Ligi kuu ya ufaransa Ligi 1: Kubashiri mtandaoni, utabiri na vidokezo kwa watanzania

Ligi ya ufaransa imekuwa ikikua kwa kasi kuliko watu wengi walivyotegemea ukilinganisha na miaka ya nyuma, Ligi ya ufaransa imetoa wachezaji wengi zaidi walioshinda kombe la dunia la mwaka 2018. Huku timu kama PSG ikistaabisha mashabiki wa ulimwengu wa soka kwa kuzichakaza timu kubwa kama vile Barcelona, Manchester United na nyingine.

Wachezaji ambao ni moto wa kuotea mbali kama Kyllian Mbappe wamekuwa wakitabiriwa makubwa na wachambuzi wa soka na hata magwiji ya soka duniani kama vile Lionel Messi.

Ni vizuri kuwa karibu na watalaamu wetu wa uchambuzi na wakubashiri kupata taarifa muhimu kuhusiana na fomu ya timu, mchezaji, historia ya uwanja na kadhalika, mfano kwanini Neymar anaweza asicheze vizuri wiki hii? Mwongozo huu ni BURE! Kabisa sasa kwanini usiwe mshindi mkubwa na upindue meza kibabe?

Vidokezo bora zaidi vya kubashiri ligi kuu ya ufaransa Ligue 1

Uwe na ujuzi au ufahamu mkubwa, wa kiasi, mdogo au hauna ufahamu wowote kuhusiana na ligi ya ufaransa ligue 1 na ubashiri katika ligi hiyo inayokua kwa kasi zaidi duniani, ondoa shaka! Upo katika mikono salama.

Kabla ya kufanya ubashiri wowote timu yetu ya wataalamu wa kubashiri watafanya utafiti wa kina wa takwimu, historia, hali ya hewa, fomu ya timu, taarifa za kocha, ratiba za mechi, vidokezo vya ubashiri na taarifa zingine mbali mbali muhimu kuhusiana na kubashiri katika ligi ya ufaransa kwa kila wiki ya mechi na kukupatia taarifa hizi BURE kabla hujabashiri.

Ligi ya ufaransa ligi 1 na ulimwengu wa kubashiri ligi kuu ya ufaransa haujawahi kuwa na raha na rahisi hivi ukiwa na Gal Sport Betting Tanzania.

Vidokezo na taarifa hizi hutolewa lini?

Tupo hapa katika kuhakikisha unapata thamani na faida ya kutembelea tovuti yetu mara kwa mara, hivyo kila siku watalaamu na wachambuzi wetu wapo kazini kutafiti, kuchambua na kutoa vidokezo na taarifa hizi ili wewe uwe tayari kiubashiri kabla ya mechi na wakati wa mechi pia kwa wale wanaopendelea kubashiri moja kwa moja – Live betting.

Hii inamaanisha haijalishi kama unataka kubashiri leo, kesho, wikiendi ijayo au katikati ya wiki – Taarifa hizi zitakuwepo kwaajili yako kwenye tovuti kwa wakati tosha kabisa kwa wewe kupitia kwa kina na kuweza kujiweka katika nafasi nzuri ya kujishindia ushindi mkubwa na mnono.

Vidokezo, taarifa, uchambuzi na ushauri wetu wa ubashiri kutoka kwa wataalamu wetu umechabuliwa kwa kina na ni bure lakini haukuhakikishii kushinda kwa asilimia 100% lakini kuna kuweka katika nafasi nzuri zaidi ya kujihakikishia ushindi.

Timu gani zinashiriki ligi kuu ya ufaransa ligi 1?

Ni timu ishirini zinazoshiriki ligi kuu ya ufaransa ligi 1 msimu huu wa 2020-21 ambazo ni;

1. Ajaccio
2. Angers
3. Bordeaux
4. Brest
5. Dijon FCO
6. Lens
7. Lille
8. Lorient
9. Lyon
10. Marseille
11. Metz
12. Monaco
13. Montpellier
14. Nantes
15. OGC Nice
16. PSG
17. Rennes
18. St-Etienne
19. Stade Reims
20. Strasbourg

Ligi kuu ya ufaransa ligi 1 ina mpira wa aina gani?

Kutokana na sababu kwamba ligi ya ufaransa ligi 1 ipo katika kipindi cha mpito cha ukuaji kumekuwa hakuna na mfumo maalumu wa aina ya mpira wa ligi hii, zamani ligi ilianza kwa aina ya mpira wa kasi lakini miaka inavozidi kwenda tumeona mchanganyiko wa aina tofauti tofauti za uchezaji kama vile mpira wa kiufundi, mpira wa nguvu na ukabaji kwa pamoja.

Nani ameshinda mataji mengi zaidi ya ligi ya ufaransa ligi 1?

Tangu kuanzishwa kwake mnamo mwaka 1893, Marseille na Saint-Etienne ndio wanaongoza kwa mataji menbgi zaidi wakiwa na jumla ya mataji kumi kila mmoja, huku PSG na Nantes wakifuatia kwa mataji 9 kila mmoja.

