Akaunti Yangu

Tafadhali tembelea tovuti yetu www.gsb.co.tz
1 – Bonyeza Ingia
2 – Bonyeza Ingia na uingize namba yako ya usajili
3 – Utaweza kuona sehemu imeandikwa umesahau neno la siri
4 – Utabonyeza sahau neno la siri
5 – Bonyeza tuma tena neno la siri
6 – Tutatuma tarakimu 5 ambazo utazitumia kuweka neno la siri jipya.

Tafadhali angalia simu yako kama umetumiwa activation code. Kama bado ujatumiwa, bonyeza kwenye menu kuu utaomba kutumiwa tena code hiyo na itatumwa kwenye simu yako.