Unatafuta sababu ya kupenda Jumatatu? Jiunge nasi kwa Magic Monday na ufurahie kucheza michezo ya kasino pamoja na GSB.

Jiunge katika ofa kwa kutumia ID namba yako.

Cheza Kasino. Wager min. TSH 10,000

Pata TSH 1,000 BureBet

Casino Monday

Kwa maombi yenu mengi, hatimaye tunazindua ofa mpya ya kasino ya Magic Monday. Kila Jumatatu utakuwa na fursa ya kupata Freebet kulingana na bet zako kwenye Kasino. Sasa ni wakati wa kuwa na kula maisha na GSB! T&C
 1. Ofa inapatikana Jumatatu pekee ya kila wiki.
 2. Ili kushiriki katika ofa hii, mteja anahitaji Kujiunga katika ofa kwa kutumia ID namba yake.
 3. Mshiriki anatakiwa kucheza katika michezo 5 ya kasino siku ya Jumatatu.
 4. Kiasi cha chini kabisa cha dau ni 10,000 TSH. Jumla ya dau lazima zichezwe kwenye michezo ya Kasino pekee.
 5. Bonasi itawekwa kama FreeBet/ Mkeka wa bure.
 6. TSH 1,000 itawekwa kama FreeBet/ mkeka wa bure.
 7. Vigezo na Masharti kwa ujumla vya Michezo ya Kubashiri vinatumika.
 8. Zawadi ya mkeka wa bure hutolewa kama mkeka moja.
 9. Zawadi inayotolewa kama mkeka wa bure, kwa kuzingatia masharti yafuatayo:

Uteuzi 3

Kiwango cha chini cha odds kwa kila mechi : 1.3

Uhalali wa Bonasi: Siku 3

Bonasi moja kwa kila mshiriki

 1. Mikka hii ya bure haiwezi kutumika pamoja na ofa nyingine yoyote ya bure ya bet kutoka kwa Gal Sports Betting
 2. Ofa hii inaweza kusimamishwa wakati wowote kwa hiari ya kampuni.