Je, ninawezaje kupakua APP ya Gal Sport Betting Tanzania?

Unaweza kupakua APP ya GSB ya Android kwa urahisi kwa kubofya Hapa.

Ili kupakua APP ya Galsport Betting unahitaji kufuata hatua zifuatazo:

Hatua 1: Pakua faili
Hatua 2: Bofya “Install”
Hatua 3: Bofya “Install” Tena
Hatua 4: Nenda kwenye “Setting”
Hatua 5: Ruhusu Ku-Install “Unknown APPs”
Hatua 6: Furahia bet yako.