Jiunge na Dai Dai Playoffs na ushindanie utukufu wa soka! Kusanya alama kwa kila dau linalostahiki, panda kwenye jedwali la vinara na pigania nafasi yako kileleni. Kila mchezo unakuleta karibu zaidi na ushindi, kila alama inaweza kuleta tofauti, na zawadi zinawasubiri washindani bora zaidi. Je, una kile kinachohitajika kuongoza jedwali? Anza safari yako kuelekea kileleni sasa!

Cheza mchezo wa kufuzu

Cheza na kusanya alama

Pata sehemu yako ya TSH 15,000,000

Dai Dai Playoffs

Jinsi ya Kushiriki?

Ingiza kwenye Changamoto kwa kuweka dau linalostahiki la TSH 300 au zaidi kwenye michezo ya kufuzu. Kila TSH 300 inayowekwa inakupa alama — hivyo kadri unavyoweka dau zaidi katika kipindi cha kila wiki, ndivyo unavyopanda juu kwenye jedwali la vinara na kuwa karibu zaidi na zawadi.

Michezo ya kufuzu:

  • Penalty Shoot-out: Street
  • Penalty Shoot-out: Super Cup
  • Penalty Shoot-out: Cup Mania
  • Penalty Shoot Out
  • Penalty Shoot-out: Super Spin

 

Vigezo na Masharti 

  1. Fido Technologies LTD (“Gal Sport Betting” au “Kampuni”) inatoa promosheni hii kwa sharti kwamba unakubali na unakubaliana na sheria na masharti yafuatayo.
  2. Promosheni hii inapatikana kwa wateja wote waliosajiliwa kutoka nchi inayostahiki [Tanzania] katika vipindi vifuatavyo:
    Awamu ya 1: kuanzia 29.06.26 (00:01 GMT) hadi 05.07.26 (23:59 GMT),
    Awamu ya 2: kuanzia 06.07.26 (00:01 GMT) hadi 12.07.26 (23:59 GMT).
  3. Mashindano ya “Dai Dai Playoffs” (“Kampeni”) yanapatikana tu katika hali ya Real Mode na kwa kutumia fedha halisi.
  4. Promosheni inafanyika katika mizunguko ya kila wiki: mashindano mawili (2) ya kila wiki yenye jumla ya zawadi hadi TSH 7,500,000 kwa kila moja, zitakazowekwa kwenye akaunti za wachezaji walio juu kwenye jedwali la vinara.
  5. Kiasi cha chini cha dau kinachohitajika ili kufuzu kwa ofa ni: TSH 300. Ushiriki mmoja tu katika ofa kwa kila mtumiaji.
  6. Wachezaji wanaoshiriki watahusika katika kampeni hii kwa kuweka dau linalostahiki kwenye michezo inayoshiriki katika kipindi cha kampeni. Hakuna gharama ya ziada. Kila mtumiaji anaruhusiwa kushiriki mara moja tu katika promosheni hii.
  7. Dau lazima liwekwe katika michezo inayoshiriki pekee.
  8. Michezo ya kufuzu ni huu ufuatao: Penalty Shoot-out: Street, Penalty Shoot-out: Super Cup, Penalty Shoot-out: Cup Mania, Penalty Shoot Out, Penalty Shoot-out: Super Spin.
  9. Watumiaji wanaweza kufuatilia maendeleo yao binafsi kwa kufungua mchezo wowote wa kufuzu.
  10. Kila mzunguko (spin) utachangia alama za jumla za mchezaji zinazoonyeshwa kwenye jedwali la vinara. Jumla ya alama huhesabiwa kwa kujumlisha alama zote zilizopatikana katika raundi zote zilizochezwa kwenye michezo inayoshiriki wakati wa kipindi cha kila wiki.
  11. Mfumo wa alama kwa Awamu ya 1 unategemea jumla ya kizidisho cha ushindi (winning multipliers) cha mshiriki. Kwa mfano: Ikiwa mchezaji ataweka dau la TSH 3,000 na kushinda TSH 36,000, kizidisho cha ushindi kitakuwa 12 na atapata alama 12. Ikiwa mchezaji ataweka dau la TSH 6,000 na kushinda TSH 150,000, kizidisho cha ushindi kitakuwa 25 na atapata alama 25. Jumla ya alama itakuwa 12 + 25 = 37.
  12. Mfumo wa alama kwa Awamu ya 2 unategemea kiasi cha ushindi wa mshiriki. Kwa mfano: Ikiwa mchezaji ataweka dau la TSH 3,000 (EUR 1) na kushinda TSH 38,400 (EUR 12.80), atapata alama 12.8. Ikiwa katika raundi ya pili ataweka dau la TSH 3,000 (EUR 1) na kushinda TSH 22,500 (EUR 7.50), atapata alama 7.5. Jumla ya alama itakuwa 12.80 + 7.50 = 20.3. Ushindi wote unaopatikana kwa dau la chini kabisa utabadilishwa kuwa alama.
  13. Washindi wa zawadi watachaguliwa kulingana na alama za mwisho za mchezaji zilizokusanywa kwenye jedwali la vinara wakati wa mashindano.
  14. Ikiwa washiriki wawili au zaidi watapata idadi sawa ya alama wakati wa kuhesabu matokeo ya mashindano, nafasi ya juu kwenye jedwali la vinara itachaguliwa kiotomatiki kwa kutumia utaratibu wa nasibu.
  15. Washindi wataarifiwa kupitia simu au SMS kwa kutumia taarifa za mawasiliano walizojisajilia nazo. Ikiwa mshindi hatapatikana ndani ya saa 72 baada ya promosheni kumalizika, zawadi itapokonywa. Zawadi hiyo inaweza kutolewa kwa mshiriki mwingine anayestahiki aliye juu zaidi kwenye jedwali la vinara kulingana na pointi alizokusanya.
  16. Zawadi huwekwa moja kwa moja kwenye akaunti ya mteja mara baada ya kupokea taarifa ya ushindi au muda mfupi baada ya hapo, kwa sharti kuwa vigezo vyote vya kushiriki na kustahiki vimetimizwa.
  17. Zawadi zitatolewa kulingana na jedwali la zawadi (Prize Pool Tab).

