Ligi kuu ya Italia Seria A: Kubashiri mtandaoni, utabiri na vidokezo kwa watanzania

Ni ligi chache duniani zenye msisimuko na za kuvutia kama ligi ya Italia ya Calcio maarufu kama Seria A, Sio tu tunaona timu kubwa kama Juventus ikiwa chini ya uangalizi wa kocha pendwa na chipukizi kwa kazi hiyo, Andrea Pirlo. Pia timu pinzani nazo zimeonyesho kimichezo uwanjani kama vile Injter Milan, Ac Milan, na timu ambayo ni kipenzi cha wengi Atalanta.

Tangu kutambulishwa kwa Cristiano Ronaldo kwenye ligi ya Seria A misimu iliyopita, tumeona wachezaji wengi mbali mbali katika nafasi tofauti tofauti uwanjani wakiwa wakijiunga na ligi hii kama vile, Alvaro Morata aliyejiunga kwa mkopo akitokea Atletico Madrid ya uhispania. Huku Inter Milan ikileta wachezaji wengine mafundi kama vile Romelo Lukaku, Lautaro Martinez kutia nguvu matumaini yao ya kuchukua ubingwa msimu huu.

Wataalamu wetu wa ligi ya Italia Seria A watakusanya taarifa tofauti tofauti, matukio muhimu ya kimichezo ya ligi kuhusiana na timu, wachezaji na ratiba za mechi pamoja na kukupa ushauri na vidokezo vya kubashiri ligi ya Italia vitakavyokuweka katika nafasi nzuri zaidi ya kuibuka mshindi.

Vidokezo bora zaidi vya kubashiri ligi kuu ya Italia Seria A

Kuna tofauti kubwa kati ya kubashiri ukiwa unabashiri bila kuwa na uchambuzi na utafiti wa kina ukilinganisha na mbashiri ambaye ana uchambuzi, utafiti, dondoo, taarifa na ushauri wa kubashiri kutoka kwa watalaamu waliobobea wa Gal Sport Betting Tanzania.

Kabla ya kufanya ubashiri wowote timu yetu ya wataalamu wa kubashiri watafanya utafiti wa kina wa takwimu, historia, hali ya hewa, fomu ya timu, taarifa za kocha, ratiba za mechi, vidokezo vya ubashiri na taarifa zingine mbali mbali muhimu kuhusiana na kubashiri katika ligi ya uingereza kwa kila wiki ya mechi na kukupatia taarifa hizi BURE kabla hujabashiri.

Kubashiri katika ligi kuu ya hispania haujawahi kuwa na raha na rahisi hivi ukiwa na Gal Sport Betting Tanzania.

Vidokezo na taarifa hizi hutolewa lini?

Tupo hapa katika kuhakikisha unapata thamani na faida ya kutembelea tovuti yetu mara kwa mara, hivyo kila siku watalaamu na wachambuzi wetu wapo kazini kutafiti, kuchambua na kutoa vidokezo na taarifa hizi ili wewe uwe tayari kiubashiri kabla ya mechi na wakati wa mechi pia kwa wale wanaopendelea kubashiri moja kwa moja – Live betting.

Hii inamaanisha haijalishi kama unataka kubashiri leo, kesho, wikiendi ijayo au katikati ya wiki – Taarifa hizi zitakuwepo kwaajili yako kwenye tovuti kwa wakati tosha kabisa kwa wewe kupitia kwa kina na kuweza kujiweka katika nafasi nzuri ya kujishindia ushindi mkubwa na mnono.

Vidokezo, taarifa, uchambuzi na ushauri wetu wa ubashiri kutoka kwa wataalamu wetu umechabuliwa kwa kina na ni bure lakini haukuhakikishii kushinda kwa asilimia 100% lakini kuna kuweka katika nafasi nzuri zaidi ya kujihakikishia ushindi.

Timu gani zinashiriki ligi kuu ya Italia Seria A?

Ni timu ishirini zinazoshiriki ligi kuu ya Italia Seria A ambazo ni;

1. AC Milan
2. Atalanta
3. Benevento
4. Bologna
5. Cagliari
6. Crotone
7. Fiorentina
8. Genoa
9. Inter Milan
10. Juventus
11. Lazio
12. Napoli
13. Parma
14. Roma
15. Sampdoria
16. Sassuolo
17. Spezia
18. Torino
19. Udinese
20. Verona

Ligi kuu ya Italia Seria A ina mpira wa aina gani?

Ligi kuu ya Italia Seria A au Calcio ni ligi maarufu kwa aina ya mpira wa ukabaji, Baadhi ya mabeki bora zaidi duniani wametoikea katika ligi hii au nchi ya Italia kama vile Giorgio Chiellini, Alexandro Nesta, Paolo Maldini, Fabio Cannavaro na wengine wengi.

Mshambuliaji machachari katika kuweka mpira nyavuni, Cristiano Ronaldo ameshuhudia jinsi ilivyo ngumu kufunga magoli katika ligi hii japo bado yupo kileleni kwa magoli akichuana na Romelo Lukaku wa Inter Milan.
Aina ya mpira wa timu zinazoshiriki ligi kuu ya uhispania La liga unachangiwa kwa kiasi kikubwa na hali ya hewa, mpira wa hispania unasifika kuwa mpira wa kiufundi zaidi huku timu nyingi zikisisitiza katika umiliki wa mpira na kuepuka mipira mirefu na krosi ndefu.

