Reeli zinaendelea kuzunguka na sherehe inaanza na Cash Blast SpinFest! Kwa wiki mbili mfululizo, Zawadi za Pesa Taslim zitakufikia muda wowote ukicheza Sloti zako pendwa. Kwa kapu la TSH 8,400,000 kushindaniwa, kila spin inaweza kupa surprise ya ushindi. Jiunge na Sherehe ya Cash Blast na uache Sikukuu ikuogeshe Mapene!

Nenda kwenye sehemu ya Kasino

Cheza michezo inayoshiriki

Shinda sehemu yako ya TSH 8,400,000!

Cash Blast SpinFest

Jinsi ya kushiriki katika Cash Blast SpinFest?

  1. Jiunge/chagua kushiriki kwenye mojawapo ya michezo inayoshiriki.
  2. Fanya angalau mzunguko mmoja (1) wa pesa halisi kwa kuweka dau linalostahili kwenye mojawapo ya michezo inayoshiriki.
  3. Kila dau linalostahili (kama ilivyobainishwa hapa chini) kwenye michezo inayoshiriki linaweza kukupa nafasi ya kushinda zawadi moja (1) kutoka kwenye Mfuko wa Zawadi wakati wa Kipindi cha Promosheni.

Sheria na Masharti 

  1. Fido Technologies LTD (“Gal Sport Betting” au “Kampuni”) inatoa promosheni hii kwa sharti kwamba unakubali na unakubaliana na sheria na masharti yafuatayo.
  2. Promosheni hii inapatikana kwa wateja wote waliosajiliwa kutoka nchi inayostahiki [Tanzania] kuanzia 09.03.26 (00:01 GMT) hadi 22.03.26 (23:59 GMT).
  3. “Cash Blast SpinFest” yanapatikana tu katika katika Hali Halisi.
  4. Wachezaji wanaoshiriki watajiunga na kampeni kwa kuweka dau linalostahili kwenye michezo inayoshiriki ndani ya kipindi cha kampeni. Hakuna gharama ya ziada inayohitajika.
  5. Michezo inayoshiriki ni kama ifuatavyo: Coin Strike 2: Hold and Win, Fruits & Jokers: 20 lines, Wolf Power: Hold and Win, Royal Coins: Hold and Win, 3 Royal Coins: Hold and Win, 3 Pots Riches: Hold and Win, Burning Wins, Crown and Diamonds: Hold and Win, Royal Fortunator: Hold and Win, Ruby Hit: Hold and Win, Piggy Power: Hit the Bonus™, Rockin’ Joker: Hold and Win, Lion Gems: Hold and Win, Joker Expand: 5 Lines, Crown Strike: Hold and Win, Burning Fortunator, 5 Fortunator, Joker’s Coins: Hold and Win, Sevens & Fruits, 25 Cookies: Hit the Bonus, Sevens&Fruits: 20 lines, Thunder Coins XXL: Hold and Win, Fire Coins: Hold and Win, Lion Gems 3 Pots: Hold and Win.
  6. Kiasi cha chini cha dau kinachohitajika ili kufuzu kwa ofa ni: TSH 280. Ushiriki mmoja tu katika ofa kwa kila mtumiaji.
  7. Kila dau linalostahili kwenye michezo inayoshiriki wakati wa kipindi cha kampeni linaweza kushinda zawadi kutoka kwenye Mfuko wa Zawadi.
  8. Dau moja linalostahili linaweza kushinda zawadi moja tu.
  9. Zawadi za bahati nasibu (Cash Blast) zitakazotolewa bila taarifa yoyote wakati wowote katika kipindi chote cha promosheni, zikiwa zimegawanywa kwa wiki. Mchezaji anaweza kushinda zawadi nyingi za Cash Blast wakati wa kipindi cha promosheni.
  10. Kila mzunguko wa promosheni unatoa mfuko wake wa zawadi, huku jumla ya mfuko wa zawadi ukifikia TSH 8,400,000.
  11. Zawadi za pesa za Cash Blast zitawekwa moja kwa moja kwenye akaunti ya mchezaji mara tu ushindi unapopatikana, na kiasi hicho kitaondolewa kwenye mfuko wa zawadi. Idadi ya zawadi zilizosalia itaonyeshwa moja kwa moja kwenye kijipachiko cha Cash Blast au sehemu ya zawadi.
  12. Malipo ya zawadi yatafanyika kulingana na sehemu ya mfuko wa zawadi inayoonyeshwa kwenye zana ya mashindano.
  13. Ni wachezaji wa kasino waliothibitishwa pekee ndio wanastahili kushinda zawadi.
  14. Hitilafu au makosa yanaweza kubatilisha michezo na malipo yote.
  15. Kubadilisha sarafu wakati wa Kampeni kunaweza kuweka upya maendeleo ya mchezaji.
  16. Zawadi za pesa taslimu zitawekwa katika sarafu ile ile iliyotumika kwa dau la ushindi, kwa mujibu wa kiwango cha ubadilishaji wa Euro kilichowekwa kwa kampeni wakati dau la ushindi lilipowekwa.
  17. Dau zilizokamilika pekee ndizo zitakazostahili.
  18. Malipo ya zawadi za pesa taslimu wakati wa kampeni hayatahitaji kushindaniwa tena kwa dau (hakutakuwa na masharti ya wagering).
  19. Kasino ina haki ya kusimamisha au kumfungia mchezaji yeyote kutoka kwenye raundi moja au zaidi za kampeni, au kutoka kwenye kampeni nzima, na kurekebisha alama zake, ikiwa kuna sababu za msingi za kushuku tabia isiyo halali, matumizi mabaya, au unyonyaji wa mchezo (ikiwa ni pamoja na udanganyifu au matumizi mabaya ya mfumo).
  20. Sheria na Masharti haya yanategemea sheria husika na yanaweza kubadilishwa wakati wowote. Kuendelea kushiriki katika kampeni baada ya mabadiliko kutangazwa kutachukuliwa kama kukubaliana na masharti mapya.
  21. Kasino ina haki ya kushikilia au kufuta zawadi yoyote ya pesa taslimu ikiwa ushindi umetokana na hitilafu yoyote dhahiri, makosa au kasoro za kiufundi (ikiwa ni pamoja na malipo yasiyo sahihi ya mchezo) iwe imesababishwa na hitilafu ya mashine au kosa la binadamu katika michezo yoyote inayoshiriki. Kasino pia inaweza kushikilia au kufuta zawadi ikiwa, kwa uamuzi wake pekee, ushindi umetokana na udanganyifu, ujanja wa mchezo, au ushirikiano kati ya wachezaji.
  22. Kasino ina haki ya kurekebisha, kusimamisha, au kusitisha promosheni hii wakati wowote, kwa sababu yoyote. Mabadiliko yoyote hayatakuwa na athari kwa wachezaji ambao tayari wamehitimu kushinda zawadi kabla ya mabadiliko kufanyika. Katika hali hiyo, Sheria na Masharti ya awali yataendelea kutumika.
  23. Sheria na Masharti haya yanaweza kutafsiriwa katika lugha mbalimbali kwa urahisi wa wachezaji. Endapo kutatokea tofauti yoyote ya maana au mgongano, toleo la Kiingereza litachukua nafasi ya juu.
  24. Ikiwa kuna tofauti kati ya Sheria na Masharti haya na zile zinazoonyeshwa ndani ya zana ya mashindano, sheria zilizo kwenye zana ya mashindano zitazingatiwa kwanza.
  25. Sheria na Masharti ya Jumla zinatumika.