BET BUILDER – BET & GET
Jenga beti yako maalum na upate nafasi ya kushinda zaidi! Jiunge (Opt-in), weka Bet Builder bet yako, na upate FreeBet ya 3,000 TSH.
Jiunge kwenye promo kwa kutumia User ID yako.
Weka dau la 3,000 TSH au zaidi kwenye Bet Builder.
Pata FreeBet ya 3,000 TSH.
KIPINDI CHA PROMO
Promo hii inapatikana kwa wateja wote waliosajiliwa kuanzia 24.07.26 (00:01 GMT) hadi 26.07.26 (23:59 GMT).
Promo hii inatolewa na Fido Technologies LTD (‘Kampuni’).
VIGEZO VYA KUPATA FREEBET
• Lazima ujiunge (Opt-in) kwa kutumia User ID yako.
• Weka dau la chini la 3,000 TSH (fedha halisi).
• Beti iwe na angalau machaguo 3.
• Kila chaguo liwe na odds za chini zisizopungua 1.4.
• Lazima kuwe na angalau chaguo 1 la Bet Builder.
• Bet Builder inahesabiwa kama chaguo moja pekee.
• Beti lazima iwekwe kwenye Sports pekee (Live au Pre-match).
• Beti zilizofanya Cash-out hazitahesabiwa.
• Mtumiaji atapatiwa FreeBet moja tu.
Bonus itaingizwa kwenye akaunti ndani ya masaa 72 baada ya promo kuisha, iwapo masharti yote yametimizwa.
MASHARTI YA MATUMIZI YA FREEBET
• FreeBet ni halali kwa siku 3 tangu itolewe.
• Lazima itumike kwa beti moja kamili.
• Kiasi cha FreeBet hakijumuishwi kwenye ushindi — ni faida tu itaongezwa.
• FreeBet haiwezi kuhamishwa, kubadilishwa au kutolewa fedha taslimu.
• Haiwezi kuunganishwa na promo nyingine ya FreeBet.
Masharti ya chini ya kutumia FreeBet
• Mkeka 1
• Machaguo 3
• Kima cha chini cha odds kwa kila chaguo: 1.3
• Bonus moja kwa kila mshiriki
MASHARTI YA JUMLA
• Kampuni inaweza kusitisha promo hii wakati wowote kwa hiari yake.
• Kampuni ina haki ya kubadilisha au kufuta masharti bila taarifa ya awali.
• Kampuni ina haki ya kukagua miamala ya wateja.
• Ikiwa matumizi yasiyo ya haki yatagunduliwa, haki ya kushiriki na ushindi vinaweza kufutwa.
• Sheria zote za jumla za Gaming za Kampuni zinatumika kwenye promo hii.