Jiunge, weka ubashiri wa LIVE wa kiasi cha TSH 3,000 au zaidi wenye machaguo yasiyopungua 3, na upokee FreeBet ya hadi 30% ya dau lako. Burudani haisubiri!

Jiunge (Opt-in) kwenye promosheni. Tumia namba yako ya ID ya Mtumiaji.

Weka dau kuanzia TSH 3,000 kwenye michezo ya LIVE.

Pata FreeBet ya hadi 30% ya dau lako.

LIVE Sports Promo

Promo ya Michezo ya LIVE

VIGEZO NA MASHARTI

Fido Technologies LTD (“Kampuni”) inatoa promosheni hii kwa uelewa kuwa unakubali na kufuata vigezo na masharti yafuatayo.

Kipindi cha Promosheni

  • Promosheni hii ni kwa ajili ya wateja wote waliosajiliwa kuanzia tarehe 15.05.26 (00:01 GMT) hadi 17.05.26 (23:59 GMT).

Sifa za Kupata FreeBet

  • Ili kushiriki, mteja anapaswa kujiunga (opt-in) kwa kutumia namba yake ya ID ya Mtumiaji.
  • Mteja atapokea FreeBet ikiwa ataweka kiasi cha chini cha dau kwenye tiketi ya michezo inayokidhi vigezo, yenye angalau machaguo (selections) 3, na odds za chini kwa kila chaguo ziwe 1.4. Ni FreeBet moja tu itakayotolewa kwa kila mtumiaji.
  • Kiasi cha chini cha dau kinachohitajika ni: TSH 3,000. Dau lazima liwekwe kwa pesa taslimu (real money).
  • Kiasi cha FreeBet kitatolewa kulingana na jedwali hapa chini:
Dau la Chini (TSH)Dau la Juu (TSH)FreeBet (TSH)
3,00014,999900
15,00029,9994,500
30,00049,9999,000
50,000199,99915,000
200,000499,99960,000
500,000Na kuendelea150,000
  • Dau lazima liwekwe kwenye michezo ya LIVE Dau za michezo ya Virtual hazikidhi vigezo. Dau zilizofanyiwa Cash-out hazikidhi vigezo.
  • Bonus itawekwa kwenye akaunti ya mteja ndani ya saa 72 baada ya promosheni kuisha, endapo vigezo vyote vitatimizwa.

Taarifa za FreeBet

  • Ikiwa mchezaji atapatikana hana sifa baada ya kupewa FreeBet, FreeBet hiyo itafutwa.
  • Kampuni ina haki ya kufuta FreeBet wakati wowote.
  • Salio lolote la FreeBet lazima litumike lote kwa pamoja kama dau moja (single bet).
  • Dau hili linaweza kujumuisha chaguo moja au machaguo mengi kwenye tiketi moja.
  • Ikitokea FreeBet imewekwa kwenye chaguo ambalo baadaye litalighishwa (voided), kiasi cha Bonus kilichowekwa kitarudishwa kwenye akaunti yako.
  • FreeBet hairudishwi, na kiasi cha dau la FreeBet hakijumuishwi kwenye ushindi wowote. Ni faida ya ushindi pekee ndiyo itawekwa kwenye akaunti yako.
  • Kila FreeBet ina muda wa matumizi wa siku 3 baada ya kuipokea.
  • FreeBet inaweza kutumika kuweka dau pekee, na haiwezi kuhamishwa au kubadilishwa kuwa pesa.
  • Salio la FreeBet haliwezi kutolewa (withdraw).
  • Ukifanikiwa kushinda kwa kutumia FreeBet, ni kiasi cha ushindi baada ya kutoa dau (Net Payout) pekee kitakachowekwa kwenye salio lako la kawaida.
  • FreeBet hizi ni kwa ajili ya michezo ya Betting pekee, ikiwemo mechi za kabla (pre-match) na za LIVE.
  • FreeBet hii haiwezi kutumika pamoja na promosheni nyingine yoyote ya FreeBet kutoka kwa Kampuni.
  • Vigezo vya chini vya kutumia FreeBet:
    • Dau 1
    • Machaguo 3
    • Odds za chini kwa kila chaguo: 1.3
    • Bonus moja kwa kila mtumiaji

Masharti ya Jumla

  • Promosheni hii inaweza kusitishwa wakati wowote kwa hiari ya Kampuni.
  • Kampuni ina haki ya kufanyia marekebisho, kufuta, au kuhuisha masharti ya promosheni au kukataa ushiriki bila kutoa taarifa ya awali.
  • Kampuni ina haki ya kupitia kumbukumbu za miamala ya mteja. Ikiwa itabainika mteja anatumia mbinu zisizo za haki, Kampuni ina haki ya:
    • Kumwondolea mteja haki ya kushiriki promosheni.
    • Kufuta ushindi wowote unaohusiana na promosheni hiyo.
  • Promosheni hii inafuata Vigezo na Masharti ya Jumla ya Kampuni. Ikitokea mgongano wowote wa vigezo, Masharti ya Jumla ya Kampuni ndiyo yatazingatiwa zaidi.