Jitayarishe kwa wikendi ya kasino inayovutia! Umepoteza TSh 20,000? Usiwe na wasiwasi! Wachezaji 50 waliobahatika wapata rejesho zuri la TSh 3,000. Ni fursa yako ya kucheza kwa bidii na kushinda kwa wingi, na bahati upande wako! Jiunge nasi sasa!

Cheza michezo ya Kasino

Kiasi cha chini cha hasara ni TSH 20,000.

Pata Rejesho zuri la pesa kupunguza machungu yako.

Weekend Cashback

Vigezo na Masharti.
  1. Fido Technologies LTD (“Gal Sport Betting” au ‘’Company”) hutoa ofa hii kwa kuelewa kwamba unakubali na kukubaliana na vigezo na masharti yafuatayo.
  2. Ofa hii inapatikana kwa wateja wote waliosajiliwa kutoka nchi zinazo stahiki [Tanzania] kuanzia 08.03.24 (00:01 GMT) hadi 10.03.24 (23:59 GMT).
  3. Kiasi cha chini cha jumla kilichopotea kinachohitajika ili kufuzu kwa promosheni ni: TSH 20,000. Ushiriki mmoja tu kwa promosheni kwa kila mshiriki.
  4. Michezo yote katika sehemu ya Kasino inashiriki katika promosheni. Dau lazima zifanywe katika michezo ya Kasino pekee.
  5. Wachezaji 50 pekee ndio watapata marejesho TSH 3,000 ya pesa.
  6. Watumiaji 50 watapokea pesa taslimu ndani ya saa 72 baada ya muda wa ofa kuisha.
  7. Pesa itawekwa kwenye salio la wateja. 9. Promosheni huu unaweza kusitishwa kwa hiari ya Kampuni wakati wowote.
  8. Kampuni inasalia na haki ya kurekebisha, kughairi, au kuweka upya masharti ya promosheni au kukataa ushiriki bila notisi ya mapema. Mabadiliko ya vigezo na masharti yataanza kutumika mara moja baada ya kuchapishwa kwenye tovuti yetu. Ni wajibu wako kukagua sheria na masharti haya mara kwa mara kwa mabadiliko yoyote.
  9. Kampuni inabaki na haki ya kukagua rekodi za miamala ya wateja na kumbukumbu kwa sababu yoyote ile. Iwapo uhakiki kama huo utafichua ushiriki wa mteja katika mkakati ambao Kampuni, kwa hiari yake, inadhani kuwa sio ya haki, Kampuni inahifadhi haki zifuatazo:
    1. Kufuta haki za wateja hao kwenye promosheni.
    2. Kughairi ushindi wowote unaohusishwa.
  10. Sheria zote za jumla za Michezo za Kampuni zinatumika kwa promosheni hii.