Je, ni kipi maalum kuhusu michezo ya Virtual? Haiisha na unaweza kucheza wakati wowote unaotaka. Ni fursa nzuri kwa mashabiki wa michezo kuweka bet kwenye aina yoyote ya michezo na kupata 15% ya pesa katika mikeka iliyochanika. Wacha tusipoteze wakati na tucheze zaidi michezo ya virtual na GSB!
MASHARTI MAFUPI
1. WACHEZAJI WOTE LAZIMA WAJISAJILI KATIKA OFA KWA ID NAMBA MARA MOJA TU ILI KUSHIRIKI KATIKA OFA.
2. Kipindi cha ofa ni: 29.12.22 (00:01 GMT) – 29.12.22 (23:59 GMT)
3. Mikeka iliyochanika huhesabiwa kwa jumla katika kipindi chote cha ofa.
4. Dau lazima ziwe kwenye Michezo ya VIRTUAL pekee– dau zingine zote kwenye Kasino au Matukio ya Michezo haziuhusiki katika ofa hii ya kurejesha pesa.
5. Rejesho moja tu kwa kila mchezaji
6. Kiasi cha chini cha pesa taslimu kitakachotolewa: TSH 1,500.
7. Wachezaji waliojisajili katika ofa pekee ndio watafuzu kushiriki katika ofa hii
VIGEZO NA MASHARTI YA OFA.
1. WACHEZAJI LAZIMA WAJISAJILI KATIKA OFA KWENYE UKURASA WA OFA ILI WAWEZE KUSTAHILI KUPATIWA REJESHO kulingana na Vigezo na Masharti yetu ya Usajili wa Ofa.
2. Kipindi cha ofa ni: 29.12.22 (00:01 GMT) – 29.12.22 (23:59 GMT)
3. Rejesho huhesabiwa kwa jumla katika kipindi chote cha ofa.
4. Dau lazima ziwe kwenye Michezo ya VIRTUAL pekee– dau zingine zote za Kasino au Matukio ya Michezo hayajumuishwi katika ofa hii ya kurejesha pesa.
5. Mikeka iliyochanika huhesabiwa kuanzia wakati wa usajili wa ofa na katika michezo yote ya Virtual iliyochezwa katika kipindi cha ofa. Kwa mfano, ikiwa mchezaji atashinda TSH 10,000 kwenye mchezo wowote wa Virtual sports lakini akapoteza TSH 9,000, Hasara halisi ni TSH 1,000. Rejesho la 15% ya hasara hii = TSH 150.
6. Rejesho la 15% ya pesa iliyopotea italipwa kama kiasi cha pesa kinachoweza kutolewa kwenye akaunti ya mshiriki.
7. Kiasi cha chini cha pesa taslimu kitakachotolewa: TSH 1,500.
8. Kiasi cha juu zaidi cha pesa taslimu kitakachotolewa: TSH 30,000.
9. Wachezaji wanaojisajili kwa ajili ya ofa pekee ndio wanaostahiki kushiriki katika ofa hii.
10. Iwapo unastahiki kurejeshewa pesa, inaweza kuchukua hadi saa 72 kufuatia mwisho wa ofa ili pesa taslimu kuwekwa kwenye akaunti yako.
11. Rejesho moja tu kwa kila mshiriki.
12. GSB inahifadhi haki ya kurekebisha masharti ya ofa, kughairi au kusasisha ofa, au kukataa kushiriki wakati wowote bila taarifa ya awali.
13. GSB inahifadhi haki ya kukagua rekodi za miamala na kumbukumbu za wateja kwa sababu yoyote ile. Iwapo, baada ya ukaguzi huo, inaonekana kwamba mteja anashiriki katika mkakati ambao GSB kwa hiari yake inaona kuwa si sawa, GSB inahifadhi haki ya kubatilisha haki ya wateja kama hao kwa ofa na kughairi ushindi wao.
14. Sheria zetu zote za jumla za Michezo ya Kubahatisha zinatumika.
VIGEZO NA MASHARTI YA USAJILI WA OFA
1. Wachezaji wote lazima wajisajili ili kuingia kwenye ofa
2. Mshiriki ajisajili katika ofa kwa kutumia ID namba kwenye ukurasa mkuu wa ofa.
3. Usajili wa ofa unahitaji kufanyika mara moja pekee wakati wa ofa na unaweza kufanyika wakati wowote. Hata hivyo, mchezaji ataandikishwa TU kwenye ofa pindi tu atakapojisajili kwenye ofa.
4. Kwa kujiandikisha katika ofa, unathibitisha kuwa umesoma na kukubali vigezo na masharti yote ya ofa.
Gal Sport Betting Copyright © 2022
All rights reserved.