Ligi kuu ya hispania La Liga: Kubashiri mtandaoni, utabiri na vidokezo kwa watanzania

Ligi ya Hispania ni moja kati ya ligi bora zaidi duniani na zenye hamasa kiasi kwamba mtu anaweza kuleta hoja kwamba ni ligi bora kabisa duniani! La liga ndio nyumbani kwa mtanange maarufu wa ‘El Classico’ ambapo miamba ya Barcelona na Real Madrid hukutana na kufuana dafu uwanjani.

Atletico Madrid kila mwaka wamekuwa wakihesabiwa kama moja ya timu zenye nafasi kubwa zaidi ya kunyanyua ubingwa wa hispania La liga ila hutoka patupu, Je huu ndo mwaka hao?

Si jambo la kujificha kwamba ligi kuu ya hispania La liga ni moja kati ya ligi ambazo hyufuatiuliwa kwa karibu zaidi nchini Tanzania, mashabiki mbali mbali wa mpira wa soka Tanzania wanaufahamu mwingi au wa kina kuhusiana na ligi hii ya kusisimua, pengine wengine hawafahamu kabisa lakini wamesikia tetesi zake.

Usiwe na wasi wasi upo katika mikono salama.

Vidokezo bora zaidi vya kubashiri ligi kuu ya hispania La Liga

Uwe na ujuzi au ufahamu mkubwa, wa kiasi, mdogo au hauna ufahamu wowote kuhusiana na ligi ya hispania na ubashiri katika ligi hiyo pendwa duniani, ondoa shaka! Upo katika mikono salama.

Kabla ya kufanya ubashiri wowote timu yetu ya wataalamu wa kubashiri watafanya utafiti wa kina wa takwimu, historia, hali ya hewa, fomu ya timu, taarifa za kocha, ratiba za mechi, vidokezo vya ubashiri na taarifa zingine mbali mbali muhimu kuhusiana na kubashiri katika ligi ya uingereza kwa kila wiki ya mechi na kukupatia taarifa hizi BURE kabla hujabashiri.

Ligi ya Hispania La Liga na ulimwengu wa kubashiri ligi kuu ya uingereza haujawahi kuwa na raha hivi ukiwa na Gal Sport Betting Tanzania.

Timu gani zinashiriki ligi kuu ya hispania?

Ni timu ishirini zinazoshiriki ligi kuu ya hispania La Liga ambazo ni:

 1. Athletico Bilbao
 2. Atletico Madrid
 3. Barcelona
 4. Cadiz
 5. Celta Vigo
 6. Deportivo Alaves
 7. Eibar
 8. Elche
 9. Getafe CF
 10. Granada
 11. Huesca
 12. Levante
 13. Osasuna
 14. Real Betis
 15. Real Madrid
 16. Real Sociedad
 17. Sevilla
 18. Valencia
 19. Valladolid
 20. Villarreal

Ligi ya La Liga hispania ina mpira wa aina gani?

Aina ya mpira wa timu zinazoshiriki ligi kuu ya uhispania La liga unachangiwa kwa kiasi kikubwa na hali ya hewa, mpira wa hispania unasifika kuwa mpira wa kiufundi zaidi huku timu nyingi zikisisitiza katika umiliki wa mpira na kuepuka mipira mirefu na krosi ndefu.

Timu nyingi za ligi nyingine na hata ngazi ya kimataifa zimekuwa zikihofia nakupata shida na aina ya mpira wa uhispania ambao La Liga ndo chimbuko lake.

Nani ameshinda mataji mengi zaidi ya ligi ya La Liga hispania?

Tangu kuanzishwa kwake mnamo mwaka 1930, Miamba ya ‘Los Blacos’ maarufu kama Real Madrid ndio wanaoshikilia usukani kwa kunyakua mataji mengi zaidi wakiwa na jumla ya mataji 34, huku miamba ya catalan Barcelona wakiwana jumla ya mataji 26, Atletico Madrid wakishikilia nafasi ya tatu kwa mataji 10.

