2UP Early Payout

Je, timu yako inaongoza kwa magoli mawili? Tayari umeshinda!

Kwa Malipo ya Mapema ya 2UP, ikiwa timu uliyowekea dau itaongoza kwa magoli mawili wakati wowote wa mechi, dau lako linahesabiwa kuwa limeshinda, hata kama mpinzani atasawazisha baadaye au kushinda mechi!

Soka inaweza kubadilika haraka bila kutabirika, na hata uongozi mzuri si salama kila wakati. Ukiwa na 2UP, pindi timu yako inapokuwa mbele kwa magoli mawili, unaweza kufurahia sehemu iliyosalia ya mechi bila kuwa na wasiwasi kuhusu maajabu ya dakika za lala salama.

⚽ Jinsi ya kulipwa mapema na 2UP

✅ Weka dau la kabla ya mechi kwenye soko jipya la “1X2 – 2UP”.

Tafuta aikoni ya kijani ya 2UP unapokuwa kwenye ukurasa wa tukio wa mechi inayohusika.

Wakati timu uliyowekea dau inapoongoza kwa magoli 2 (kwa mfano 2-0 au 3-1), dau lolote la pekee uliloweka kwenye timu hiyo litalipwa mapema. Kwa mikeka ya mechi nyingi, chaguo hilo litawekwa alama kuwa limeshinda, huku machaguo yaliyosalia yakiachwa yaendelee.

Aikoni ya 2UP itaonyeshwa kando ya chaguo ikiwa malipo ya mapema yamesababishwa.

Taarifa Muhimu

  • 2UP inapatikana tu kwa kubashiri Kabla ya Mechi katika mashindano na ligi za soka zilizochaguliwa. Haipatikani kwa dau za mubashara (live).
  • Dau zilizowekwa kwenye soko la kawaida la “1X2” hazistahiki. Unahitaji kuweka dau kwenye soko la “1X2 – 2UP” ili kustahili.
  • Mara tu timu uliyochagua inapopata uongozi wa magoli 2 (mfano, 2–0, 3–1, 4–2), malipo ya mapema yanafanyika, bila kujali matokeo ya mwisho ya mechi.
  • Matokeo ya Muda wa Kawaida pekee ndiyo yanahesabiwa. Uongozi uliopatikana katika muda wa nyongeza au wakati wa mikwaju ya penalti haustahiki.
  • 2UP inatumika kwa dau za pekee na mikeka ya mechi nyingi. Katika hali ya mkeka wa mechi nyingi, mchezaji bado anahitaji machaguo mengine yote kwenye mkeka kushinda ili dau zima lilipwe kama ushindi.
  • Ikitokea kuna matatizo ya mtandao au data yanayoathiri masasisho ya matokeo ya moja kwa moja, kipengele hiki kinaweza kukosekana kwa muda.
  • Dau zote zinasalia chini ya Masharti na Vigezo vya Jumla.