Ligi kuu ya uingereza: Kubashiri mtandaoni, utabiri na vidokezo kwa watanzania

Liverpool ameonekana kushindwa kuendeleza ubabe wake wa msimu uliopita, huku neema ikionekana kuelekea upande wa Pep guardiola na Manchester City japo ngoma bado ni mbichi! Ligi ya uingereza ni moja kati ya ligi bora zaidi duniani inayojumuisha jumla ya timu 20, kila timu itakutana mara mbili na timu pinzani nyumbani na ugenini kufanya jumla ya mechi zilizochezwa kuwa 38.

Timu nne bora za kwanza hufuzu kucheza katika ligi ya mabingwa ulaya wakati mshindi wa tano na mshindi wa kombe la FA huenda kombe la Europa.

Si jambo la kujificha kwamba ligi kuu ya uingereza ni moja kati ya ligi pendwa sana nchini Tanzania, mashabiki mbali mbali wa mpira wa soka Tanzania wanaufahamu mwingi au wa kina kuhusiana na ligi hii ya kusisimua.

Vidokezo bora zaidi vya kubashiri ligi kuu ya uingereza

Uwe na ujuzi au ufahamu mkubwa, wa kiasi, mdogo au hauna ufahamu wowote kuhusiana na ligi ya uingereza na ubashiri katika ligi hiyo pendwa duniani, ondoa shaka! Upo katika mikono salama.

Kabla ya kufanya ubashiri wowote timu yetu ya wataalamu wa kubashiri watafanya utafiti wa kina wa takwimu, historia, hali ya hewa, fomu ya timu, taarifa za kocha, ratiba za mechi, vidokezo vya ubashiri na taarifa zingine mbali mbali muhimu kuhusiana na kubashiri katika ligi ya uingereza kwa kila wiki ya mechi na kukupatia taarifa hizi BURE kabla hujabashiri.

Ligi ya uingereza na ulimwengu wa kubashiri ligi kuu ya uingereza haujawahi kuwa na raha hivi ukiwa na Gal Sport Betting Tanzania.

Vidokezo na taarifa hizi hutolewa lini?

Tupo hapa katika kuhakikisha unapata thamani na faida ya kutembelea tovuti yetu mara kwa mara, hivyo kila siku watalaamu na wachambuzi wetu wapo kazini kutafiti, kuchambua na kutoa vidokezo na taarifa hizi ili wewe uwe tayari kiubashiri kabla ya mechi na wakati wa mechi pia kwa wale wanaopendelea kubashiri moja kwa moja – Live betting.

Hii inamaanisha haijalishi kama unataka kubashiri leo, kesho, wikiendi ijayo au katikati ya wiki – Taarifa hizi zitakuwepo kwaajili yako kwenye tovuti kwa wakati tosha kabisa kwa wewe kupitia kwa kina na kuweza kujiweka katika nafasi nzuri ya kujishindia ushindi mkubwa na mnono.

Vidokezo, taarifa, uchambuzi na ushauri wetu wa ubashiri kutoka kwa wataalamu wetu umechabuliwa kwa kina na ni bure lakini haukuhakikishii kushinda kwa asilimia 100% lakini kuna kuweka katika nafasi nzuri zaidi ya kujihakikishia ushindi.

Timu gani zinashiriki ligi kuu ya uingereza?

Gal Sport Betting Tanzania tunakupa ujuzi,ufahamu, vidokezo, taarifa na matukio muhimu ya ligi ya uingereza kwa timu zote zinazoshiriki ligi hii musimu huu wa 2020-21, ambazo ni;

Arsenal, Aston Villa, Brighton & Hove Albion, Burnley, Chelsea, Crystal Palace, Everton, Fulham, Leeds United, Leicester City, Liverpool, Manchester City, Manchester United, Newcastle United, Sheffield United, Southampton, Tottenham Hotspur, West Brom, West Ham United, Wolverhampton Wanderers.

Nani ameshinda mataji mengi zaidi ya ligi ya uingereza?

Tangu kuanzishwa kwake ligi kuu ya uingereza – Premier league mwaka 1992 kutoka katika mfumo wa awali ulioanzishwa mwaka 1888, Manchester United ndio timu yenye mataji mengi zaidi uingereza ikiwa ina mataji 13 ikifuatiwa na Chelsea wenye mataji manne (4) huku Manchester City wakiwa na mataji matatu (3).

Lakini ukifuatilia kwa upande wa historia nzima wa mpira wa ligi ya uingereza tangu mwaka 1888, Manchester United bado pia wanaongoza wakiwa na jumla ya mataji 20, Liverpool akifuatia akiwa na mataji 19 huku Arsenal akiwa nafasi ya tatu na mataji 13.