Washindi wa hivi karibuni;

2019-20: Real Madrid
2018-19: Barcelona
2017-18: Barcelona
2016-17: Real Madrid
2015-16: Barcelona
2014-15: Barcelona
2013-14: Atletico Madrid
2012-13: Barcelona
2011-12: Real Madrid

Odds bora zaidi za ligi kuu ya hispania La Liga

Tunafahamu ni jinsi gani ligi ya la liga inavyosisimua hivyo jukumu letu haliishii tu katika kukupa dondoo, vidokezo, ushauri na matukio muhimu ya ligi ya hispania La liga bali tunajiongeza kufanya burudani yako iwe na manufaa maradufu kwa kukupa odds zilizo bora zaidi katika kubashiri ligi kuu hii kubwa duniani.

Vidokezo vya kubashiri wakati mechi ya La Liga inaendelea – Live betting!

Kubashiri moja kwa moja kunakuwa kwa kasi sana na kwa usaidizi wa wataalamu na watafiti wetu ikijumuishwa na jinsi ligi ya hispania ya La liga ilivyokuwa ya kusisimua ndani ya dakika 90 za kila mchezo unakuwa katika nafasi nzuri zaidi ya kujishindia donge nono wakati mechi ikiendelea.

Odds huweza badilika kila mechi inavoendelea kuchezwa na kinachovutia na tunachojivunia zaidi ni uwezekano wa kuweza kupata pesa zako za ushindi ndani ya muda mfupi.

Matokeo ya mechi nzima (Dakika 90)

Kubashiri matokeo ya mechi nzima bado ni njia maarufu zaidi ambayo wabashiri wengi huipenda, yani timu moja kushinda au pengine hata kusuluhu.

Hii ni tofauti na kubashiri idadi sahihi ya magoli ya mechi nzima kama vile 2-1, 3-3, 2-o na kadhalika.

Odds hubadilika kila wiki kulingana na kila mechi kutokana na fomu au ubora wa timu, ukifuatilia kwa makini uchambuzi wa watalaamu wetu hakuna matokeo ya ligi ya La liga hispania yatakayokushangaza.

Timu kufunga magoli na kushinda

Kama ilivyokuwa maarufu kwa njia ya kubashiri mshindi wa dakika 90 wa mchezo, njia ya kubashiri timu zote kufunga magoli nayo imekuwa maarufu zaidi kila kukicha.

Ni vizuri kuangalia takwimu na kujua timu yenye kawaida ya kufunga magoli zaidi pia na timu yenye uwezekano mkubwa wa kuruhusu goli au magoli.

Kwa mfano kwenye msimu wa 2019/20 Barcelona ndio timu iliyokuwa na magoli mengi zaidi ikiwa imefunga magoli 86, huku Real Betis ikiwa ndio timu iliyoruhusu magoli mengi zaidi ikiruhusu kufungwa magoli 60.

Takwimu hizi na dondoo nyingine nyingi za kukuwezesha wewe kuwa katika nafasi nzuri zaidi ya kujiongezea faida maradufu ya kiasi cha ubashiri wako utazipata kila unapotembelea tovuti yetu mara kwa mara.

Kufunga goli kwa kichwa

Upana wa kubashiri kuhusu mfungaji wa goli hauishii tu kwenye kubashiri mchezaji gani atafunga goli au atakayeanza kufunga goli bali pia unaweza kubashiri njia ambayo atatumia kufunga goli kama vile goli la kichwa!

Japo ligi ya La liga si maarufu sana kwa magoli ya kichwa kama ilivyo ligi ya uingereza bado kuna wachezaji machachari ambao hutikisa nyavu kwa style hii ya ufungaji kama vile David López wa Espanyol na Charles wa Eibar.

Tembelea tovuti yetu ya Gal Sport Betting Tanzania mara kwa mara kwa ofa kabambe na njia nyingine zaidi ya zilizotajwa hapo juu, ushauri, matukio muhimu, taarifa na vidokezo vya kubashiri kwa uhakika zaidi katika ligi ya hispania ya La liga.