Bashiri kwenye Ligi ya Mabingwa katika kipindi cha OFA na utafuzu kuwa sehemu ya droo ya kupata simu mpya.
Masharti Madogo
WASHIRIKI WOTE LAZIMA WAJIANDIKISHE KWENYE OFA MARA MOJA ILI KUSHIRIKI KATIKA OFA.
Muda wa OFA hii:
21/02/2023 hadi 21/02/2023 (23:59 )
22/02/2023 hadi 22/02/2023 (23:59)
14/03/2023 hadi 14/03/2023 (23:59)
15/03/2023 hadi 15/03/2023 (23:59)
Kuna jumla ya droo 4 zitakazofanyika katika kipindi cha ofa.
Mshiriki lazima acheze angalau TSH 5,000 ili afuzu kwenye droo
Washindi watatokana na droo.
Beti lazima ziwe kwenye michezo ya Champions Leagues (Live na Pre match)
Madau/Mikeka inayochezwa na bonasi haitahesabiwa.
Hakuna kikomo cha Odds.
Hakuna Mshiriki anayeweza kushinda zaidi ya zawadi moja katika kipindi chote cha ofa.
Gharama zozote za ziada isipokuwa gharama ya zawadi hazitakuwa jukumu la kampuni zitakuwa za Mshindi husika. Hizi zinaweza kuwa gharama za usafiri, bima, leseni, ada ya uhamisho n.k
Zawadi / Ofa lazima ichukuliwe ndani ya siku 5 za kazi, vinginevyo itakuwa batili.
Mshindi wa zawadi atakubali kupigwa picha na zawadi husika ikiwa ni sehemu ya makubaliano kati ya mshindi na kampuni .
Sheria zote za michezo ya bahati nasibu zitatumika
Washindi watajulishwa kwa simu. Iwapo hatuwezi kuunganishwa na Mshiriki ndani ya saa 48 za droo, zawadi itatolewa na kuingizwa tena katika droo nyingine.
Matokeo ya droo hiyo yatatangazwa kwenye mitandao ya kijamii. Kwa hivyo mtu anapaswa kufuata kurasa zetu za mitandao ya kijamii.
Vigezo na Masharti ya Kujisajili kwenye Ofa hii.
Gal Sport Betting Copyright © 2022
All rights reserved.