Uko tayari kuongeza ushindi wako?
Kupitia promo yetu maalum ya 2UP Bet & Get, pata msisimko mara mbili!

Jiunge kwenye promo, weka dau la angalau TSH 3,000 lenye chaguo 3 au zaidi na odds za chini 1.4 kwa kila chaguo, likijumuisha angalau chaguo moja la 1X2 – 2UP, kisha utapata FreeBet ya TSH 3,000.

Jiunge (Opt-in) kwenye promo ukitumia User ID yako

Weka dau la zaidi ya TSH 3,000 kwenye dau la 1X2 - 2UP

Pata FreeBet ya TSH 3,000

2UP Bet & Get โ€“ Ofa Maalum

๐Ÿ“œ Vigezo na Masharti (Terms & Conditions)

Kipindi cha Promo

Promo hii inapatikana kwa wateja wote waliosajiliwa kuanzia:

๐Ÿ“… 13.03.2026 (00:01 GMT) hadi 15.03.2026 (23:59 GMT)

Vigezo vya Kupata FreeBet

โ— Ili kushiriki, mteja lazima ajiunge (opt-in) kwa kutumia User ID yake.
โ— Ili kupata FreeBet, mteja lazima aweke dau lenye angalau chaguo 3 kwenye tiketi.
โ— Odds za chini kwa kila chaguo ni 1.4.
โ— Dau lazima liwe na angalau chaguo moja la โ€œ1X2 – 2UPโ€.
โ— Kiasi cha chini cha dau ni TSH 3,000 na lazima liwekwe kwa pesa halisi (real money).
โ— Dau lazima liwe kwenye matukio ya michezo pekee, ikijumuisha Live na Pre-match.
โ— Cash-out haitahesabiwa kwenye promo hii.
โ— Ikiwa masharti yote yametimizwa, mtumiaji atapewa FreeBet ya TSH 3,000.
โ— FreeBet itawekwa kwenye akaunti ya mteja ndani ya masaa 72 baada ya promo kumalizika.

Maelezo ya FreeBet

โ— Ikiwa mchezaji atabainika kutostahili, FreeBet itafutwa.
โ— Kampuni ina haki ya kufuta FreeBet wakati wowote.
โ— FreeBet lazima itumike yote kwenye dau moja.
โ— Dau linaweza kuwa single au multiple selections.
โ— Ikiwa dau lililowekwa kwa FreeBet litafutwa (void), kiasi cha FreeBet kitarudishwa kwenye akaunti.
โ— FreeBet hairudishwi kama pesa, na kiasi cha FreeBet hakihesabiwi kwenye ushindi.
โ— Ni faida (ushindi) pekee ndiyo itawekwa kwenye akaunti.
โ— FreeBet itakuwa halali kwa siku 3 baada ya kupokelewa.
โ— FreeBet haiwezi kuhamishwa, kubadilishwa, wala kutolewa kama pesa.
โ— FreeBet haiwezi kutolewa (withdraw).
โ— Ukishinda kwa kutumia FreeBet, Net Payout pekee itaongezwa kwenye salio lako halisi.
โ— FreeBet hizi zinatumika kwenye matukio ya Sports Betting pekee (Live na Pre-match).
โ— FreeBet haiwezi kutumika pamoja na promo nyingine ya FreeBet.

Masharti ya Kutumia FreeBet

โ— Mkeka 1
โ— Chaguo 3 au zaidi
โ— Odds za chini kwa kila chaguo: 1.3
โ— Bonus moja kwa kila mtumiaji

Masharti ya Jumla

โ— Kampuni inaweza kusitisha promo hii wakati wowote kwa hiari yake.
โ— Kampuni ina haki ya kubadilisha, kufuta au kurekebisha masharti ya promo bila taarifa ya awali.
โ— Kampuni inaweza kukagua miamala ya wateja ili kuhakikisha hakuna matumizi yasiyo ya haki ya promo.
โ— Ikiwa matumizi yasiyo ya haki yatagundulika, kampuni inaweza:
โ—‹ Kufuta haki ya kushiriki promo
โ—‹ Kufuta ushindi wowote uliopatikana
โ— Sheria zote za jumla za michezo ya kubashiri za kampuni zinatumika kwenye promo hii.