Timu nyingi za ligi nyingine na hata ngazi ya kimataifa zimekuwa zikihofia nakupata shida na aina ya mpira wa uhispania ambao La Liga ndo chimbuko lake.

Nani ameshinda mataji mengi zaidi ya ligi ya Italia Seria A?

Tangu kuanzishwa kwake mnamo mwaka 1898, Miamba ya jiji la Turin, Juventus wanaongoza kwa mataji mengi zaidi, wakiwa na jumla ya mataji 36. Timu za jiji la Milan yani Inter Milan na Ac Milan wakilingana kwa mataji 18 kila mmoja.

Juventus wamechukua ubingwa wa ligi kuu Seria A kwa misimu mitano mfululizo hadi leo.

Washindi wa hivi karibuni;

2019-20: Juventus
2018-19: Juventus
2017-18: Juventus
2016-17: Juventus
2015-16: Juventus
2014-15: Juventus

Odds bora zaidi za ligi kuu ya Italia Seria A

Ulimwengu wa kubashiri uhnaenda sambamba na Odds, Odds zinapokuwa bora zaidi ndipo mchakato wa kubashiri ligi ya kuu ya Italia Seria A unakuwa mtamu zaidi na wenye nafasiu kubwa ya kuja na matunda makubwa zaidi ya kubashiri. Gal Sport Betting lipo katika kuhakikisha hili, tembelea tovuti yetu mara kwa mara kujionea mwenyewe kwa macho yako!

Vidokezo vya kubashiri wakati mechi inaendelea – Live betting!

Katika zama hizi za kubashiri kisasa hakuna mbashiri asiyependa kubashiri moja kwa moja hasa unapokuwa unatumia tovuti na APP ambayo ni rafiki na rahisi kutumia kama ya Gal Sport Betting Tanzania.

Kama unatafuta sehemu za kupata vidokezo bora zaidi vya kubashiri moja kwa moja wakati mechi za ligi kuu ya Italia Seria A zinaendelea na kujiongezea nafasi yako ya kujishindia maradufu basi tovuti ya Gal Sport Betting ni sehemu sahii kwaajili yako.

Hii itakuwezesha wewe kuelekeza ubashiri wako katika njia sahii na ya uhakika zaidi wa kuzaa matunda wakati mtanange unaendelea.

Matokeo ya mechi nzima (Dakika 90)

Hii ni njia maarufu zaidi ya kubashiri katika ulimwengu wa kubashiri soka duniani, kwa usaidizi wa watalaamu wetu wa kubashiri, utafiti na vidokezo vyao vitakufanya wewe kuwa hatua nyingi mbele ya wabashiri wengine na kukuweka katika nafasi nzuri zaidi ya kuibuka mshindi ukiwa ukibashiri ligi kuu ya Italia Seria A.

Odds hubadilika kila wiki kulingana na kila mechi kutokana na fomu au ubora wa timu, ukifuatilia kwa makini uchambuzi wa watalaamu wetu hakuna matokeo ya ligi ya Seria A yatakayokushtua!

Timu zote kufunga goli/magoli

Kubashiri idadi sahii ya magoli au hata timu kufunga goli au magoli tu ni moja ya njia maarufu duniani ya kubashiri na katika Gal Sport Betting Tanzania odds za njia hii ni kubwa na rafiki mno hivyo kama ukifanikiwa kubashiri sahihi kipengele hiki! Wewe hakika ni mshindi wa donge nono kulingana na kiasi cha kubashiri ulichokiweka.

Atalanta ni moja ya timu ambayo 8imerudi kwa kasi sana katika kinyang’anyiro cha ubingwa wa Seria A, mfano msimu uliopita La Dea alifunga magoli 50 kati ya mechi 38 alizocheza, Pia Atalanta kwa ujumla walifunga jumla ya magoli 98 na kuwafanya kuwa timu yenye magoli mengi zaidi katika ligi zote kubwa ulaya.

Fuatilia dondoo na vidokezo vya watalaamu wetu waliobobea kwa makini kujiweka katika nafasi nzuri zaidi ya kujishindia donge nono.

Wataalamu wa kubashiri mikwaju ya penati

Hii ni rahisi mno, yani una bashiri tu kama mechi itahusisha mkwaju au mikwaju ya penati ndani ya dakika 90 – mashabiki wa Cristiano Ronaldo sikilizeni kwa makini!

Tangu kutambulishwa kwa mfumo wa VAR uwezekano wa mechi kuwa na penati ndani ya dakika 90 za mchezo umekuwa mkubwa mno na mechi nyingi za Seria A zimekuwa zikihusisha mikwaju ya penati msimu huu.

Kufunga goli kwa kichwa

Wachezaji wengi wanaocheza nafasi ya ushambuliaji wanapendeleaga kujiweka katika nafasi nzuri ya kushinda magoli ya kichwa na wanaufanisi mkubwa katika hili, jambo la kushangaza hadi baadhi ya mabeki pale inapopigwa kona au mpira wa adhabu wa krosi.

Mchezaji wa kumfuatilia kwa makini katika kipengele hichi ni Edin Dzeko wa Roma, huku Cristiano Ronaldo naye akiwa moto wa kuotea mbali katika aina hii ya upachikaji magoli.

Tembelea tovuti yetu ya Gal Sport Betting Tanzania mara kwa mara kwa ofa kabambe na njia nyingine zaidi ya zilizotajwa hapo juu, ushauri, matukio muhimu, taarifa na vidokezo vya kubashiri kwa uhakika zaidi katika ligi kuu ya Italia Seria A.