Hii inamaana PSG ikifanikiwa kunyakua ubingwa msimu huu itajiunga na Marseille na Saint-Etienne, Je wataweza?

Washindi wa hivi karibuni;

2019-20: PSG
2018-19: PSG
2017-18: PSG
2016-17: Monaco
2015-16: PSG
2014-15: PSG
2013-14: PSG
2012-13: PSG
2011-12: Montpellier

Odds bora zaidi za ligi kuu ya ufaransa Ligi 1

Tunafahamu ni jinsi gani ligi ya ufaransa inavyosisimua hivyo jukumu letu haliishii tu katika kukupa dondoo, vidokezo, ushauri na matukio muhimu ya ligi ya ufaransa bali tunajiongeza kufanya burudani yako iwe na manufaa maradufu kwa kukupa odds zilizo bora zaidi katika kubashiri ligi kuu hii kubwa duniani.

Vidokezo vya kubashiri wakati mechi inaendelea – Live betting!

Katika zama hizi za kubashiri kisasa hakuna mbashiri asiyependa kubashiri moja kwa moja hasa unapokuwa unatumia tovuti na APP ambayo ni rafiki na rahisi kutumia kama ya Gal Sport Betting Tanzania.

Haijalishi ubashiri wako wa mwanzoni ulikuwa ni upi, unaweza ukabashiri ubashiri mpya wakati mechi ya ligi ya ufaransa ligi 1 inaendelea na kujiweka katika nafasi bora zaidi ya kuweza kuibuka na donge nono.

Kama unatafuta sehemu za kupata vidokezo bora zaidi vya kubashiri moja kwa moja wakati mechi ya ligi kuu ya ufaransa ligi 1 ikiendelea na kujiongezea nafasi yako ya kujishindia maradufu basi tovuti ya Gal Sport Betting ni sehemu sahii kwaajili yako.

Hii itakuwezesha wewe kuelekeza ubashiri wako katika njia sahii na ya uhakika zaidi wa kuzaa matunda wakati mtanange unaendelea.

Matokeo ya mechi nzima (Dakika 90)

Hii ni njia maarufu zaidi ya kubashiri katika ulimwengu wa kubashiri soka duniani, kwa usaidizi wa watalaamu wetu wa kubashiri, utafiti na vidokezo vyao vitakufanya wewe kuwa hatua kumi (10) mbele ya wabashiri wengine na kukuweka katika nafasi nzuri zaidi ya kupata mkwanja mrefu kupitia ligi ya ufaransa Ligi 1.

Odds hubadilika kila wiki kulingana na kila mechi kutokana na fomu au ubora wa timu, ukifuatilia kwa makini uchambuzi wa watalaamu wetu basi kubashiri matokeo sahihi inakuwa rahisi sana ukiwa na Gal Sport Betting.

Timu zote kufunga goli/magoli

Bila kujalisha aina ya ufungaji wa goli kama ni kwa shuti kali, mpira wa kona, kichwa au mpira wa adhabu ukiweza kubashiri tu katika mechi husika kama timu zote zitafunga goli basi tayari wewe subiri kutoa hela yako mapema tu!

Sio lazima usubiri dakika 90 kujua kwamba wewe ni mshindi au la!  Inavutia si ndio? Inabidi kuangalia timu kama PSG ambayo ilifunga magoli zaidi ya mia msimu uliopita na wachezaji kama Moussa Dembele wa Lyon aliyefunga magoli 27 msimu uliopita.

Fuatilia dondoo na vidokezo vya watalaamu wetu waliobobea kwa makini kujiweka katika nafasi nzuri zaidi ya kujishindia donge nono. 

Wataalamu wa kubashiri mikwaju ya penati

Hii ni rahisi mno, yani una bashiri tu kama mechi itahusisha mkwaju au mikwaju ya penati ndani ya dakika 90 – mashabiki wa timu za PSG na Lille wanalifahamu hili hasa baada ya kupata penati nyingi sana kwa msimu.

Tangu kutambulishwa kwa mfumo wa VAR uwezekano wa mechi kuwa na penati ndani ya dakika 90 za mchezo umekuwa mkubwa mno na mechi nyingi za ufaransa Ligi 1 zimekuwa zikihusisha mikwaju ya penati msimu huu.

Kufunga goli kwa kichwa

Katika ligi ya ufaransa ligi 1 kuna wachezaji wengi wenye uwezo wa kufunga magoli ya kichwa kutoka na wachezaji wengi wenye urefu wa kuanzia futi sita (6) na zaidi.

Wachezaji kama  Kalifa Coulibaly wa Nantes mwenye futi 6 pointi 4  (6ft 4″) ni moto wa kuotea mbali kwa magoli ya vichwa.

Tembelea tovuti yetu ya Gal Sport Betting Tanzania mara kwa mara kwa ofa kabambe na njia nyingine zaidi ya zilizotajwa hapo juu, ushauri, matukio muhimu, taarifa na vidokezo vya kubashiri kwa uhakika zaidi katika ligi kuu ya ufaransa Ligi 1.