Shinda zawadi kubwa!
Pata Fursa ya kutazama msimu huu wa soka kwenye TV mpya!

Bashiri kwenye mchezo wowote katika kipindi cha ofa na utafuzu kuwa sehemu ya droo ya bahati nasibu ya kila wiki ambapo tunatoa zawadi mpya kila wiki!

Masharti Mafupi

  • WACHEZAJI WOTE LAZIMA WAJISAJILI KWENYE OFA MARA MOJA TU ILI KUSHIRIKI KATIKA OFA HII.
  • Ofa itafanyika tarehe 05.08.22 (00:01 GMT) Hadi 04.09.22 (23:59 GMT)
  • Mshiriki lazima aweke mikeka wenye thamani isiyopungua TSH 5000 ili afuzu kwenye droo hiyo ya wiki.
  • Mshiriki atapokea tiketi moja ya mchezo wa Virtual kwa droo kwa kila TSH 5000 inayouzwa – kwa mfano, ikiwa Mshiriki atacheza mikeka ya TSH 15,000 wiki hiyo, atapokea tiketi 3 kwenye droo hiyo ya Virtual ya wiki.
  • Washindi wataamuliwa na droo ya bahati nasibu

Vigezo na Masharti:

  • Ofa itafanyika 05.08.22 (00:01 GMT) hadi 04.09.22 (23:59 GMT)
  • Kuna jumla ya droo 4 zitakazofanyika Jumatatu tarehe 15.08.22, 22.08.22, 29.08.22 & 05.09.22 – simu janja moja, Tablet moja na TV moja kushindaniwa kwa kila wiki ya bahati nasibu katika kipindi cha OFA.
  • Kila siku itaanza saa 00:01 GMT na kumalizika saa 23:59 GMT
  • Mshiriki lazima acheze angalau TSH 5,000 kwa wiki ili afuzu kwenye droo ya wiki hiyo.
  • Mshiriki atapokea tiketi moja ya mchezo wa Virtual kwa droo kwa kila TSH 5000 inayouzwa – kwa mfano, ikiwa Mshiriki atacheza mikeka ya TSH 15,000 wiki hiyo, atapokea tiketi 3 kwenye droo hiyo ya Virtual ya wiki..
  • Washindi wataamuliwa na droo ya bahati nasibu
  • Bet lazima ziwe kwenye michezo ya Sport betting ( Live na Pre match )
  • Mikeka ya kwenye Kasino na Virtual hazitahesabiwa
  • Bet/Mikeka inayochezwa na bonasi hazitahesabiwa.
  • Hakuna kikomo cha odds kwenye kwenye mkeka.
  • Hakuna Mshiriki anayeweza kushinda zaidi ya zawadi moja katika kipindi kizima cha ofa.
  • Gharama zozote za ziada isipokuwa gharama ya zawadi hazitakuwa jukumu la kampuni na hizi zitaangukia kwa Mshindi husika. Hizi zinaweza kuwa gharama ya usafiri, bima, leseni, ada ya uhamisho n.k
  • Zawadi lazima ichukuliwe ndani ya siku 5 za kazi, kinyume na hapo itakuwa batili.
  • Mshindi wa zawadi atakubali kupigwa picha akiwa na zawadi husika kama sehemu ya makubaliano kati ya mshindi na kampuni kwa ajili ya Matangazo ya OFA hiyo.
  • Sheria zote za michezo ya bahati nasibu zitatumika
  • Washindi watajulishwa kwa kupigiwa simu. Iwapo hatuwezi kuunganishwa na Mshiriki ndani ya saa 48 baada ya droo kufanyika, zawadi itaondolewa na kuingizwa tena kwenye droo nyingine..
  • Matokeo ya droo yatatangazwa kwenye mitandao ya kijamii. Hivyo muhusika anapaswa kufollow kurasa zetu za mitandao ya kijamii.

 

Vigezo na Masharti ya Usajili wa Ofa.

  • Washiriki wote lazima wajisajili ili kuingia kwenye ofa.
  • Mshiriki hujiandikisha kwa ajili ya OFA hii kwa kutumia ID namba (kitambulisho cha Mshiriki wake) kwenye ukurasa mkuu wa ofa katika tovuti yetu.
  • Ni jukumu la Mshiriki kuhakikisha kuwa ID namba (Kitambulisho cha Mshiriki) anachoingiza ni sahihi. Kitambulisho kisicho sahihi cha Mshiriki kitamaanisha kuwa Mshiriki hajasajiliwa katika ofa na kwa hivyo hatastahiki kurejeshewa pesa alizobetia.
  • Usajili wa ofa unahitaji kufanyika mara moja pekee wakati wa ofa na unaweza kufanyika wakati wowote. Hata hivyo, Mshiriki atasajiliwa TU kwenye ofa pindi tu atakapo jisajili.
  • Kwa kujiandikisha kwa ofa, unathibitisha kuwa umesoma na kukubali vigezo na masharti yote ya ofa.