Furahia mpira wa miguu kwa njia ya kipekee kupitia eSoccer!Weka dau la TSH 4,000 kwenye eSoccer, na tutakupa FreeBet ya TSH 4,000—ukiongeza nafasi yako ya kushinda na kufanya kila tukio la mchezo kuwa la kusisimua zaidi!

Jisajili kwenye promosheni. Tumia namba yako ya Kitambulisho cha Mtumiaji (User ID).

Weka dau la zaidi ya TSH 4,000 kwenye eSoccer.

Pokea FreeBet ya TSH 4,000 mara moja!

eSoccer FreeBet

SHERIA NA MASHARTI

  1. Fido Technologies LTD (“GSB” ) inatoa promosheni hii kwa kuelewa kuwa unakubali na unakubaliana na masharti yafuatayo.
  2. Ili kushiriki kwenye promosheni hii, mteja lazima ajisajili kwa kutumia namba yake ya Kitambulisho cha Mtumiaji (User ID).
  3. Promosheni hii inapatikana kwa wateja wote waliosajiliwa kutoka katika nchi inayostahiki [Tanzania] kuanzia tarehe 07.06.25 hadi 13.06.25 
  4. Mteja atapokea FreeBet endapo ataweka dau la kiwango cha chini kinachohitajika kwa tiketi yenye machaguo angalau matatu (3), kila chaguo likiwa na kiwango cha chini cha odds 1.4. FreeBet moja tu itatolewa kwa kila mtumiaji.
  5. Dau lazima lihusishe angalau mchezo mmoja wa eSoccer.
  6. Dau la chini kabisa linalohitajika ili kustahiki promosheni hii ni TSH 4,000, na lazima liwekwe kwa pesa halisi.
  7. Iwapo masharti yote yatatimizwa, mtumiaji atapata FreeBet ya TSH 4,000.
  8. Dau lazima liwekwe kwenye matukio ya Michezo pekee, likiwemo Mechi za Moja kwa Moja (Live) na Kabla ya Mechi (Pre-match). Dau lililowekwa na baadaye kuondolewa kupitia Cash-out halistahiki katika promosheni hii.
  9. Bonasi itawasilishwa kwenye akaunti ya mteja ndani ya saa 72 baada ya promosheni kumalizika, endapo masharti yote ya kushiriki yatakuwa yametimizwa.
  10. Kampuni inaweza kusitisha promosheni hii kwa hiari yake wakati wowote.
  11. Kampuni inahifadhi haki ya kurekebisha, kufuta au kurejesha masharti ya promosheni au kukataa ushiriki bila taarifa ya awali. Mabadiliko yoyote ya masharti yataanza kutumika mara moja baada ya kuchapishwa kwenye tovuti yetu. Ni jukumu lako kukagua masharti haya mara kwa mara.
  12. Kampuni inahifadhi haki ya kukagua rekodi za miamala na historia ya mteja kwa sababu yoyote. Endapo ukaguzi huo utaonesha kuwa mteja alijihusisha na mbinu yoyote ambayo Kampuni kwa hiari yake inachukulia kuwa ni ya udanganyifu, Kampuni inahifadhi haki zifuatazo:
     a) Kufuta haki ya mteja kushiriki kwenye promosheni.
     b) Kufuta ushindi wowote uliopatikana kutokana na promosheni hiyo.
  13. Sheria zote za jumla za michezo ya kubahatisha ya Kampuni zinatumika kwenye promosheni hii.

Masharti ya Matumizi ya FreeBet

  1. Iwapo mchezaji atakayepokea FreeBet atapatikana kuwa hastahiki, FreeBet hiyo itafutwa.
  2. Kampuni inahifadhi haki ya kufuta FreeBet wakati wowote.
  3. Salio la FreeBet lazima litumike lote kwa dau moja pekee.
  4. Dau hilo moja linaweza kuwa na chaguo moja au machaguo mengi ndani ya tiketi moja.
  5. Endapo dau lililowekwa kwa kutumia FreeBet litahusisha chaguo ambalo baadaye litafutwa (voided), kiasi cha FreeBet kilichowekewa dau kitapokelewa tena kwenye Akaunti yako.
  6. FreeBet haina urejeshaji, na kiasi kilichowekewa dau hakihesabiwi katika ushindi. Ni ushindi pekee ndio utakaowekwa kwenye Akaunti yako.
  7. Kila FreeBet ni halali kwa siku 3 tu baada ya kupokelewa.
  8. FreeBet inaweza kutumika tu kuweka dau; haiwezi kuhamishwa, kubadilishwa, wala kuuzwa.
  9. Salio lolote la FreeBet haliwezi kutolewa (withdraw).
  10. Iwapo utashinda dau lililowekwa kwa kutumia FreeBet, ni malipo halisi ya faida (Net Payout) pekee ndiyo yatakayowekwa kwenye salio lako halisi.
  11. FreeBet hizi zinatumika kwa dau za Michezo ya Kubahatisha pekee (Sports Betting), zikiwemo mechi kabla ya kuanza (pre-match) na mechi zinazoendelea (live).
  12. FreeBet hizi haziwezi kutumika pamoja na promosheni nyingine yoyote ya FreeBet kutoka kwa Kampuni.
  13. Masharti ya chini ya kutumia FreeBet ni:
     • Dau 1
     • Machaguo 3
     • Kiwango cha chini cha odds kwa kila chaguo: 1.3
     • Bonasi moja kwa kila mtumiaji