umetokana na udanganyifu au njama kati ya wachezaji.
  7. Kasino ina haki ya kurekebisha, kubadilisha, kusitisha au kumaliza promosheni hii wakati wowote kwa sababu yoyote ile. Pia ina haki ya kubadilisha sheria na masharti ya ofa hii wakati wowote. Masharti ya awali yataheshimiwa kwa wachezaji waliodai hadi muda wa mabadiliko hayo.
  8. Sheria na masharti haya yanaweza kuchapishwa kwa lugha mbalimbali kwa madhumuni ya taarifa na kuwasaidia wachezaji kuelewa kwa urahisi. Iwapo kutatokea tofauti yoyote kati ya tafsiri hizi na toleo la Kiingereza, basi toleo la Kiingereza litachukuliwa kuwa sahihi.
  9. Vigezo na Masharti ya Ofa yatatumika.