Ligi kuu ya ujerumani bundesliga: Kubashiri mtandaoni, utabiri na vidokezo kwa watanzania

Ligi ya ujerumani ni moja ya ligi zenye sifa ya kujaza mashabiki wengi zaidi uwanjani, ikiwa ni muunganiko wa aina ya mpira unaotumia mabavu na ufundi pia. Timu kama Bayern Munich na Borrusia Dortmund ni moja ya timu bora zaidi sio ujerumani tu bali hata barani ulaya kwenye mashindano ya ligi ya mabingwa, Ni mwaka jana tu ambapo Bayern Munich waliwaadhibu miamba ya Hispania, Barcelona jumlya ya magoli 8-2 na kufuzu kuingia nusu fainali ya ligi ya mabingwa.

Wataalamu wetu wa ligi ya ujerumani Bundesliga watakusanya taarifa tofauti tofauti, matukio muhimu ya kimichezo ya ligi kuhusiana na timu, wachezaji na ratiba za mechi pamoja na kukupa ushauri na vidokezo vya kubashiri ligi ya Italia vitakavyokuweka katika nafasi nzuri zaidi ya kuibuka mshindi na kupindua meza kibabe!

 

Vidokezo bora zaidi vya kubashiri ligi kuu ya ujerumani bundesliga

Uwe na ujuzi au ufahamu mkubwa, wa kiasi, mdogo au hauna ufahamu wowote kuhusiana na ligi ya ujerumani na ubashiri katika ligi hii inayokua kwa kasi zaidi duniani, ondoa shaka! Upo sehemu sahihi na katika mikono salama.

Kabla ya kufanya ubashiri wowote timu yetu ya wataalamu wa kubashiri watafanya utafiti wa kina wa takwimu, historia, hali ya hewa, fomu ya timu, taarifa za kocha, ratiba za mechi, vidokezo vya ubashiri  na taarifa zingine mbali mbali muhimu kuhusiana na kubashiri katika ligi ya bundesliga kwa kila wiki ya mechi na kukupatia taarifa hizi BURE kabla hujabashiri.

Ligi ya ujerumani maarufu kama bundesliga na ulimwengu wa kubashiri ligi kuu ya ufaransa haujawahi kuwa na raha na rahisi hivi ukiwa na Gal Sport Betting Tanzania.

 

Vidokezo na taarifa hizi hutolewa lini?

Tupo hapa katika kuhakikisha unapata thamani na faida ya kutembelea tovuti yetu mara kwa mara, hivyo kila siku watalaamu na wachambuzi wetu wapo kazini kutafiti, kuchambua na kutoa vidokezo na taarifa hizi ili wewe uwe tayari kiubashiri kabla ya mechi na wakati wa mechi pia kwa wale wanaopendelea kubashiri moja kwa moja – Live betting.

Hii inamaanisha haijalishi kama unataka kubashiri leo, kesho, wikiendi ijayo au katikati ya wiki – Taarifa hizi zitakuwepo kwaajili yako kwenye tovuti kwa wakati tosha kabisa kwa wewe kupitia kwa kina na kuweza kujiweka katika nafasi nzuri ya kujishindia ushindi mkubwa na mnono.

Vidokezo, taarifa, uchambuzi na ushauri wetu wa ubashiri kutoka kwa wataalamu wetu umechambuliwa kwa kina kuhusiana na ligi hii pendwa ya bundesliga na ni bure lakini haukuhakikishii kushinda kwa asilimia 100% lakini kuna kuweka katika nafasi nzuri zaidi ya kujihakikishia ushindi.

 

Timu gani zinashiriki ligi kuu ya ujerumani bundesliga?

Timu zinazoshiriki ligi kuu ya ujerumani bundesliga msimu huu wa 2020-21 ambazo ni;

 1. Augsburg
 2. Armenia Bielefeld
 3. Bayer Leverkusen
 4. Bayern Munich
 5. Borussia Dortmund
 6. Borussia Monchengladbach
 7. Eintracht Frankfurt
 8. FC Koln
 9. Hertha Berlin
 10. Hoffenheim
 11. RB Leipzig
 12. Mainz
 13. SC Freiburg
 14. Schalke 04
 15. Stuttgart
 16. Union Berlin
 17. Werder Bremen
 18. Wolfsburg

 

Ligi kuu ya ujerumani bundesliga ina mpira wa aina gani?

Ligi ya ujerumani, bundesliga ni ligi ambayo ina mchanganyiko wa aina tofauti tofauti za uchezaji ambazo pengine umeziona katika ligi nyingine kubwa duniani, ndani ya ligi ya ujerumani utakutana na aina ya mpira wa mabavu na stamina ambao unapatikana ligi kuu ya uingereza, mpira wenye ufundi mwingi na nidhamu ya kimchezo ambao ni maarufu zaidi katika ligi ya uhispania La liga na ligi ya Italia Seria A. Timu za ujerumani hutoa burudani ya kutosha kwa mashabiki wake na kuwapa kiu ya kuangalia mechi kila wiki.

 

Nani ameshinda mataji mengi zaidi ya ligi ya ujerumani bundesliga?

Tangu kuanzishwa kwake mnamo mwaka 1903, Bayern Munich wameshinda mataji mengi zaidi ya ligi hiyo wakiwa na jumla ya mataji 30, huku FC Nurnberg wakifuatia na mataji 9 wakati Borussia Dortmund wakishika nafasi ya tatu kwa mataji 8 tu.

