Umewahi kujikuta kiti hakikaliki, huna uhakika kuhusu matokeo ya mkeka wako? Tulia! Tumekushughulikia.Nenda tu kwenye sehemu ya “DAU ZANGU/MY BETS” na unufaike na kipengele kipya cha “Cashout”.

Fungua DAU ZANGU/MY BETS

Chagua mikeka iliyoorodheshwa chini ya sehemu ya "Inasubiri/pending".

Bonyeza chaguo la "Cash Out".

Cashout

  • Unataka kulinda ushindi wa mkeka wako au unataka tu kuchekua chako mapema?
    Ni wakati wa kujaribu huduma yetu ya Cashout!

Vigezo na Masharti:
● Stahiki za huduma hii: Huduma ya Cashout inapatikana kwatika machaguo/chaguzi za Soka Pekee kwa sasa, kuhusu wateja, na mtu yeyote anaweza kuitumia.

● Muda na Upatikanaji:
– Live: Unaweza Ku- Cashout wakati wowote isipokuwa pale ODDS zinapofungwa au Tukio kusimamishwa.

– Prematch: Huwezi Kutoa Pesa wakati mechi iko mapumziko.

● Katika chaguzi, Idadi ya chini ya mechi katika mkeka ni 1 na Idadi ya juu zaidi ya mechi katika mkeka ni mecni 100.

● Kiwango cha chini cha dau: TZS 500.

Jinsi ya Ku – Cashout

1. Bofya Mikeka Yangu

2. Angalia Kiasi

3. Bofya Cashout
4. Kubali au Kataa

Onyo: Mara Baada ya Ku – CASHOUT hauwezi tena kughairi!

Furahia Ushindi wako – Pesa yako utaikuta katika akaunti yako.