Cheza “Happy Hour”

Jumanne, Jumatano na Alhamisi kutoka 17:00 hadi 19:00 na upate 10% ya ushindi wako.Unahitaji kuweka chaguzi/mechi 4 na Odds za kuanzia 1.2 na zaidi.
Happy Hour itapatikana kwa masaa mawili tu.
Mikeka itakayowekwa na kuthibitishwa ndani ya muda huo wa saa mbili zitanufaika na Bonasi ya “Happy Hour” kwa ziada ya 10%, ambayo itaongezwa kwenye kiasi cha Pesa ulichoshinda katika mkeka
Mfano:

Ukishinda 100,000TSH kwenye mkeka utakuwa na bonasi ya 10% ambayo itakuwa 10,000TSH itaongezwa kwenye ushindi wako !!