Washindi wa hivi karibuni;

2019-20: Liverpool

2018-19: Manchester City

2017-18: Manchester City

2016-17: Chelsea

2015-16: Leicester City

2014-15: Chelsea

2013-14: Manchester City

2012-13: Manchester United

2011-12: Manchester City

Odds bora zaidi za ligi kuu ya uingereza

Katika ulimwengu wa kubashiri chochote kile utakachochagua kubashiri ni muhimu kujikusanyia odds bora zaidi, jukwaa la kubashiri ligi kuu ya uingereza la Gal Sport Betting lipo katika kuhakikisha hili, tembelea tovuti yetu mara kwa mara kujionea mwenyewe kwa macho yako!

Vidokezo vya kubashiri wakati mechi inaendelea – Live betting!

Kama unatafuta sehemu za kupata vidokezo bora zaidi vya kubashiri moja kwa moja wakati mechi za ligi kuu ya uingereza zinaendelea na kujiongezea nafasi yako ya kujishindia maradufu basi tovuti ya Gal Sport Betting ni sehemu sahii kwaajili yako.

Hii itakuwezesha wewe kuelekeza ubashiri wako katika njia sahii na ya uhakika zaidi wa kuzaa matunda wakati mtanange unaendelea.

Matokeo ya mechi nzima (Dakika 90)

Hii ni njia maarufu zaidi ya kubashiri katika ulimwengu wa kubashiri soka duniani, kwa usaidizi wa watalaamu wetu wa kubashiri, utafiti na vidokezo vyao vitakufanya wewe kuwa hatua nyingi mbele ya wabashiri wengine na kukuweka katika nafasi nzuri zaidi ya kuibuka mshindi.

Odds hubadilika kila wiki kulingana na kila mechi kutokana na fomu au ubora wa timu, ukifuatilia kwa makini uchambuzi wa watalaamu wetu hakuna matokeo ya ligi ya uingereza yatakayokustaajabisha!

Timu kufunga magoli na kushinda

Kubashiri idadi sahii ya magoli au hata timu kufunga goli au magoli tu ni moja ya njia maarufu duniani ya kubashiri na katika Gal Sport Betting Tanzania odds za njia hii ni kubwa na rafiki mno hivyo kama ukifanikiwa kubashiri sahihi kipengele hiki! Wewe hakika ni mshindi wa donge nono kulingana na kiasi cha kubashiri ulichokiweka.

Fuatilia dondoo na vidokezo vya watalaamu wetu waliobobea kwa makini kujiweka katika nafasi nzuri zaidi ya kujishindia donge nono.

Timu zote kufunga goli/magoli

Kama inavosomeka kwenye kichwa cha habari hapo juu, ukiweza kubashiri tu kama timu zote zitafanikiwa kushinda goli basi wewe ni mshindi, Sasa tujiulize? Wataalamu wetu wafuatilie takwimu zote, historia za klabu mbili zinapokutana, historia ya uwanja na taarifa nyingine zote muhimu, wakupatie halafu ushindwe hata kubashiri kama timu zote zitafunga goli katika mechi kweli? Uwezekano wa kushindwa ni hafifu mno.

Pia kama unahisi mechi flani itakuja na mvua ya magoli unaweza kubashiri kwamba mechi inaweza kuwa na zaidi ya idadi flani ya magoli au timu itafunga zaidi ya idadi flani ya magoli.

Wataalamu wa kubashiri mikwaju ya penati

Hii ni rahisi mno, yani una bashiri tu kama mechi itahusisha mkwaju au mikwaju ya penati ndani ya dakika 90 – mashabiki wa Manchester united sikilizeni kwa makini!

Tangu kutambulishwa kwa mfumo wa VAR uwezekano wa mechi kuwa na penati ndani ya dakika 90 za mchezo umekuwa mkubwa mno na mechi nyingi zimekuwa zikihusisha mikwaju ya penati msimu huu.

Kufunga goli kwa kichwa

Wachezaji wengi wanaocheza nafasi ya ushambuliaji wanapendeleaga kujiweka katika nafasi nzuri ya kushinda magoli ya kichwa na wanaufanisi mkubwa katika hili, jambo la kushangaza hadi baadhi ya mabeki pale inapopigwa kona au mpira wa adhabu wa krosi.

Wachezaji kama Dominic Calvert-Lewin, Edinson Cavani, Harry Kane au Romain Saïss wa Wolves wamekuwa machachari sana kwa magoli ya vichwa msimu huu wa ligi ya uingereza.

Tembelea tovuti yetu ya Gal Sport Betting Tanzania mara kwa mara kwa ofa kabambe na njia nyingine zaidi ya zilizotajwa hapo juu, ushauri, matukio muhimu, taarifa na vidokezo vya kubashiri kwa uhakika zaidi katika ligi kuu ya uingereza.