Free Spins

Masharti na Vigezo

  1. Fido Technologies LTD (“Gal Sport Betting”) inatoa zawadi ya Free Spin kwa masharti kuwa unakubali na kukubaliana na masharti na vigezo yafuatayo.
  2. Free Spins inapatikana kwa wateja waliosajiliwa kutoka nchi inayostahiki [Tanzania], ambao wamepewa zawadi na Kampuni.
  3. Free Spins inatumika tu kwa michezo maalum iliyoainishwa katika sehemu ya Zawadi.
  4. Free Spins inaweza kutumika kwenye promosheni moja tu kwa wakati mmoja kutoka kwa Kampuni.
  5. Free Spins inaweza kutolewa kwenye michezo mitatu, lakini ni mchezo wa kwanza tu utakaotumika ndio utakaokubalika kwa ajili ya kuweka dau.
  6. Iwapo mchezaji atakayepokea Free Spins atabainika kuwa hastahili, mizunguko hiyo itabatilishwa.
  7. Kampuni inahifadhi haki ya kurekebisha, kughairi au kusasisha masharti ya Free Spins wakati wowote bila taarifa ya awali. Mabadiliko yataanza kufanya kazi mara moja yatakapochapishwa kwenye tovuti yetu. Ni jukumu lako kukagua masharti haya mara kwa mara.
  8. Free Spins yoyote uliyopewa lazima itumike kikamilifu kabla ya tarehe ya mwisho wa matumizi.
  9. Free Spins haiwezi kurejeshwa, na kiasi cha dau kilichowekewa kwenye Free Spins hakitahesabiwa kama sehemu ya ushindi. Ni ushindi pekee ndio utawekwa kwenye Akaunti yako.
  10. Free Spins ni halali kwa muda wa saa 72 tangu ipokelewe.
  11. Free Spins itafutwa baada ya kipindi cha promosheni kuisha.
  12. Free Spins inaweza kutumika tu kuweka dau na hauwezi kuhamishwa, kubadilishwa, wala kubadilishwa kuwa fedha taslimu.
  13. Salio lolote la Free Spins halitoweza kutolewa.
  14. Jaribio lolote la kutumia vibaya ofa ya Free Spins litasababisha kufutwa kwa mizunguko hiyo pamoja na ushindi wowote uliopatikana.
  15. Sheria zote za Jumla za Michezo ya Kubahatisha za Kampuni zitatumika.