Home » Kuweka
Kuweka pesa kwa simu
● Ingia kwenye akaunti yako
● Chagua akaunti ya simu
● Andika kiasi unachotaka kuweka
● Bofya kitufe cha kuanza mchakato wa kuweka
Utapata ukurasa ibukizi wa USSD, ingiza namba yako ya siri kumalizia kuweka.
Kuweka na USSD
1 – Piga *150*01#
2 – Chagua (4) Lipia bili
3 – Ingiza Namba ya Kampuni 277766
4 – Ingiza Kumbukumbu Namba xxxx (your User ID)
5 – Ingiza Kiasi
6 – Hakikisha kwa kuingiza namba yako ya siri
1 – Piga *150*60#
2 – Chagua (4) lipia bili kwa Airtel
3 – Ingiza Namba ya Kampuni 277766
4 – Ingiza Kumbukumbu Namba xxxx (your User ID)
5 – Ingiza Kiasi
6 – Hakikisha kwa kuingiza namba yako ya siri.
1 – Piga *150*00#
2 – Chagua (4) Lipia bili kwa Mpesa
3 – Ingiza Namba ya Kampuni 277766
4 – Ingiza Kumbukumbu Namba xxxx (your User ID)
5 – Ingiza Kiasi
6 – Hakikisha kwa kuingiza namba yako ya siri.
1 – Piga *150*88#
2 – Chagua (4) Lipia bili kwa Halo Pesa
3- Chagua (3) nambari ya Kampuni
4 – Ingiza Namba ya Kampuni 277766
5 – Ingiza Kumbukumbu Namba xxxx (your User ID)
6 – Ingiza Kiasi
7 – Hakikisha kwa kuingiza namba yako ya siri.
Kuweka kupitia duka
● Tembelea duka letu lolote
● Mpe wakala namba yako ya mteja (inapatikana unapo bofya wasifu wa akaunti yako juu)
● Utapewa risiti na KODI YA KUWEKEA
● Itabidi kuingiza kodi hii ya kuwekea katika ukurasa wa kuwekea ndani ya menyu ya duka
1 -Tembelea duka lililopo karibu yako ukiwa na namba ya akaunti yako na umpatie Mhudumu wetu kiasi unachotaka kuweka kwenye akaunti yako.
2 – Utapewa risiti yenye Code za malipo. (Angalizo: code hii ni maalumu na itakubali kwenye akaunti yako tu).
3 – Ingia kwenye akaunti
4 – Bonyeza kuweka
5 – Chagua “Shop”.
6 – Andika code ulizopewa, bonyeza Maliza muamala – hongera umefanikiwa kuongeza pesa kwenye akaunti yako sasa unaweza anza kubashiri.
Gal Sport Betting Copyright © 2022
All rights reserved.