Bet kwenye michezo au kasino na geuza dau zako kuwa zawadi za kushangaza! Kwa wiki 3 za kusisimua, una nafasi ya kushinda zawadi kubwa—ikiwemo TV 3 za Good Vision 43″, Simu 3 za Redmi 13C, na FreeBets nyingi. Zaidi ya hayo, mshindi mmoja mwenye bahati ataondoka na zawadi kuu ya Pikipiki ya Boxer mwishoni! Bet zaidi, shinda zaidi—huu ndio wakati wako!

Weka dau kwenye michezo au kasino na Kusanya Pointi

Unavyokusanya pointi nyingi zaidi = Ndivyo zawadi zaidi za kipekee unavyoweza kushinda

Shinda TV ya inchi 43, Simu ya Mkononi au FreeBet

ZAWADI KUBWA ZA MEI

Promosheni ina vipindi 3 vya promosheni (katika wiki 3 zijazo), na kila wiki tutatoa yafuatayo:

  • TV 1 ya Good Vision ya inchi 43
  • Simu 1 ya Redmi 13C
  • Watumiaji 100 wenye bahati watapokea FreeBet ya TSH 2,500 kila wiki.

Unakusanya pointi kupitia dau unazoweka wakati wa kila kipindi cha promosheni. Pointi hukusanywa kwa kuweka dau kwenye Michezo au Kasino na mwishoni mwa kipindi, pointi hujumlishwa.

  • Kwa kila TSH 1,000 unayoweka kwenye michezo kwa wiki, unapata pointi 1.
  • Kwa kila TSH 10,000 unayoweka kwenye michezo ya Kasino kwa wiki, unapata pointi 1.

Ukikusanya zaidi ya pointi 9 kwa wiki, unastahiki kushiriki kwenye droo ya kushinda moja ya TV za Good Vision 43″.

Zaidi ya hayo, unastahiki kushiriki katika droo ya ngazi yako na ngazi yoyote chini yake. Kwa mfano, ukikusanya pointi 7, utaingizwa kwenye droo ya kushinda Simu ya Redmi 13C, na ikiwa hushindi, utaingizwa kwenye droo ya FreeBet.

NgaziPointiZawadi
Ngazi ya 1 – Elite9 Pointi+ TV ya Good Vision 43″
Ngazi ya 2 – Premium6 Pointi+Simu ya Redmi 13C
Ngazi ya 3 – FreeBet3 Pointi+100 FreeBets (2,500 TSH)

Zaidi ya hayo, kila unavyostahiki kushiriki kwenye droo ya kila wiki, unapata nafasi ya ziada katika droo kuu ya mwisho ya kushinda Pikipiki ya Boxer. Unavyocheza kwa wiki nyingi zaidi, ndivyo unavyopata nafasi zaidi ya kushinda zawadi kubwa—usikose!

