Bet Builder

Je, unataka kuunganisha masoko tofauti ya mechi moja katika beti moja? Ukiwa na Bet Builder, unaweza. Bet Builder inakuwezesha kutengeneza beti yako binafsi kwa kuunganisha machaguo mengi kutoka kwa tukio lile lile kuwa dau moja.

Kwa mfano, katika mechi ya mpira wa miguu, unaweza kuchagua matokeo ya mechi, jumla ya mabao, na jumla ya kona — vyote kama sehemu ya beti moja yenye odds zilizounganishwa.

🛠️ Jinsi ya Kutengeneza Mkeka wako

Tafuta ikoni ya Bet Builder (BB) – alama ya rangi ya machungwa yenye herufi nyeupe ‘BB’ – pembeni ya mechi husika.

Chagua sehemu ya “Bet Builder” ili kuona masoko yanayostahili. Gusa odds za masoko unayotaka kuunganisha. Machaguo yako yataonekana kwenye mkeka (Bet Slip).

ℹ️ Unaweza kuchagua kati ya machaguo 2 hadi 8, ambayo kisha huongezwa kwenye mkeka wako, na kutengeneza beti ya Bet Builder.

Je, umeshatengeneza beti yako ya Bet Builder? Sasa unaweza kuiunganisha na machaguo mengine kwenye mkeka huo huo.

⚠️ Kumbuka: Ukiondoa machaguo hadi kubaki moja, inakuwa beti ya kawaida ya single.

Taarifa Muhimu
• Beti za Bet Builder zinaweza kuunganishwa na beti zingine za Bet Builder au matukio mengine ya ubashiri.
• Bet Builder inapatikana kwenye mechi teule za mpira wa miguu kabla ya mechi kuanza (pre-match).
• Unaweza kutengeneza Bet Builder moja tu kwa kila mechi.
• Beti za Bet Builder hazina chaguo la Cash Out.