Uko tayari kwa Crash for Cash? Cheza mchezo mpya na wa kusisimua wa High Flyer, pamoja na michezo mingine ya kuvutia ya crash, na panda kwenye ubao wa vinara kwa kukamilisha changamoto za ndani ya mchezo. Alama zako zinapokuwa nyingi, zawadi yako huwa kubwa zaidi! Kwa TSH 6,000,000 inayosubiri kuchukuliwa, ni wakati wa kucheza kwa akili, kupata alama nyingi na kudai sehemu yako. Acha mchezo wa ajali uanze!

Cheza michezo ya kufuzu

Bet zaidi ya TSH 200 na ukusanye pointi

Pata sehemu yako ya TSH 6,000,000

Crash for Cash

Jinsi ya Kushiriki?

Cheza michezo inayostahiki pekee kwa kuweka dau la TSH 200 au zaidi ili uone dau lako likigeuka kuwa pointi. Panda kwenye jedwali la vinara kwani alama zako zinapoongezeka, sehemu yako ya zawadi huwa kubwa zaidi. TSH 6,000,000 zimefichwa kwenye zawadi 80! Je, inaonekana kuwa ya kufurahisha? Hebu tufanye Crash for Cash sasa!

Michezo Inayoshiriki:

  • High Flyer
  • Spaceman
  • Big Bass Crash

Vigezo na Masharti 

  1. Fido Technologies LTD (“Gal Sport Betting” au “Kampuni”) inatoa promosheni hii kwa sharti kwamba unakubali na unakubaliana na sheria na masharti yafuatayo.
  2. Promosheni hii inapatikana kwa wateja wote waliosajiliwa kutoka nchi inayostahiki [Tanzania] kuanzia 09.05.25 (00:01 GMT+2) hadi 15.05.25 (23:59 GMT+2).
  3. Mashindano ya “Crash for Cash” (“Kampeni”) yanapatikana tu katika hali ya Real Mode na kwa kutumia fedha halisi.
  4. Kiasi cha chini cha dau kinachohitajika ili kufuzu kwa ofa ni: TSH 200. Ushiriki mmoja tu katika ofa kwa kila mtumiaji.
  5. Wachezaji wanaoshiriki watahusika katika kampeni hii kwa kuweka dau linalostahiki kwenye michezo inayoshiriki katika kipindi cha kampeni. Hakuna gharama ya ziada. Kila mtumiaji anaruhusiwa kushiriki mara moja tu katika promosheni hii.
  6. Dau lazima liwekwe katika michezo inayoshiriki pekee.
  7. Michezo inayoshiriki ni kama ifuatavyo: High Flyer, Spaceman, Big Bass Crash
  8. Watumiaji wanaweza kufuatilia maendeleo yao binafsi au kuona jedwali la vinara kwa kufungua mchezo wowote unaoshiriki kwenye promosheni.
  9. Alama hutolewa kulingana na changamoto za ndani ya mchezo zilizokamilishwa na mshiriki (k.m. ushindi mfululizo, hasara mfululizo). Pointi ni sawia na jumla ya ushindi na jumla ya kiasi cha dau. Kwa mfano:

Kushinda Mfululizo:

Kushinda Mfululizo

Pointi

1st Ushindi Mfululizo

0 pointi

2nd Ushindi Mfululizo

10 pointi

3rd Ushindi Mfulizo

20 pointi

4th Ushindi Mfulizo na zaidi

30 pointi

Kukosa Mfululizo:

Kukosa Mfululizo

Pointi

1st Raundi ya Kukosa

0 pointi

2nd Mfululizo wa Kukosa

2 pointi

3rd Mfululizo wa Kukosa

5 pointi

4th Mfululizo wa Kukosa

7 pointi

5th Mfululizo wa Kukosa na zaidi

10 pointi

  1. Washindi wa zawadi watachaguliwa kulingana na alama za mwisho za mchezaji zilizokusanywa kwenye jedwali la vinara wakati wa mashindano.
  2. Zawadi huwekwa kiotomatiki kwenye akaunti ya mteja baada ya kukamilika kwa shindano au muda mfupi baadaye, ili mradi vigezo vyote vya kustahiki na ushiriki vimetimizwa.
  3. Zawadi zitatolewa kulingana na jedwali la zawadi (Prize Pool Tab).

Nafasi

Zawadi

Nafasi ya 1

TSH 300,000

Nafasi ya 2

TSH 200,000

Nafasi ya 3

TSH 150,000

Nafasi ya 4-18

TSH 100,000

Nafasi ta 19-43

TSH 80,000

Nafasi ya 44-80

TSH 50,000

  1. Promosheni hiyo ni sehemu ya kampeni ya utangazaji yenye jumla ya zawadi 80 na thamani ya juu zaidi ya zawadi ni TSH 6,000,000.
  2. Ni wachezaji waliothibitishwa wa Kasino pekee ndio wanaostahiki kushinda zawadi.
  3. Zawadi za pesa taslimu hazina masharti yoyote ya kucheza (wagering requirements).
  4. Zawadi zitakazolipwa wakati wa kutumia fedha za bonasi zitalipwa kwa njia ya bonasi.
  5. Zawadi za pesa taslimu zitalipwa kwa sarafu ile ile ambayo dau la ushindi liliwekwa, kulingana na kiwango cha kubadilisha fedha kutoka Euro.
  6. Kasino ina haki ya kuto kulipa zawadi ya pesa taslimu ikiwa ushindi umetokana na hitilafu yoyote dhahiri, makosa ya kiufundi (ikiwemo malipo yasiyo sahihi ya mchezo) au makosa ya kibinadamu katika michezo inayoshiriki. Kasino pia ina haki ya kuto kulipa zawadi endapo, kwa maoni yake, ushindi umetokana na udanganyifu au njama kati ya wachezaji.
  7. Kasino ina haki ya kurekebisha, kubadilisha, kusitisha au kumaliza promosheni hii wakati wowote kwa sababu yoyote ile. Pia ina haki ya kubadilisha sheria na masharti ya ofa hii wakati wowote. Masharti ya awali yataheshimiwa kwa wachezaji waliodai hadi muda wa mabadiliko hayo.
  8. Sheria na masharti haya yanaweza kuchapishwa kwa lugha mbalimbali kwa madhumuni ya taarifa na kuwasaidia wachezaji kuelewa kwa urahisi. Iwapo kutatokea tofauti yoyote kati ya tafsiri hizi na toleo la Kiingereza, basi toleo la Kiingereza litachukuliwa kuwa sahihi.
  9. Vigezo na Masharti ya Ofa yatatumika.