Vigezo na Masharti

  1. Fido Technologies LTD (‘’GSB‘‘ au “Kampuni”) inatoa promosheni hii kwa masharti kuwa unakubali na kukubaliana na vigezo na masharti yafuatayo.
  2. Promosheni hii inapatikana kwa wateja wote waliosajiliwa kutoka Tanzania kuanzia 12.05.25 (00:01 GMT) hadi 01.06.25 (23:59 GMT).
  3. Watumiaji hukusanya pointi kulingana na dau walizoweka wakati wa kipindi cha promosheni. a) Kila TSH 1,000 ya dau la michezo kwa wiki = pointi 1 b) Kila TSH 10,000 ya dau la kasino kwa wiki = pointi 1 Mfano, kama wameweka TSH 6,000 kwenye michezo na TSH 20,000 kwenye kasino, watakuwa na pointi 8. Pointi 6 kutoka kwa michezo + pointi 2 kutoka kwa kasino.
  4. Ushiriki katika promosheni ni wa kipekee kwa kila kipindi cha promosheni. Mfano, kama mtumiaji aliweka dau linalotimiza vigezo katika Wiki ya 1, atastahiki tu kwa zawadi na FreeBets za Wiki ya 1. Hali hiyo hiyo inatumika kwa Wiki ya 2 na Wiki ya 3; kustahiki kwa kila wiki kunategemea dau linalotimiza vigezo vya wiki hiyo husika na pointi huanza upya mwisho wa kila wiki.
  5. Mtumiaji aliyeshinda zawadi katika wiki yoyote hataruhusiwa kushinda zawadi nyingine yoyote katika wiki zinazofuata za kipindi cha promosheni.
  6. Dau zilizolipwa kabla ya muda wake (Cashed Out) hazitastahiki katika promosheni hii.
  7. Vipindi vya promosheni ni kama ifuatavyo: Wiki ya 1: 12/05 – 18/05 Wiki ya 2: 19/05 – 25/05 Wiki ya 3: 26/05 – 01/06
  8. Baada ya mwisho wa kila kipindi cha promosheni, droo 3 za bahati nasibu zitafanyika, moja kwa kila Ngazi ili kusambaza zawadi. Watumiaji wanastahiki kuingia kwenye droo ya ngazi yao na ngazi yoyote chini yake. Mfano, mtumiaji wa Ngazi ya 1 anaweza pia kuingia kwenye droo ya Ngazi ya 2 kwa Redmi 13C na Ngazi ya 3 kwa FreeBets, lakini mtumiaji wa Ngazi ya 2 hawezi kuingia kwenye droo ya Ngazi ya 1.
  9. Kila ushiriki unaostahiki katika kipindi chochote cha promosheni ya wiki humruhusu mshiriki kuingia moja kwa moja kwenye droo kuu ya zawadi ya mwisho ya Pikipiki ya Boxer. Mshindi wa mwisho atachaguliwa kwa bahati nasibu baada ya kumalizika kwa vipindi vyote vya wiki.
  10. Washindi wa zawadi na FreeBets watatangazwa ndani ya saa 72 baada ya mwisho wa kila kipindi cha promosheni.
  11. Dau zinaweza kuwekwa kwenye matukio ya Michezo au Kasino (michezo na aina zote). Dau kwenye michezo ya mtandaoni (Virtual sports) hazistahiki kwa promosheni hii.
  12. Washindi watajulishwa kwa simu kupitia namba iliyosajiliwa kwenye akaunti ya mshiriki. Tukishindwa kuwasiliana na mshiriki ndani ya saa 48 baada ya droo, zawadi itafutwa na inaweza kutolewa kwa mshiriki mwingine kupitia droo mpya.
  13. Iwapo zawadi iliyotangazwa haitapatikana kwa sababu yoyote ile, Kampuni ina haki ya kubadilisha na kutoa zawadi yenye thamani sawa au zaidi, kwa uamuzi wake pekee.
  14. Zawadi lazima idaiwe ndani ya siku 5 za kazi baada ya kutangazwa vinginevyo itabatilishwa.
  15. Mshindi wa zawadi anakubali kupigwa picha na zawadi husika kama sehemu ya makubaliano kati ya mshindi na kampuni.
  16. Gharama zozote za ziada kando na gharama ya zawadi hazitakuwa jukumu la kampuni bali la mshindi husika. Hizi zinaweza kuwa gharama za usafiri, bima, leseni, ada ya uhamisho n.k.
  17. FreeBet itawekwa kwenye akaunti ya mteja ndani ya saa 72 baada ya kipindi cha promosheni (kila wiki) kumalizika, mradi masharti yote ya ushiriki yamekamilika.
  18. Promosheni hii inaweza kusitishwa na Kampuni wakati wowote kwa hiari yao.
  19. Kampuni ina haki ya kurekebisha, kufuta, au kusasisha vigezo na masharti ya promosheni hii au kukataa ushiriki bila taarifa ya awali. Mabadiliko kwenye vigezo na masharti yataanza kutumika mara moja baada ya kuchapishwa kwenye tovuti yetu. Ni jukumu lako kupitia vigezo hivi mara kwa mara.
  20. Kampuni ina haki ya kupitia rekodi za miamala ya wateja kwa sababu yoyote ile. Ikiwa uchunguzi huo utaonesha kuwa mteja anatumia mbinu isiyo ya haki, Kampuni ina haki ya: a) Kufuta haki ya mteja huyo kushiriki katika promosheni. b) Kughairi ushindi wowote uliowekwa.
  21. Sheria zote za jumla za michezo ya kubahatisha ya Kampuni zitatumika kwa promosheni hii.

Vigezo na Masharti ya FreeBet

  1. Iwapo mchezaji atakayepokea FreeBet atapatikana kuwa hastahiki, FreeBet itafutwa.
  2. Kampuni ina haki ya kufuta FreeBet wakati wowote.
  3. Salio lolote la FreeBet lazima litumike lote kwa dau moja.
  4. Iwapo FreeBet itatumika kwenye chaguo ambalo baadaye linabatilishwa, kiasi halisi cha dau la FreeBet kitarudishwa kwenye Akaunti yako.
  5. FreeBet haiwezi kurejeshwa, na kiasi kilichotumika kwenye FreeBet hakitahesabiwa kama sehemu ya ushindi. Ni ushindi pekee ndio utakawekwa kwenye Akaunti yako.
  6. Kila FreeBet ni halali kwa siku 3 baada ya kupokelewa.
  7. FreeBet inaweza tu kutumika kuweka dau, haiwezi kuhamishwa, kubadilishwa, au kubadilishwa kuwa fedha taslimu.
  8. Salio lolote la FreeBet haliwezi kutolewa.
  9. FreeBets hizi ni halali kwa matumizi kwenye matukio ya Kubeti Michezo pekee, ikiwa ni pamoja na kabla ya mechi na mechi za moja kwa moja.
  10. FreeBet hizi haziwezi kutumika pamoja na promosheni nyingine yoyote ya FreeBet kutoka kwa Kampuni.
  11. Mahitaji ya chini ya kutumia FreeBet:
    a) Dau 1
    b) Machaguo 3
    c) Kiwango cha chini cha odds kwa kila chaguo: 1.3
    d) Bonasi moja kwa mtumiaji