Jiunge na Droo Kubwa ya Kombe la Dunia na uwe sehemu ya msisimko! Kila wiki hadi Fainali, tutakuwa tukitoa TV, Simu janja na FreeBets nyingi kwa washindi 200 wenye bahati. Beti kwenye mechi za Kombe la Dunia na ujipatie nafasi ya kushinda zawadi kubwa!

Beti kwenye mechi za Kombe la Dunia 2026

Cheza zaidi ya TSH 1,500 katika kipindi cha promosheni

Ingia kwenye droo na ushinde zawadi kubwa! Kila beti = ushiriki 1 kwenye droo

Droo Kubwa ya Kombe la Dunia

Kipindi

Muda

Zawadi 1

Zawadi 2

Zawadi 3

Wiki ya 1

10/06 – 21/06

Smart TV

Simu janja

200,000 TSH FreeBet

Wiki ya 2

22/06 – 28/06

Smart TV

Simu janja

200,000 TSH FreeBet

Wiki ya 3

29/06 – 05/07

Smart TV

Simu janja

200,000 TSH FreeBet

Wiki ya 4

06/07 – 12/07

Smart TV

Simu janja

200,000 TSH FreeBet

Wiki ya 5

13/07 – 19/07

Smart TV

Simu janja

200,000 TSH FreeBet

Promosheni hii ina vipindi 5 vya promosheni, na kila wiki tunatoa zawadi kubwa. Baada ya kila kipindi cha promosheni kutakuwa na droo ya kuchagua washindi wa zawadi pamoja na washindi wa FreeBets.

  • Sheria na Masharti
  • 1) Fido’s Technologies Ltd. (“Kampuni”) inatoa promosheni hii kwa kuelewa kwamba unakubali sheria na masharti yafuatayo.
  • 2) Promosheni hii inapatikana kwa wateja wote waliosajiliwa kutoka nchi husika [Tanzania] kuanzia 10.06.26 (00:01 GMT) hadi 19.07.26 (23:59 GMT).
  • 3) Kiwango cha chini cha beti kinachohitajika ili kushiriki kwenye promosheni ni TSH 1,500 kwa kila kipindi cha promosheni. Ni beti zilizokamilika tu ndizo zinastahili.
  • 4) Ikiwa mtumiaji anastahili kushiriki kwenye promosheni, kila beti anayoweka katika kipindi cha promosheni humpatia ushiriki 1 kwenye droo.
  • 5) Ushiriki kwenye promosheni ni wa kipekee kwa kila kipindi cha promosheni. Kwa mfano, ikiwa mtumiaji ataweka beti zinazotimiza vigezo vya Wiki ya 1, atastahili tu kupata Zawadi na FreeBets za Wiki ya 1. Hali hiyo hiyo inatumika kwa Wiki ya 2, Wiki ya 3, Wiki ya 4 na Wiki ya 5; ustahiki wa kila wiki unaamuliwa kwa kuweka beti zinazotimiza vigezo vya wiki hiyo maalum.
  • 6) Beti lazima ijumuishwe angalau tukio moja la Kombe la Dunia 2026.
  • 7) Washindi wa zawadi na FreeBets watachaguliwa na kutangazwa kupitia droo ndani ya saa 72 baada ya kila kipindi cha promosheni kuisha.
  • 8) Beti zilizofanyiwa Cash Out hazistahili kushiriki kwenye promosheni hii.
  • 9) Beti lazima ziwekwe kwenye matukio ya michezo pekee ikijumuisha Live na Pre-match. Beti za michezo ya mtandaoni (Virtual sports) hazistahili.
  • 10) Washindi watajulishwa kwa simu kupitia namba iliyosajiliwa kwenye akaunti ya mshiriki. Ikiwa hatutaweza kuwasiliana na mshiriki ndani ya saa 48 baada ya droo, zawadi itafutwa na inaweza kutolewa kwa mshiriki mwingine kupitia droo mpya.
  • 11) Zawadi lazima ichukuliwe ndani ya siku 5 za kazi baada ya kutangazwa, vinginevyo itabatilika.
  • 12) Mshindi wa zawadi anakubali kupigwa picha akiwa na zawadi husika kama sehemu ya makubaliano kati yake na kampuni.
  • 13) Gharama zozote za ziada mbali na gharama ya zawadi hazitakuwa jukumu la kampuni bali la mshindi husika. Hizi zinaweza kuwa gharama za usafiri, bima, leseni, ada za uhamisho n.k.
  • 14) FreeBets zitatolewa moja kwa kila mshindi, jumla ya washindi 200 kwa kila kipindi cha promosheni. Thamani ya FreeBet = TSH 2,000
  • 15) FreeBet itawekwa kwenye akaunti ya mteja ndani ya saa 72 baada ya promosheni kuisha, mradi masharti yote ya ushiriki yametimizwa.
  • 16) Promosheni hii inaweza kusitishwa wakati wowote kwa uamuzi wa Kampuni.
  • 17) Kampuni ina haki ya kurekebisha, kufuta au kuhuisha masharti ya promosheni au kukataa ushiriki bila taarifa ya awali. Mabadiliko ya sheria na masharti yataanza kutumika mara moja baada ya kuchapishwa kwenye tovuti yetu. Ni jukumu lako kupitia sheria na masharti haya mara kwa mara kwa mabadiliko yoyote.
    1. 18) Kampuni ina haki ya kukagua rekodi na taarifa za miamala ya wateja kwa sababu yoyote. Endapo ukaguzi huo utaonyesha kuwa mteja alishiriki kwa njia ambayo Kampuni itaona si ya haki, Kampuni ina haki zifuatazo:
    2. a) Kufuta haki ya mteja huyo kushiriki kwenye promosheni.
  • b) Kufuta ushindi wowote unaohusiana.

19) Sheria zote za jumla za michezo ya kubashiri za Kampuni zinatumika kwenye promosheni hii.

  • Sheria na Masharti ya FreeBet
  • 1) Ikiwa mchezaji aliyepokea FreeBet atabainika kutostahili, FreeBet itafutwa.
  • 2) Kampuni ina haki ya kufuta FreeBet wakati wowote.
  • 3) Salio lote la FreeBet lazima litumike lote kwenye beti moja.
  • 4) Ikiwa FreeBet itawekwa kwenye chaguo ambalo baadaye litabatilishwa, kiwango cha awali cha Bonus Bet kitarudishwa kwenye akaunti yako.
  • 5) FreeBet hairudishwi, na kiasi kilichowekwa kupitia FreeBet hakijumuishwi kwenye ushindi wowote. Ni ushindi pekee utaowekwa kwenye akaunti yako.
  • 6) Kila FreeBet itakuwa halali kwa siku 3 baada ya kuipokea.
  • 7) FreeBet inaweza kutumika kuweka beti pekee, na haiwezi kuhamishwa, kubadilishwa au kuuzwa.
  • 8) Salio lolote la FreeBet haliwezi kutolewa.
  • 9) FreeBets hizi zinatumika kwenye matukio ya michezo pekee, ikijumuisha pre-match na live.
  • 10) FreeBet hizi haziwezi kutumika pamoja na promosheni nyingine yoyote ya FreeBet kutoka kwa Kampuni.
  1. 11) Masharti ya chini ya kutumia FreeBet:
  2. a) Beti 1
  3. b) Chaguo 3
  4. c) Odds za chini kwa kila chaguo: 1.3