Anza wiki yako na FreeBet ya bure! Kila Jumatatu, GSB inakupa nafasi ya kupata FreeBet ya 50% unapoweka amana inayokidhi vigezo na kuweka dau lako kwenye michezo.

Ni rahisi,Weka amana, tumia kiasi chote kuwekea dau siku hiyo hiyo,Baada ya dau lako  utapokea FreeBet ya kutumia wiki inayofuata!

Weka angalau TSH 1,000 kwa amana moja

Weka dau lako

Mara dau lako litakapokamilika, utapata FreeBet yako!

Bonasi ya kuweka pesa Jumatatu

Bonasi ya Amana ya Jumatatu – Jinsi Inavyofanya Kazi

  1. Nenda kwenye “Bonasi Zangu” ndani ya akaunti yako na dai bonasi kabla hujaweka amana.

2. Weka angalau TSH 1,000 (ni amana yako ya kwanza tu baada ya kudai bonasi ndiyo itakayohesabiwa).

3. Tumia kiasi chote cha amana (x1) kuweka dau kwenye Michezo (Live au Kabla ya Mechi) siku hiyo hiyo ya Jumatatu.

4. Dau lako lazima lisuluhishwe kabla ya Jumatano ili upate bonasi yako.

5. Ukikamilisha masharti yote hapo juu, utapokea FreeBet 1, ambayo unaweza kuitumia ndani ya wiki inayofuata.

Vigezo na Masharti

 Fido Technologies LTD (“GSB” ) inatoa promosheni hii kwa kuelewa kuwa unakubali na kukubaliana na vigezo na masharti yafuatayo:

  • Promosheni hii inapatikana kwa wateja wote waliojisajili kutoka nchi inayostahiki [Tanzania] kila Jumatatu kuanzia saa 07:01 mchana hadi saa 06:59 usiku
  • Mteja atapokea Bonasi endapo ataweka kiwango cha chini cha amana kinachohitajika na kuwekea dau (x1) kiasi hicho cha amana siku hiyo hiyo. Ni amana ya kwanza tu ndiyo itakayozingatiwa kwenye promosheni.
  • Kiwango cha chini cha amana kinachohitajika kushiriki katika promosheni ni: 1,000 TSH.
  • Dau lazima liwekwe na kusuluhishwa siku hiyo hiyo. Ni FreeBet moja tu inaweza kutolewa kwa mtumiaji kwa siku.
  • Bet yako lazima iwe na si chini ya chaguzi 2 na kima cha chini cha odds isipungue 1.3.
  • Dau lazima liwekwe kwenye matukio ya Michezo pekee, ikiwa ni pamoja na mechi za Moja kwa Moja (Live) na Kabla ya Mechi (Pre-match). Dau kwenye Michezo ya Virtual na Kasino hayastahiki kwa promosheni hii.
  • Cash Out haijaruhusiwa wakati wa kuweka dau kwa ajili ya kupata Bonasi ya Amana.
  • Bonasi itawekwa kwenye akaunti ya mteja baada ya kutimiza masharti yote ya bonasi.
  • Promosheni hii inaweza kusitishwa na Kampuni kwa hiari yake wakati wowote.
  • Kampuni ina haki ya kufanya mabadiliko, kughairi, au kuanzisha upya masharti ya promosheni hii au kukataa ushiriki bila kutoa taarifa ya awali.
  • Mabadiliko ya masharti yataanza kutumika mara moja baada ya kuchapishwa kwenye tovuti yetu. Ni jukumu lako kuyapitia mara kwa mara masharti haya kwa mabadiliko yoyote.
  • Kampuni ina haki ya kukagua miamala ya mteja na rekodi zote za matumizi kwa sababu yoyote ile.
  • Iwapo ukaguzi utaonesha kuwa mteja anatumia mbinu yoyote ambayo Kampuni, kwa hiari yake, itaona kuwa si ya haki, basi Kampuni inahifadhi haki zifuatazo:
  • Kufuta haki ya mteja huyo kushiriki katika promosheni.
  • Kughairi ushindi wowote unaohusiana na promosheni hiyo.
  • Sheria zote za jumla za Michezo ya Kubahatisha za Kampuni zinatumika kwenye promosheni hii.

Masharti na Vigezo vya FreeBet

  • Ikiwa mchezaji atakayepokea FreeBet atapatikana kuwa hastahili, FreeBet hiyo itafutwa.
  • Kampuni inahifadhi haki ya kufuta FreeBet wakati wowote.
  • Salio lote la FreeBet lazima litumike mara moja kama dau moja tu.
  • Iwapo FreeBet itawekwa kwenye chaguo ambalo baadaye linakuwa batili, kiasi cha dau cha FreeBet kitarejeshwa kwenye Akaunti yako.
  • FreeBet haina marejesho, na kiasi kilichowekewa FreeBet hakihesabiwi kama sehemu ya ushindi. Ni ushindi pekee ndio utakaowekwa kwenye Akaunti yako.
  • Kila FreeBet ni halali kwa siku 3 tangu ipokelewe.
  • FreeBet inaweza kutumika tu kuweka dau, na haiwezi kuhamishwa, kubadilishwa, au kuuzwa.
  • Salio la FreeBet haliwezi kutolewa.
  • FreeBet hizi ni halali kwa matukio ya Kubashiri Michezo pekee, ikijumuisha mechi kabla ya kuanza (pre-match) na mechi zinazoendelea (live).
  • FreeBet haziwezi kutumika pamoja na promosheni nyingine yoyote ya FreeBet kutoka kwa Kampuni.

Mahitaji ya chini ya kutumia FreeBet:

  • Dau moja (1)
  • Chaguzi tatu (3)
  • Odds ya chini kwa kila chaguo: 1.3
  • Bonasi moja kwa kila mtumiaji