Nafasi

Zawadi

Nafasi ya 1

TSH 450,000

Nafasi ya 2

TSH 300,000

Nafasi ya 3

TSH 210,000

Nafasi ya 4-10

TSH 120,000

Nafasi ya 11-50

TSH 75,000

Nafasi ya 51-100

TSH 30,000

Nafasi ya 101-200

TSH 12,000

  1. Promosheni hii ni sehemu ya kampeni ya matangazo yenye jumla ya thamani ya juu ya zawadi ya TSH 15,000,000.
  2. Ni wachezaji waliothibitishwa wa Kasino pekee ndio wanaostahiki kushinda zawadi.
  3. Zawadi za pesa taslimu hazina masharti yoyote ya kucheza (wagering requirements).
  4. Zawadi zitakazolipwa wakati wa kutumia fedha za bonasi zitalipwa kwa njia ya bonasi.
  5. Jumla ya zawadi na kiwango cha chini cha dau kwa kampeni hii vimeainishwa kwa Euro (EUR) na vinaweza kuathiriwa na mabadiliko ya viwango vya ubadilishaji wa fedha.
  6. Zawadi za pesa taslimu zitalipwa kwa sarafu ile ile ambayo dau la ushindi liliwekwa, kulingana na kiwango cha kubadilisha fedha kutoka Euro.
  7. Kasino ina haki ya kuto kulipa zawadi ya pesa taslimu ikiwa ushindi umetokana na hitilafu yoyote dhahiri, makosa ya kiufundi (ikiwemo malipo yasiyo sahihi ya mchezo) au makosa ya kibinadamu katika michezo inayoshiriki. Kasino pia ina haki ya kuto kulipa zawadi endapo, kwa maoni yake, ushindi umetokana na udanganyifu au njama kati ya wachezaji.
  8. Kasino ina haki ya kurekebisha, kubadilisha, kusitisha au kumaliza promosheni hii wakati wowote kwa sababu yoyote ile. Pia ina haki ya kubadilisha sheria na masharti ya ofa hii wakati wowote. Masharti ya awali yataheshimiwa kwa wachezaji waliodai hadi muda wa mabadiliko hayo.
  9. Kampuni inabaki na haki ya kukagua rekodi za miamala ya wateja na kumbukumbu kwa sababu yoyote ile. Iwapo uhakiki kama huo utafichua ushiriki wa mteja katika mkakati ambao Kampuni, kwa hiari yake, inadhani kuwa sio ya haki, Kampuni inahifadhi haki zifuatazo:
    a) Kufuta haki ya wateja kama hao kwenye promosheni.
    b) Kughairi ushindi wowote unaohusishwa
  10. Sheria zote za jumla za Michezo za Kampuni zinatumika katika ofa hii.