Rejesho la 15% mwisho wa wiki

Masharti Mafupi

 • Kipindi cha ofa ni kila wikendi kuanzia tarehe 14 Oktoba hadi Oktoba 30, kuanzia Ijumaa (00:01 EAT) hadi Jumapili (23:59 EAT), kwa hiyo saa 72.
 • Bet ulizopoteza huhesabiwa kwa jumla katika kipindi chote cha ofa
 • Washiriki pekee ambao jumla ya bet zilizochanika katika kipindi cha ofa kima cha chini cha TZS 3000 kwenye michezo ya TVBET ndio watakaostahiki kurejeshewa 15% ya bet zao zilizochanika
 • Bet lazima ziwe kwenye michezo ya TVBET pekee – Bet zingine zote kwenye Virtual au Matukio ya Michezo hazitohusika kwenye ofa hii ya rejesho
 • Single Bets pekee ndizo zitashiriki kwenye ofa

Vigezo na Masharti ya OFA

 • Kipindi cha ofa ni kila wikendi kuanzia tarehe 14 Oktoba hadi Oktoba 30, kuanzia Ijumaa (00:01 EAT) hadi Jumapili (23:59 EAT), kwa hiyo saa 72.
 • Bet lazima ziwe kwenye michezo ya TVBET pekee – Bet zingine zote kwenye Virtual au Matukio ya Michezo hazitohusika kwenye ofa hii ya Rejesho
 • Bet zilizochanika huhesabiwa katika michezo yote iliyochezwa katika kipindi cha ofa. Kwa mfano, mshiriki akishinda TZS 100 000 kwenye mchezo wa xxx lakini akapoteza TZS 250,000 kwenye mchezo wa xxxx, bet zilizochanika halisi ni TZS 150,000. Asilimia 15 ya kurudishiwa pesa kwa bet zilizochanika ni = 22 500 TZS
 • Single Bets pekee ndizo zitashiriki kwenye ofa
 • Rejesho la 15% ya mikeka iliyochanika italipwa kama pesa taslimu kwenye akaunti ya mshiriki, lakini mshiriki atalazimika kucheza kiasi hiki kabla ya kuweza kukitoa. Kiasi cha juu cha kupewa ni 500 000 TZS.
 • Iwapo unastahiki kurejeshewa pesa, inaweza kuchukua hadi saa 72 baada ya mwisho wa ofa kwa pesa yako kuwekwa kwenye akaunti.
 • Washiriki pekee ambao jumla ya bet zao zilizochanika katika kipindi cha ofa, kima cha chini cha TZS 3000 kwenye michezo ya TVBET ndio watakaostahiki kupewa rejesho la 15%.
 • GSB inahifadhi haki ya kurekebisha masharti ya ofa, kughairi au kusasisha ofa, au kukataa ushiriki wakati wowote bila taarifa ya awali.
 • GSB inahifadhi haki ya kukagua rekodi za miamala na kumbukumbu za wateja kwa sababu yoyote ile. Iwapo, baada ya ukaguzi huo, inaonekana kwamba mteja anashiriki katika mkakati ambao GSB kwa hiari yake inaona kuwa si sawa, GSB inahifadhi haki ya kubatilisha haki ya wateja kama hao kwa ofa na kughairi ushindi wao.
 • Sheria zetu zote za jumla za Michezo ya kubashiri zinatumika