Washindi wa hivi karibuni;

2019-20: Bayern Munich

2018-19: Bayern Munich

2017-18: Bayern Munich

2016-17: Bayern Munich

2015-16: Bayern Munich

2014-15: Bayern Munich

2013-14: Bayern Munich

2012-13: Bayern Munich

2011-12: Borussia Dortmund

 

Odds bora zaidi za ligi kuu ya ujerumani bundesliga

 Tunafahamu ni jinsi gani ligi ya ujerumani inavyosisimua hivyo jukumu letu haliishii tu katika kukupa dondoo, vidokezo, ushauri na matukio muhimu ya ligi ya bundesliga bali tunajiongeza kufanya burudani yako iwe na manufaa maradufu kwa kukupa odds zilizo bora zaidi katika kubashiri ligi kuu hii kubwa duniani.

 

Vidokezo vya kubashiri wakati mechi inaendelea –  Live betting!

Katika zama hizi za kubashiri kisasa hakuna mbashiri asiyependa kubashiri moja kwa moja hasa unapokuwa unatumia tovuti na APP ambayo ni rafiki na rahisi kutumia kama ya Gal Sport Betting Tanzania.

Haijalishi ubashiri wako wa mwanzoni ulikuwa ni upi, unaweza ukabashiri ubashiri mpya wakati mechi ya ligi ya bundesliga inaendelea na kujiweka katika nafasi bora zaidi ya kuweza kuibuka na donge nono.

Kama unatafuta sehemu za kupata vidokezo bora zaidi vya kubashiri moja kwa moja wakati mechi ya ligi kuu ya ujerumani bundesliga ikiendelea na kujiongezea nafasi yako ya kujishindia maradufu basi tovuti ya Gal Sport Betting ni sehemu sahii kwaajili yako.

Hii itakuwezesha wewe kuelekeza ubashiri wako katika njia sahii na ya uhakika zaidi wa kuzaa matunda wakati mtanange unaendelea.

 

Matokeo ya mechi nzima (Dakika 90)

Hii ni njia maarufu zaidi ya kubashiri katika ulimwengu wa kubashiri soka duniani, kwa usaidizi wa watalaamu wetu wa kubashiri, utafiti na vidokezo vyao vitakufanya wewe kuwa hatua kumi (10) mbele ya wabashiri wengine na kukuweka katika nafasi nzuri zaidi ya kupata mkwanja mrefu kupitia ligi ya ujerumani bundesliga.

Haijalishi kama unabashiria moja kwa moja Bayern au unabashiria Mainz, wataalamu wetu watakupa vidokezo ambavyo vitakufanya usitoke mikono mitupu ndani ya bundesliga.

Odds hubadilika kila wiki kulingana na kila mechi kutokana na fomu au ubora wa timu, ukifuatilia kwa makini uchambuzi wa watalaamu wetu basi kubashiri matokeo sahihi inakuwa rahisi sana ukiwa na Gal Sport Betting.

 

Mchezaji atakayefunga goli/magoli

Haijalishi ni aina gani ya goli mchezaji atafunga ila ukiweza kubashiri mchezaji atakayetupia mpira nyavuni na atakayeanza kufunga goli katika mechi ya bundesliga wewe ni mshindi mkubwa, sasa kiasi au ukubwa wa ushindi wako utatokana na kiais ulichoweka katika kubashiria.

Timu kama Bayern na Borussia zinapocheza ni rahisi sana kuweza kubashiri mchezaji atakayetupia kambani kutokana na takwimu na fomu ya mchezo ya mchezaji, kwa mfano mchezaji kama Erling Braut Haaland wa Borussia Dortmund ni kwa nadra sana akacheza dakika 90 bila kufunga au kutoa pasi itakayozaa goli.

 

Timu zote kufunga goli/magoli

Bila kujalisha aina ya ufungaji wa goli kama ni kwa shuti kali, mpira wa kona, kichwa au mpira wa adhabu ukiweza kubashiri tu katika mechi husika kama timu zote zitafunga goli basi tayari wewe subiri mkwanja wako kutoka mapema tu!

Sio lazima usubiri dakika 90 kujua kwamba wewe ni mshindi au la!  Inavutia si ndio? Inabidi kuatilia dondoo na vidokezo vya watalaamu wetu waliobobea kwa makini kujiweka katika nafasi nzuri zaidi ya kujishindia donge nono.

 

Wataalamu wa kubashiri mikwaju ya penati

Hii ni rahisi mno, yani una bashiri tu kama mechi itahusisha mkwaju au mikwaju ya penati ndani ya dakika 90 – mashabiki wa Lewandowski mpo tayari?

Kinara huyu wa kupachika ujerumani katika ligi ya bundesliga kwa msimu uliopita tu alifunga jumla ya penati saba (7).

Tangu kutambulishwa kwa mfumo wa VAR uwezekano wa mechi kuwa na penati ndani ya dakika 90 za mchezo umekuwa mkubwa mno.

 

Kufunga goli kwa kichwa

Ni wabashiri wale tu wenye takwimu za uhakika na vidokezo vyenye uhakika kutoka kwa wataalmu na watafiti wa Gal Sport Betting Tanzania ambao huweza kuweka kiasi kitakachoweza kuzaa matunda makubwa katika kubashiri mchezaji atakayefunga kwa kichwa, kwanini usiwe wewe?

Unaweza kukisia kwa msimu uliopita ni mchezaji gani alifunga magoli mengi ya kichwa katika ligi ya ujerumani bundesliga? Ndio, upo sahii si mwingine bali ni Robert Lewandowski wa Bayern Munichakiwa na magoli 8 ya kichwa akifuatiwa na Sebastian Andersson wa Union Berlin mwenye magoli 7 ya kichwa.

Tembelea tovuti yetu ya Gal Sport Betting Tanzania mara kwa mara kwa ofa kabambe na njia nyingine zaidi ya zilizotajwa hapo juu, ushauri, matukio muhimu, taarifa na vidokezo vya kubashiri kwa uhakika zaidi katika ligi kuu yaujerumani bundesliga.